Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

mkuu tusibishane, mimi ninakufahamu vizuri sana, usifikiri nimekufahamia kwenye mitandao. sasa kulinda heshima yako ngoja tujadili mengine, ila msg yangu ndio ilikuwa hiyo. lakini yote katika yote, still kuna vitu vingi nimejifunza toka kwako hasa kufanya kazi kwa bidii na kuvumilia vitu, pamoja na kwamba kuna mapungufu mengi sana ambayo sihitaji kabisa kujifunza toka kwako kwasababu kuna baadhi ya tabia zako mimi nimeziepuka na zimenipa faida kubwa sana maishani mwangu. ndo maana nilikuwa nasema usisema una akili kubwa, acha watu ndio wakuite una akili kubwa, wewe binafsi huwezi kujijua.

vilevile, unaweza kuwa unamiss point ya definition ya "maisha mazuri", what does maisha mazuri mean to you? ni kutoka na wabebez, kwenda vacation dubai au souz, kuiishi 30 years majuu? kula vizuri kwenye appartment ya kupanga?, definition yako ya maisha mazuri ni ipi? kuishi na mwili mkubwa kama tembo kama unakula garbage kila siku?
Mkuu Hute hapa kwenye swala la "maisha mazuri" naona umechemka mbaya. Mimi binafsi naamini mtu unaweza kuwa unaishi hata kwenye nyumba ya "nyasi" lakini bado ukawa na maisha mazuri. Maisha mazuri siyo kuwa na majumba kama ya Trump, maisha mazuri ni kuridhika na kile ulichonacho. Unaweza kuwa na mali kuliko hata za Bill Gates lakini bado usiwe na maisha mazuri.

Mimi nakubaliana kabisa na Le Mutuz, yeye ameridhika na maisha yake na tena anaishi huku akiyafurahia, wazungu wanasema "he is living large", kila mwisho wa mwaka anakwenda "vacation", ameishi USA for 25 years, ana mashamba yake anayoyamiliki, ana nyumba, ana watoto wake 2 na isitoshe ana biashara yake inayomuingizia kipato; kwake yeye na ukilinganisha na average ya maisha ya Wabongo wengi, yeye yuko juu sana tu, tena sana. Hivi nikuulize swali dogo tu na rahisi, ni Wabongo wangapi wanaweza kumudu kuishi kwenye "apartments" kama anazokaa Le Mutuz???

Kwa kifupi kuwa na maisha mazuri ni kuridhika na kufurahia kile ulichonacho na siyo jamii inayokuzunguka kuridhika na kile ulichonacho. Mimi namkubali sana Le Mutuz kwa kuwa ameridhika na maisha na anafurahia sana maisha yake. Wengi wa Wabongo wanaomchukia Le Mutuz, walitamani sana kuishi maisha kama yake lakini hawawezi hata robo tu.
 
- Leo ilikua siku ya mambo ya uchaguzi ndio maana unaona watu wengi wana hasira hapa unadhani nii hii thread hahahahaha wanashindwa tu kusema ni hasira za uchaguzi hahahahahahaha anways guys naomba mnipe nafasi niende kusudi niendelee na "MY AMERICAN EXPERIENCE" au mnasemaje nimejibu maswali yote bila kukwepa mmeridhika guys au bado?

le Mutuz
Nmekubari kaka mkubwa hakika ww ni Akili kubwa nmepitia majibu yko yote heshima kwako najifunza mengi kupitia ww...
 
Huyu Mzee angeacha kuishi maisha anayotakiwa aishi mwanae angekuwa bomba la inspiration story, lakini kwa kuwa ameamua kuwa frontline kwa kupinga taratibu na maadili ya kitanzania naungana na watanzania wengi huyu lemutuz AKA CEO wa wanaume wote wenye vibamiaz ni mtu asiyejitambua. Ova
 
- sina uhakika sikuwepo hapa nilikua Majuu.

le Mutuz
Good leo uko live wajibu maswali, safi sana Mkuu,
Nina swali personal, niliwahi kusikia Mheshimiwa Freeman Aikaeli Mbowe alikuaga Rafiki wako wa karibu kitambo, tuseme toka 25years back,
Hii imekaaje??
 
Walikua wanaishi Mwenge NHC nyuma ya TRA siku hizi,namkumbuka huyo mama na huyo dada yake Rankeem;Yule mother alizaa na vigogo wa enzi hizo maana baba yake Rankeem naye alikua Mwenyekiti wa Magamba mkoa wa Dsm enzi za chama kushika hatamu
Mkuu Dunia ina maajabu,nilikuja kukuta kumbe huyo mama yu ko Rankeem ni shangazi yangu. Tul I kutana akipambana kumsomesha mjukuu wake.Ni story ndefu ila akizaa na Malicela na Mzee Ramadhan Nyamka ila sasa amebaki na wajukuu you.Anamfahamu Nye Nye vizuri sana.She has a very difficult life.
 
Mkuu Dunia ina maajabu,nilikuja kukuta kumbe huyo mama yu ko Rankeem ni shangazi yangu. Tul I kutana akipambana kumsomesha mjukuu wake.Ni story ndefu ila akizaa na Malicela na Mzee Ramadhan Nyamka ila sasa amebaki na wajukuu you.Anamfahamu Nye Nye vizuri sana.She has a very difficult life.
Mbona nye nye nye anasema alikuwa Doc?
 
You are either psychologicaly disturbed or you are an inbred bastard...huwezi kuwa ma maneno yenye chuki hivyo kwa mtu ambaye ana hadithia maisha yake yenye funzo kwa watu kama wewe...you are trying to find comfort from your miserable life by hating those who have succeeded in all areas of life tht you have completely failed...deal with your miseries...putana..
 
Huyu Mzee angeacha kuishi maisha anayotakiwa aishi mwanae angekuwa bomba la inspiration story, lakini kwa kuwa ameamua kuwa frontline kwa kupinga taratibu na maadili ya kitanzania naungana na watanzania wengi huyu lemutuz AKA CEO wa wanaume wote wenye vibamiaz ni mtu asiyejitambua. Ova

- hahahahaha thanks boss nimekusikia sana loud and clear, hahahahahahaha

le Mutuz Mobimba
 
Good leo uko live wajibu maswali, safi sana Mkuu,
Nina swali personal, niliwahi kusikia Mheshimiwa Freeman Aikaeli Mbowe alikuaga Rafiki wako wa karibu kitambo, tuseme toka 25years back,
Hii imekaaje??

- Yes ni rafiki yangu wa toka utotoni ingawa sasa hivi kidogo itikadi inatutenga kidogo, lakini Familia yake ni ndugu zangu kabisa we are very good friends.

le Mutuz
 
You are either psychologicaly disturbed or you are an inbred bastard...huwezi kuwa ma maneno yenye chuki hivyo kwa mtu ambaye ana hadithia maisha yake yenye funzo kwa watu kama wewe...you are trying to find comfort from your miserable life by hating those who have succeeded in all areas of life tht you have completely failed...deal with your miseries...putana..

- Genius!

le Mutuz
 
Mbona nye nye nye anasema alikuwa Doc?
Nye Nye wanakimbia facts wakati huwa anajiita Mzee wa facts.Dada yake alijinyonga akiwa mnafanya medicine Muchs na ndugu yake aliyeanza kwenda USA na hajarudi hadi Leo.Au Nye Nye alikuwa anawaroga maana kaadmit ana ugomvi nao.
 
upload_2018-2-19_22-12-35.jpeg

PART 30: "MY AMERICAN EXPERIENCE"
Maisha yangu ya Magari 2 ya kifahari na Nyumba nzuri ya kuishi bila ya kukopa kwa mtu wala kulia lia kuhusu Maisha yakaanza kuwashangaza Wabongo nikagundua wengi wao pamoja na kukaa USA miaka mingi walikua hawajui hata sababu ya kuwepo kule huku mimi nina kazi nzuri na ninasoma College na ninajilipia mwenyewe wakaanza maneno maneno na siku moja Mbongo mmoja akaenda kazini kwangu na kunishitaki kwa bosi wangu Jacky kua sina makaratasi wananipaje kazi kama ninayoifanya! now Jacky akaogopa sana akampeleka Mbongo kwa Owner Joe Orlando again jamaa akarudia kunichongea ....

Joe akamwambia Mbongo kua kamsikia na akamuonya Jacky asimwambie mtu wala kuisema hiyo popote hiyo ishu na niliporudi kazini kutoka barabarani Joe akaniita juu ofisini kwake na kunionya niachana na marafiki kutoka nchi yangu na akaniambia habari nzima ya kilichotokea akaniambia "Sitaki kujua kama ni kweli au uongo, cause ni kazi ya Immigration kuhakiki kama makaratasi yako ni ya kweli au uongo mimi kama Muajiri ni kukutaka uyaonyeshe na kutunza copies tu!" ila akaniambia incase siku moja Immigration wakija pake kazini na kudai kuhakiki makaratasi litakua ni tatizo lako akaniambia endelea na kazi ila kuwa makini sana ...

Mungu alinipa Character ya kuganda kama Jiwe ninakumbana na matatizo mazito na ya kweli na nilishajifunza kwenye Criminology ukibanwa na Ukweli nyamaza kimya muache aliyekubana aseme seme mwenyewe cause ukijibu under Panic utaharibu unless unajua kua ni uongo then unaweza kujibu unavyotaka hapa I was facing the truth kua sina Proper Papers kutotingishika kwangu mbele ya Ugly Truth kulimfanya Joe na Jacky waamini kua ulikua ni uongo nikatoka like nothing happened..nilipofika ndani ya gari langu nikakaa na kuanza kutetemeka na kutafakari Wabongo nikaamua kujiepusha nao kwa umakini sana bila kuwafanya wajue kua nawakwepa.

Nikamuambia Peter mshikaji niliyekua namuamini na yeye hakuamini kua jamaa ambaye pia ni rafiki yake kafanya huu mchezo wa hatari sana cause Joe angekua mzungu mwenye roho mbaya angeita Immigration tu ningebebwa juu kwa juu na deportation back to Bongo siku iliyofuatia boom nikakutana jamaa aliyenishitaki uso kwa uso! ...ITAENDELEA
 
- Seriosly ni mawazo yako tu ila kama ni story ya kawaida sidhani kama ungekua hapa unaililia, na isingekua inaliliwa na watu wengi sana duniani wanaonibembeleza kila siku niendelee wewe sio kamusi wala Biblia ya kupima mafanikio ya watu wa JF kimaisha hapana ungekua ningejiua tayari hahahahahahaha

- Sitishiki na maneno yako ya shombo ninajua kwamba my story is big na inakubalika sana na Dunia, Viongozi na Matajiri wengi sana wananiomba nisiache na tayari kuna makampuni 3 ninayo ongea nayo kuhusu kukidhamini, so mkuu sawa Shetani aliyekutuma kunikatisha tamaa ana akili sana ila ninamzidi sana ndio maana unahangaika, hahahahahaha kajipange tena hahahahaha

le Mutuz
Shetani aliyekutuma kunikatisha tamaa ana akili sana ila ninamzidi sana ndio maana unahangaika
 
Back
Top Bottom