Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

- Ndio maana ninataka kuweka record straight very soon nikimaliza "THE AMERICAN EXPERIENCE" maana kuna wakati ninaweza kuingia Club bongo na kukuta nime date almost a half of wabebezz there sisemi ni ushujaa hapana mimi naamini kila mtu na hobby zake.

- Ndio maana ninasema ningekua kweli na kibamia nisngekaa tena hapa mjini, hawa wabebezz wangeniua kwa mashambulizi, angalia mashambulizi ya my ex zamani hakuna mahali aliawahi kusema hayo ingawa sasa na yeye anataka kujifanya kudandia treni, hahaha U know

le Mutuz
Le mutuz, tafadhali achana na story ya NEEMA na bimkubwa, endelea na part 38, kwasababu tukijadili Neema conclusion ni kwamba ni moja wapo ya wanawake mfano mbaya kuigwa apa duniani, huyo namweka fungu moja la mchicha la joyce kiria, lady jaydee, na Neema x wako.

na ukija suala la bimkubwa, usijadili kwasababu ulimess up, ulifanya makosa/mapungufu ambayo unatakiwa kuadmit na kusonga mbele. unatakiwa kufunga ukurasa tujadili vingine kama ulivyosema jana ila ukirudi kufanya watu wajadili issue ya bimkubwa kiukweli utapata jibu kuwa ulikosea na unatakiwa kuadmit kuwa uliishi muda mrefu mbali na mtu aliyekupenda bila kuja kumuona bila sababu ya msingi, kama uwezo ulikuwa nao ulikuwa na uwezo kununua gari za garama kuliko ticket ya kuja na kurudi bongo. you made a mistake ina itakuwa vizuru sana ukikubali, kufanya kosa si kosa ila kurudia kosa, yawezekana ulikuwa nasababu fulani za msingi lakini hazikuwa substantial kufanya uishi miaka yote hiyo, ni mingi sana ujue kwa mtu anayekupenda kama maza. hovyo tafadhali tujadili vitu vingine. pia ukirudi kwa neema, achana naye, usimjibu, ulivyokuwa umenyamaza ulionekana wewe una busara kuliko yeye, ukijibizana naye mtaonekana mko sawa, na zaidi sana, kuanika maisha yenu ya private kama ya ndoa na mahusiano si vizuri sana, gombaneni ila jueni yote mtakayojadili watoto wenu wameshakuwa wakubwa itafika kipindi wataingia humu na watasoma hizo comments zenu na watawashangaa why wazazi walifika mbali kiasi hicho kuchambuana kwenye public, na pengine itawaathiri watoto kwa namna moja ama nyingine kisaikolojia. hivyo ili uonekana una akili kubwaz kama unavyojiita, chuna izo issue za ndani na neema achana nazo. watu walishaanza kusahau hadi ile clip kutokana na story yako kunoga sasa wewe ukitupoteza tena ukampa neema nafasi kukuchambua kwa mengine tusiyojua(mtu ukiishi naye 15 years si malaika unayo mapungufu mengi tusioyajua), utaaibishwa bure na haina faida kwa watoto wako hata kama wewe kwa upande wako its your life and you don't care.
 
Hope atakuelewa le mutuz kapitia mengi jamani
 
Le mutuz huwa unawagegeda kweli?
 
Sasa tuchukulie hivyo unavyotaka ww kwamba ww sio x wake ss maisha yke yanakuhusu nn kila mtu na maisha ndugu yngu tuache roho hzo watu weusi watu km nyie ndio wachawi wenyewe wa kipindi hiki hiyo husda mbaya sna ndugu yngu pole sna muache huyo nae mwita kubwa jinga kibamia ndio maisha yke ww angalia yko ukishindwa njoo pm nikupe mume mm...
Watu wana kila haki kuwa outraged na kuwa critical au negative sawasawa na wale wote wanao msupport au kumkubali huyu baba au kuheshimu uamuzi wake wa kuweka private life yake mtandaoni for full public scrutiny. Ni jambo la ajabu sana kwa mtu wa background na umri wake ku behave so immaturely and in total disregard of morals, norms and standards of behavior za jamii inayomzunguka.
 
- Well, it is my life na I am American in spirit, sina tatizo na yeyote anayetaka kuamini anavyotaka ila chaa msingi ni kwamba kwanza sijaweka kila kitu wazi kuna vingi sana ambavyo sijasema na besides my ex amenichafua sana so huwa ninajibu wazi wazi zile sehemu za maisha yangu anazoamua kupotosha kwa makusudi,

- Otherwise nimekusoma ila kuna Vijana wengi sana ninaowasaidiaa na hii story kama na mimi nilivyosaidiwa na story za ukweli za kina Mike Tryson na Donald Trump. Ila nilidhani mtu ukiona kinachoandikwa ni upuuzi unachana nacho au?

le Mutuz
 
Le mutuz, tafadhali achana na story ya NEEMA na bimkubwa, endelea na part 38, kwasababu tukijadili Neema conclusion ni kwamba ni moja wapo ya wanawake mfano mbaya kuigwa apa duniani, huyo namweka fungu moja la mchicha la joyce kiria, lady jaydee, na Neema x wako.

na ukija suala la bimkubwa, usijadili kwasababu ulimess up, ulifanya makosa/mapungufu ambayo unatakiwa kuadmit na kusonga mbele. unatakiwa kufunga ukurasa tujadili vingine kama ulivyosema jana ila ukirudi kufanya watu wajadili issue ya bimkubwa kiukweli utapata jibu kuwa ulikosea na unatakiwa kuadmit kuwa uliishi muda mrefu mbali na mtu aliyekupenda bila kuja kumuona bila sababu ya msingi, kama uwezo ulikuwa nao ulikuwa na uwezo kununua gari za garama kuliko ticket ya kuja na kurudi bongo. you made a mistake ina itakuwa vizuru sana ukikubali, kufanya kosa si kosa ila kurudia kosa, yawezekana ulikuwa nasababu fulani za msingi lakini hazikuwa substantial kufanya uishi miaka yote hiyo, ni mingi sana ujue kwa mtu anayekupenda kama maza. hovyo tafadhali tujadili vitu vingine. pia ukirudi kwa neema, achana naye, usimjibu, ulivyokuwa umenyamaza ulionekana wewe una busara kuliko yeye, ukijibizana naye mtaonekana mko sawa, na zaidi sana, kuanika maisha yenu ya private kama ya ndoa na mahusiano si vizuri sana, gombaneni ila jueni yote mtakayojadili watoto wenu wameshakuwa wakubwa itafika kipindi wataingia humu na watasoma hizo comments zenu na watawashangaa why wazazi walifika mbali kiasi hicho kuchambuana kwenye public, na pengine itawaathiri watoto kwa namna moja ama nyingine kisaikolojia. hivyo ili uonekana una akili kubwaz kama unavyojiita, chuna izo issue za ndani na neema achana nazo. watu walishaanza kusahau hadi ile clip kutokana na story yako kunoga sasa wewe ukitupoteza tena ukampa neema nafasi kukuchambua kwa mengine tusiyojua(mtu ukiishi naye 15 years si malaika unayo mapungufu mengi tusioyajua), utaaibishwa bure na haina faida kwa watoto wako hata kama wewe kwa upande wako its your life and you don't care.

- Mpaka sasa hivi nipo Part 39, hakuna wa kunizuia kuandika ninachotaka na nilichoamua mwenyewe kwa hiari yangu.

- Neema sijawahi kumchokoza ila kumjibu tu inapobidi na niatendelea na hilo naomba tu ukiona nimemjibu ruka page tu maana inaonekana inakukera sana, vumilia tu mimi nisipomjibu ninaweza kuumwa maana sikuzaliwa kutokujibu, na ningekua sijibu in my life nisingefikia hapa nilipo.

- Kuhusu Marehemu Mama yangu hakuna popote nilipomkosea nilikua Majuu natafuta maisha yangu hakunipeleka yeye wala mtu yoyote it was me na maisha yangu aliyoniletea yeye mwenyewe, sikuwa na makaratasi so nisingeweza kurudi lakini nilipopata nafasi ya kurudi nilifanya nilichokiona ni sawa, now nisingeweza kumsaidia kabla sijawa sawa HAPANA, ninarudia tena kwamba ishu ya MArehemu Mama yangu i was 100% right.

- Again kwenye maisha yangu sijawahi kumpa nafasi binadam yoyote kuamini kua ana power over me, naona unajaribu kushauri ninyamaze maana Neema ana mapungufu mengi sana yangu ukweli ni kwamba ana chuki za kumuacha na kuendelea na maisha yangu ndicho kinachomuumiza ndio maana halali kunifuatilia tu maisha yangu, yupo na id zake feki kila mahalia ananifuata mimi sina muda naye mpaka nikifika huku ndio namkuta na ninampa majibu nikiamua kumuanika ya kwake ambayo ni ya kweli atajinyonga,

- So please aidha soma uelimike au nyamaza uwaachie wengine ila ushauri kama wako nauogopa sana maana unanifundisha kuwa a Coward I am not!, na sijakuomba ushauri wowote uwe wewe wala mtu yoyote I am just enjoying my life!

le Mutuz
 
- Well, it is my life na I am American in spirit, sina tatizo na yeyote anayetaka kuamini anavyotaka ila chaa msingi ni kwamba kwanza sijaweka kila kitu wazi kuna vingi sana ambavyo sijasema na besides my ex amenichafua sana so huwa ninajibu wazi wazi zile sehemu za maisha yangu anazoamua kupotosha kwa makusudi,

- Otherwise nimekusoma ila kuna Vijana wengi sana ninaowasaidiaa na hii story kama na mimi nilivyosaidiwa na story za ukweli za kina Mike Tryson na Donald Trump. Ila nilidhani mtu ukiona kinachoandikwa ni upuuzi unachana nacho au?

le Mutuz
Sijasema unayoandika ni upuuzi bro. In fact its mighty entertaining stuff in my opinion. The whole damn thread.
 
- Mpaka sasa hivi nipo Part 39, hakuna wa kunizuia kuandika ninachotaka na nilichoamua mwenyewe kwa hiari yangu.

- Neema sijawahi kumchokoza ila kumjibu tu inapobidi na niatendelea na hilo naomba tu ukiona nimemjibu ruka page tu maana inaonekana inakukera sana, vumilia tu mimi nisipomjibu ninaweza kuumwa maana sikuzaliwa kutokujibu, na ningekua sijibu in my life nisingefikia hapa nilipo.

- Kuhusu Marehemu Mama yangu hakuna popote nilipomkosea nilikua Majuu natafuta maisha yangu hakunipeleka yeye wala mtu yoyote it was me na maisha yangu aliyoniletea yeye mwenyewe, sikuwa na makaratasi so nisingeweza kurudi lakini nilipopata nafasi ya kurudi nilifanya nilichokiona ni sawa, now nisingeweza kumsaidia kabla sijawa sawa HAPANA, ninarudia tena kwamba ishu ya MArehemu Mama yangu i was 100% right.

- Again kwenye maisha yangu sijawahi kumpa nafasi binadam yoyote kuamini kua ana power over me, naona unajaribu kushauri ninyamaze maana Neema ana mapungufu mengi sana yangu ukweli ni kwamba ana chuki za kumuacha na kuendelea na maisha yangu ndicho kinachomuumiza ndio maana halali kunifuatilia tu maisha yangu, yupo na id zake feki kila mahalia ananifuata mimi sina muda naye mpaka nikifika huku ndio namkuta na ninampa majibu nikiamua kumuanika ya kwake ambayo ni ya kweli atajinyonga,

- So please aidha soma uelimike au nyamaza uwaachie wengine ila ushauri kama wako nauogopa sana maana unanifundisha kuwa a Coward I am not!, na sijakuomba ushauri wowote uwe wewe wala mtu yoyote I am just enjoying my life!

le Mutuz
wow, then ni vizuri kwamba hauoni ulikosea chochote juu ya mamako, na kwamba unaona ni vyema kuanika ugomvi wako na neema. lete vitu lemutuz tusivyovijua tuvielewe. however, ukweli halisi inaonekana umemiss kitu kikubwa sana kuhusu maisha na hauelewi kama umemiss icho kitu, haujabarikiwa nacho icho kitu na haujui kuwa haujabarikiwa nacho, HAUONI UTHAMANI WA MAMA YAKO,, nilichokuwa nasema ni kwamba, kwa mwanadamu mwenye akili ya kawaida anayeishi US, mwenye uwezo wa kubadilisha magari ya garama apendavyo, mwenye kupata mshahara mzuri tu kama uliokuwa unaelezea, mwenye uwezo kubadilisha mabebz kama ulivyokuwa wewe, angeweza kusacrifice chochote ili kuspend time na mamake, wewe ni mtoto wa kambo, mamako ndio inawezekana umedumu naye kuliko babako, kwa mamako wewe ulikuwa lulu, ulikuwa moyoni mwake lakini, amesacrifice vitu vingi sana usivyovijua kwaajili ya maisha yako lakini ulipokuwa mtu mzima ulimtelekeza aishi bila kukuona (hata kama anakusikia kwa simu etc na unatuma vihela) for 30 good years ukaona si bora kusacrifice umarekani ili urudi, and still unaona haujafanya kosa, hivi vijana wadogo wanajifunza nini kwako kwa kutokukubali kosa kama funzo kwa wadogo zako, ninaamini mamako alikuwa anakupenda sana na ulikuwa moyoni mwake, ulikuwa wa thamani mno kwake na alitegemea vingi kwako na si ajabu alitamani awe anakuona mara nyingi lakinni wewe ulimtupa 30 years ati unatafut amaisha? SI N DO MAANA MAISHA YENYEWE HUKUYAPATA ukarudi bongo na pumbuu tu mzee, na still hauoni unatakiwa kukiri kosa ili wadogo zako wajifunze, ivi unajua inafika kipindi naamini le mutuz either umeathirika sana na aina ya maisha uliyoishi na kuna nati fulani zimelegea au pengine hauna akili? una moyo kweli wewe mwanadamu uliyelelewa na mamako tu unaishi 30 years mbali ati usingeweza kumsaidia sana kwasababu ulikuwa unatafuta maisha yako kwanza, yeye angeamua kutafuta maisha yake kwanza badala ya kukulea wewe si ungekuwa msengee wa barabarani tu wewe hata kusoma usingejua sijui ungekuwa unalima mahindi tunduma au ndizi tukuyu au wapi sijui, au ungekuwa mtoto wa barabarani? wa mama huwa wana sacrifice mno kwa watoto wewe hauoni uthamani huo? au ndo maana unaonekana upo kawaida tu kuishi mbali na watoto si ajabu hata watoto wewe hauwathamini kwasababu watajifunza nini kwako haujui kuthamini wazazi na watoto wako watakuwa wakielewa maisha yako hivyohivyo, watoto wako na marafiki zako wanajifunza nini kwako? aisee we nilikuwa nakustahi lakini hauna akili kabisa kabisa na kuna uwezekano mkubwa una laana haki ya nani, unalaana ya bimkubwa au nati imelegea kichwani huko ha hauelewi kama umelegea nati.
 
I honestly understand when women complains about kibamia..kwa sababu wao ndio watendwaji wakuu wa either kibamia or muhogo..they are on the receiving side...but mwanaume ambaye ndio mtendaji wa kutumia either kibamia or muhogo sasa anapomcheka mwanaume mwenzio eti ana kibamia au muhogo unatupa wasiwasi umejuaje tofauti ya huo utamu wa muhogo au kibamia...hebu tuelezee kutokana na uzoefu wako mkuu kwa nini hupendi kibamia...au why unapenda limuhogo...
Hahahahah,
 
Ushauri wako ni mzuri ila umetumia maneno makali sana.
 
Kwenye huu uzi nashangaa wanaume wazima kumshambulia mwanaume mwenzio eti ana kibamia, unataka kumjaribu uone kama ana kibamia au? Hata kama ana kubwa utampa matako? Acheni upuuzi kama mnataka kuuona uume wake mfuateni PM mu arrange ukione vizuri mkiwa chumbani , ukikitumia ndiyo uta experience na kuleta mrejesho hapa. Idiot.
 
ni kwasababu mgumu kuelewa, unajua nimemuanzia mbali sana nikijua ana akili kumbe aisee jamaa nashindwa kumweka fungu gani.
Aisee, lakini maneno makali ndiyo yanazidi kuwafarakanisha
 
wow, then ni vizuri kwamba hauoni ulikosea chochote juu ya mamako, na kwamba unaona ni vyema kuanika ugomvi wako na neema. lete vitu lemutuz tusivyovijua tuvielewe. however, ukweli halisi inaonekana umemiss kitu kikubwa sana kuhusu maisha na hauelewi kama umemiss icho kitu, haujabarikiwa nacho icho kitu na haujui kuwa haujabarikiwa nacho, HAUONI UTHAMANI WA MAMA YAKO,, nilichokuwa nasema ni kwamba, kwa mwanadamu mwenye akili ya kawaida anayeishi US, mwenye uwezo wa kubadilisha magari ya garama apendavyo, mwenye kupata mshahara mzuri tu kama uliokuwa unaelezea, mwenye uwezo kubadilisha mabebz kama ulivyokuwa wewe, angeweza kusacrifice chochote ili kuspend time na mamake, wewe ni mtoto wa kambo, mamako ndio inawezekana umedumu naye kuliko babako, kwa mamako wewe ulikuwa lulu, ulikuwa moyoni mwake lakini, amesacrifice vitu vingi sana usivyovijua kwaajili ya maisha yako lakini ulipokuwa mtu mzima ulimtelekeza aishi bila kukuona (hata kama anakusikia kwa simu etc na unatuma vihela) for 30 good years ukaona si bora kusacrifice umarekani ili urudi, and still unaona haujafanya kosa, hivi vijana wadogo wanajifunza nini kwako kwa kutokukubali kosa kama funzo kwa wadogo zako, ninaamini mamako alikuwa anakupenda sana na ulikuwa moyoni mwake, ulikuwa wa thamani mno kwake na alitegemea vingi kwako na si ajabu alitamani awe anakuona mara nyingi lakinni wewe ulimtupa 30 years ati unatafut amaisha? SI N DO MAANA MAISHA YENYEWE HUKUYAPATA ukarudi bongo na pumbuu tu mzee, na still hauoni unatakiwa kukiri kosa ili wadogo zako wajifunze, ivi unajua inafika kipindi naamini le mutuz either umeathirika sana na aina ya maisha uliyoishi na kuna nati fulani zimelegea au pengine hauna akili? una moyo kweli wewe mwanadamu uliyelelewa na mamako tu unaishi 30 years mbali ati usingeweza kumsaidia sana kwasababu ulikuwa unatafuta maisha yako kwanza, yeye angeamua kutafuta maisha yake kwanza badala ya kukulea wewe si ungekuwa msengee wa barabarani tu wewe hata kusoma usingejua sijui ungekuwa unalima mahindi tunduma au ndizi tukuyu au wapi sijui, au ungekuwa mtoto wa barabarani? wa mama huwa wana sacrifice mno kwa watoto wewe hauoni uthamani huo? au ndo maana unaonekana upo kawaida tu kuishi mbali na watoto si ajabu hata watoto wewe hauwathamini kwasababu watajifunza nini kwako haujui kuthamini wazazi na watoto wako watakuwa wakielewa maisha yako hivyohivyo, watoto wako na marafiki zako wanajifunza nini kwako? aisee we nilikuwa nakustahi lakini hauna akili kabisa kabisa na kuna uwezekano mkubwa una laana haki ya nani, unalaana ya bimkubwa au nati imelegea kichwani huko ha hauelewi kama umelegea nati.
Kwa mtazamo wangu, nakubaliana nawe, something is not right with Monsieur Le Mutuz's psychological makeup. I can name a few obvious traits he's known to exhibit: egotism, narcissism and chronic immaturity.
 
I honestly understand when women complains about kibamia..kwa sababu wao ndio watendwaji wakuu wa either kibamia or muhogo..they are on the receiving side...but mwanaume ambaye ndio mtendaji wa kutumia either kibamia or muhogo sasa anapomcheka mwanaume mwenzio eti ana kibamia au muhogo unatupa wasiwasi umejuaje tofauti ya huo utamu wa muhogo au kibamia...hebu tuelezee kutokana na uzoefu wako mkuu kwa nini hupendi kibamia...au why unapenda limuhogo...
Team kibamia akimtetea kibamia mwenzake.

Ni mwendo Wa kuwagongea mpaka maji muite MMA
 
wow, then ni vizuri kwamba hauoni ulikosea chochote juu ya mamako, na kwamba unaona ni vyema kuanika ugomvi wako na neema. lete vitu lemutuz tusivyovijua tuvielewe. however, ukweli halisi inaonekana umemiss kitu kikubwa sana kuhusu maisha na hauelewi kama umemiss icho kitu, haujabarikiwa nacho icho kitu na haujui kuwa haujabarikiwa nacho, HAUONI UTHAMANI WA MAMA YAKO,, nilichokuwa nasema ni kwamba, kwa mwanadamu mwenye akili ya kawaida anayeishi US, mwenye uwezo wa kubadilisha magari ya garama apendavyo, mwenye kupata mshahara mzuri tu kama uliokuwa unaelezea, mwenye uwezo kubadilisha mabebz kama ulivyokuwa wewe, angeweza kusacrifice chochote ili kuspend time na mamake, wewe ni mtoto wa kambo, mamako ndio inawezekana umedumu naye kuliko babako, kwa mamako wewe ulikuwa lulu, ulikuwa moyoni mwake lakini, amesacrifice vitu vingi sana usivyovijua kwaajili ya maisha yako lakini ulipokuwa mtu mzima ulimtelekeza aishi bila kukuona (hata kama anakusikia kwa simu etc na unatuma vihela) for 30 good years ukaona si bora kusacrifice umarekani ili urudi, and still unaona haujafanya kosa, hivi vijana wadogo wanajifunza nini kwako kwa kutokukubali kosa kama funzo kwa wadogo zako, ninaamini mamako alikuwa anakupenda sana na ulikuwa moyoni mwake, ulikuwa wa thamani mno kwake na alitegemea vingi kwako na si ajabu alitamani awe anakuona mara nyingi lakinni wewe ulimtupa 30 years ati unatafut amaisha? SI N DO MAANA MAISHA YENYEWE HUKUYAPATA ukarudi bongo na pumbuu tu mzee, na still hauoni unatakiwa kukiri kosa ili wadogo zako wajifunze, ivi unajua inafika kipindi naamini le mutuz either umeathirika sana na aina ya maisha uliyoishi na kuna nati fulani zimelegea au pengine hauna akili? una moyo kweli wewe mwanadamu uliyelelewa na mamako tu unaishi 30 years mbali ati usingeweza kumsaidia sana kwasababu ulikuwa unatafuta maisha yako kwanza, yeye angeamua kutafuta maisha yake kwanza badala ya kukulea wewe si ungekuwa msengee wa barabarani tu wewe hata kusoma usingejua sijui ungekuwa unalima mahindi tunduma au ndizi tukuyu au wapi sijui, au ungekuwa mtoto wa barabarani? wa mama huwa wana sacrifice mno kwa watoto wewe hauoni uthamani huo? au ndo maana unaonekana upo kawaida tu kuishi mbali na watoto si ajabu hata watoto wewe hauwathamini kwasababu watajifunza nini kwako haujui kuthamini wazazi na watoto wako watakuwa wakielewa maisha yako hivyohivyo, watoto wako na marafiki zako wanajifunza nini kwako? aisee we nilikuwa nakustahi lakini hauna akili kabisa kabisa na kuna uwezekano mkubwa una laana haki ya nani, unalaana ya bimkubwa au nati imelegea kichwani huko ha hauelewi kama umelegea nati.

- hahahaha My belief ni Wazazi wangu walinizaa wakamaliza kazi Dunia nimepigana nayo mwenyewe, Mama yangu was just fine kuna mengi ambayo siwezi kuyaweka hapa kwa mfano mdogo niliporudi mara ya kwanza kutoka Majuu kabla sijaenda USA nilitaka kubomoa kila kitu pale Ukonga na kumjengea upya akagoma akanishauri nijenge yangu, which I did

- Nilipoondoka kwenda USA alikua na maisha mazuri sana Dar, na alikua hata na uwezo wa kwenda UK mara kwa mara, then akaishia Tunduma ni mpaka nilipokuja kumuona. Nikiwa USA nilikua namtumia pesa za kumsaidia kilichonipeleka USA kwanza ilikua ni Elimu, na maisha yangu then ndio ningeweza kumsaidia,

- Wakati ninanunua magari yeye alikua ananipigia akiwa UK so it was fine, hakuna siku alinipigia kuniambia anahamia Tunduma na kwamba ameuza kila kitu, maneno yako ni kama yake ya kukataa msaada kisa analinda makaburi ya wazazi wake, wewe unaongea kiswahili zaidi na wale wote wenye tabia za kiswahili wanakuelewa ila with my American Spirit na knowing what I had to go through in my life kufikia nilipo wala hunisumbui,

- Marehemu Mama yangu alikua mama yangu, ila nisingeweza kumsaidia nikiwa sipo sawa na nilipofikia kuwa sawa nilitaka kumsaidia akakataa, lakini nilimsaidia as much as I could na sasa hivi nimeanza mchakato wa kumjengea kaburi, kama kuna nilipopungua Mungu ndiye atakeynihukumu sio wewe na kama ingakua ni kweli basi nisingekua na maisha niliyonayo, waliokasirikiwa na mama zao nawaona hapa mjini,

- Mama yangu asingeweza kunikasirikia kwa sababu anajua njia niliyopitia hata kufikia kumsaidia haikua rahisi,kwa maneno yako ulitaka nicha kuishi maisha yangu Marekani kwa sababu ya Mama yangu aliyeamua kuhamia tunduma, come on pole sana ninajairbu kukuelewa lakini sioni point na besides it is mylife!!

- Na kama unayoyasema ni kweli Diamond Platnumz asingekua alipo sasa kwa jinsi asivyomtaka baba yake mzazi, usijifanye Mungu anayejua kila kitu kubali hujui lolote unajaribu tu kujifanya unajua, it is my life mimi ndiye ninayejua niliyoyapitia so relax guy!

Thanks hahahahaha!

le Mutuz
 
Kwa mtazamo wangu, nakubaliana nawe, something is not right with Monsieur Le Mutuz's psychological makeup. I can name a few obvious traits he's known to exhibit: egotism, narcissism and chronic immaturity.

- Seriously ingekua kweli basi nisingeishi maisha ninayoishi, lets say wewe upo sawa Psychologically so utawafundisha watoto wako kutumia majina ya bandia kwenye mitandao kushambulia watu wasiowajua kama unavyofanya?

Unasema wewe upo psychological ok?

- hahahahaha please!

le Mutuz
 
Back
Top Bottom