souljah meditater
JF-Expert Member
- Oct 15, 2012
- 2,146
- 2,098
funny but not fun... waiting for the next episode
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Le mutuz, tafadhali achana na story ya NEEMA na bimkubwa, endelea na part 38, kwasababu tukijadili Neema conclusion ni kwamba ni moja wapo ya wanawake mfano mbaya kuigwa apa duniani, huyo namweka fungu moja la mchicha la joyce kiria, lady jaydee, na Neema x wako.- Ndio maana ninataka kuweka record straight very soon nikimaliza "THE AMERICAN EXPERIENCE" maana kuna wakati ninaweza kuingia Club bongo na kukuta nime date almost a half of wabebezz there sisemi ni ushujaa hapana mimi naamini kila mtu na hobby zake.
- Ndio maana ninasema ningekua kweli na kibamia nisngekaa tena hapa mjini, hawa wabebezz wangeniua kwa mashambulizi, angalia mashambulizi ya my ex zamani hakuna mahali aliawahi kusema hayo ingawa sasa na yeye anataka kujifanya kudandia treni, hahaha U know
le Mutuz
Hope atakuelewa le mutuz kapitia mengi jamaniLe mutuz, tafadhali achana na story ya NEEMA na bimkubwa, endelea na part 38, kwasababu tukijadili Neema conclusion ni kwamba ni moja wapo ya wanawake mfano mbaya kuigwa apa duniani, huyo namweka fungu moja la mchicha la joyce kiria, lady jaydee, na Neema x wako.
na ukija suala la bimkubwa, usijadili kwasababu ulimess up, ulifanya makosa/mapungufu ambayo unatakiwa kuadmit na kusonga mbele. unatakiwa kufunga ukurasa tujadili vingine kama ulivyosema jana ila ukirudi kufanya watu wajadili issue ya bimkubwa kiukweli utapata jibu kuwa ulikosea na unatakiwa kuadmit kuwa uliishi muda mrefu mbali na mtu aliyekupenda bila kuja kumuona bila sababu ya msingi, kama uwezo ulikuwa nao ulikuwa na uwezo kununua gari za garama kuliko ticket ya kuja na kurudi bongo. you made a mistake ina itakuwa vizuru sana ukikubali, kufanya kosa si kosa ila kurudia kosa, yawezekana ulikuwa nasababu fulani za msingi lakini hazikuwa substantial kufanya uishi miaka yote hiyo, ni mingi sana ujue kwa mtu anayekupenda kama maza. hovyo tafadhali tujadili vitu vingine. pia ukirudi kwa neema, achana naye, usimjibu, ulivyokuwa umenyamaza ulionekana wewe una busara kuliko yeye, ukijibizana naye mtaonekana mko sawa, na zaidi sana, kuanika maisha yenu ya private kama ya ndoa na mahusiano si vizuri sana, gombaneni ila jueni yote mtakayojadili watoto wenu wameshakuwa wakubwa itafika kipindi wataingia humu na watasoma hizo comments zenu na watawashangaa why wazazi walifika mbali kiasi hicho kuchambuana kwenye public, na pengine itawaathiri watoto kwa namna moja ama nyingine kisaikolojia. hivyo ili uonekana una akili kubwaz kama unavyojiita, chuna izo issue za ndani na neema achana nazo. watu walishaanza kusahau hadi ile clip kutokana na story yako kunoga sasa wewe ukitupoteza tena ukampa neema nafasi kukuchambua kwa mengine tusiyojua(mtu ukiishi naye 15 years si malaika unayo mapungufu mengi tusioyajua), utaaibishwa bure na haina faida kwa watoto wako hata kama wewe kwa upande wako its your life and you don't care.
Le mutuz huwa unawagegeda kweli?- Ndio maana ninataka kuweka record straight very soon nikimaliza "THE AMERICAN EXPERIENCE" maana kuna wakati ninaweza kuingia Club bongo na kukuta nime date almost a half of wabebezz there sisemi ni ushujaa hapana mimi naamini kila mtu na hobby zake.
- Ndio maana ninasema ningekua kweli na kibamia nisngekaa tena hapa mjini, hawa wabebezz wangeniua kwa mashambulizi, angalia mashambulizi ya my ex zamani hakuna mahali aliawahi kusema hayo ingawa sasa na yeye anataka kujifanya kudandia treni, hahaha U know
le Mutuz
Watu wana kila haki kuwa outraged na kuwa critical au negative sawasawa na wale wote wanao msupport au kumkubali huyu baba au kuheshimu uamuzi wake wa kuweka private life yake mtandaoni for full public scrutiny. Ni jambo la ajabu sana kwa mtu wa background na umri wake ku behave so immaturely and in total disregard of morals, norms and standards of behavior za jamii inayomzunguka.Sasa tuchukulie hivyo unavyotaka ww kwamba ww sio x wake ss maisha yke yanakuhusu nn kila mtu na maisha ndugu yngu tuache roho hzo watu weusi watu km nyie ndio wachawi wenyewe wa kipindi hiki hiyo husda mbaya sna ndugu yngu pole sna muache huyo nae mwita kubwa jinga kibamia ndio maisha yke ww angalia yko ukishindwa njoo pm nikupe mume mm...
Watu wana kila haki kuwa outraged na kuwa critical au negative sawasawa na wale wote wanao msupport au kumkubali huyu baba au kuheshimu uamuzi wake wa kuweka private life yake mtandaoni for full public scrutiny. Ni jambo la ajabu sana kwa mtu wa background na umri wake ku behave so immaturely and in total disregard of morals, norms and standards of behavior za jamii inayomzunguka.
Le mutuz, tafadhali achana na story ya NEEMA na bimkubwa, endelea na part 38, kwasababu tukijadili Neema conclusion ni kwamba ni moja wapo ya wanawake mfano mbaya kuigwa apa duniani, huyo namweka fungu moja la mchicha la joyce kiria, lady jaydee, na Neema x wako.
na ukija suala la bimkubwa, usijadili kwasababu ulimess up, ulifanya makosa/mapungufu ambayo unatakiwa kuadmit na kusonga mbele. unatakiwa kufunga ukurasa tujadili vingine kama ulivyosema jana ila ukirudi kufanya watu wajadili issue ya bimkubwa kiukweli utapata jibu kuwa ulikosea na unatakiwa kuadmit kuwa uliishi muda mrefu mbali na mtu aliyekupenda bila kuja kumuona bila sababu ya msingi, kama uwezo ulikuwa nao ulikuwa na uwezo kununua gari za garama kuliko ticket ya kuja na kurudi bongo. you made a mistake ina itakuwa vizuru sana ukikubali, kufanya kosa si kosa ila kurudia kosa, yawezekana ulikuwa nasababu fulani za msingi lakini hazikuwa substantial kufanya uishi miaka yote hiyo, ni mingi sana ujue kwa mtu anayekupenda kama maza. hovyo tafadhali tujadili vitu vingine. pia ukirudi kwa neema, achana naye, usimjibu, ulivyokuwa umenyamaza ulionekana wewe una busara kuliko yeye, ukijibizana naye mtaonekana mko sawa, na zaidi sana, kuanika maisha yenu ya private kama ya ndoa na mahusiano si vizuri sana, gombaneni ila jueni yote mtakayojadili watoto wenu wameshakuwa wakubwa itafika kipindi wataingia humu na watasoma hizo comments zenu na watawashangaa why wazazi walifika mbali kiasi hicho kuchambuana kwenye public, na pengine itawaathiri watoto kwa namna moja ama nyingine kisaikolojia. hivyo ili uonekana una akili kubwaz kama unavyojiita, chuna izo issue za ndani na neema achana nazo. watu walishaanza kusahau hadi ile clip kutokana na story yako kunoga sasa wewe ukitupoteza tena ukampa neema nafasi kukuchambua kwa mengine tusiyojua(mtu ukiishi naye 15 years si malaika unayo mapungufu mengi tusioyajua), utaaibishwa bure na haina faida kwa watoto wako hata kama wewe kwa upande wako its your life and you don't care.
Sijasema unayoandika ni upuuzi bro. In fact its mighty entertaining stuff in my opinion. The whole damn thread.- Well, it is my life na I am American in spirit, sina tatizo na yeyote anayetaka kuamini anavyotaka ila chaa msingi ni kwamba kwanza sijaweka kila kitu wazi kuna vingi sana ambavyo sijasema na besides my ex amenichafua sana so huwa ninajibu wazi wazi zile sehemu za maisha yangu anazoamua kupotosha kwa makusudi,
- Otherwise nimekusoma ila kuna Vijana wengi sana ninaowasaidiaa na hii story kama na mimi nilivyosaidiwa na story za ukweli za kina Mike Tryson na Donald Trump. Ila nilidhani mtu ukiona kinachoandikwa ni upuuzi unachana nacho au?
le Mutuz
wow, then ni vizuri kwamba hauoni ulikosea chochote juu ya mamako, na kwamba unaona ni vyema kuanika ugomvi wako na neema. lete vitu lemutuz tusivyovijua tuvielewe. however, ukweli halisi inaonekana umemiss kitu kikubwa sana kuhusu maisha na hauelewi kama umemiss icho kitu, haujabarikiwa nacho icho kitu na haujui kuwa haujabarikiwa nacho, HAUONI UTHAMANI WA MAMA YAKO,, nilichokuwa nasema ni kwamba, kwa mwanadamu mwenye akili ya kawaida anayeishi US, mwenye uwezo wa kubadilisha magari ya garama apendavyo, mwenye kupata mshahara mzuri tu kama uliokuwa unaelezea, mwenye uwezo kubadilisha mabebz kama ulivyokuwa wewe, angeweza kusacrifice chochote ili kuspend time na mamake, wewe ni mtoto wa kambo, mamako ndio inawezekana umedumu naye kuliko babako, kwa mamako wewe ulikuwa lulu, ulikuwa moyoni mwake lakini, amesacrifice vitu vingi sana usivyovijua kwaajili ya maisha yako lakini ulipokuwa mtu mzima ulimtelekeza aishi bila kukuona (hata kama anakusikia kwa simu etc na unatuma vihela) for 30 good years ukaona si bora kusacrifice umarekani ili urudi, and still unaona haujafanya kosa, hivi vijana wadogo wanajifunza nini kwako kwa kutokukubali kosa kama funzo kwa wadogo zako, ninaamini mamako alikuwa anakupenda sana na ulikuwa moyoni mwake, ulikuwa wa thamani mno kwake na alitegemea vingi kwako na si ajabu alitamani awe anakuona mara nyingi lakinni wewe ulimtupa 30 years ati unatafut amaisha? SI N DO MAANA MAISHA YENYEWE HUKUYAPATA ukarudi bongo na pumbuu tu mzee, na still hauoni unatakiwa kukiri kosa ili wadogo zako wajifunze, ivi unajua inafika kipindi naamini le mutuz either umeathirika sana na aina ya maisha uliyoishi na kuna nati fulani zimelegea au pengine hauna akili? una moyo kweli wewe mwanadamu uliyelelewa na mamako tu unaishi 30 years mbali ati usingeweza kumsaidia sana kwasababu ulikuwa unatafuta maisha yako kwanza, yeye angeamua kutafuta maisha yake kwanza badala ya kukulea wewe si ungekuwa msengee wa barabarani tu wewe hata kusoma usingejua sijui ungekuwa unalima mahindi tunduma au ndizi tukuyu au wapi sijui, au ungekuwa mtoto wa barabarani? wa mama huwa wana sacrifice mno kwa watoto wewe hauoni uthamani huo? au ndo maana unaonekana upo kawaida tu kuishi mbali na watoto si ajabu hata watoto wewe hauwathamini kwasababu watajifunza nini kwako haujui kuthamini wazazi na watoto wako watakuwa wakielewa maisha yako hivyohivyo, watoto wako na marafiki zako wanajifunza nini kwako? aisee we nilikuwa nakustahi lakini hauna akili kabisa kabisa na kuna uwezekano mkubwa una laana haki ya nani, unalaana ya bimkubwa au nati imelegea kichwani huko ha hauelewi kama umelegea nati.- Mpaka sasa hivi nipo Part 39, hakuna wa kunizuia kuandika ninachotaka na nilichoamua mwenyewe kwa hiari yangu.
- Neema sijawahi kumchokoza ila kumjibu tu inapobidi na niatendelea na hilo naomba tu ukiona nimemjibu ruka page tu maana inaonekana inakukera sana, vumilia tu mimi nisipomjibu ninaweza kuumwa maana sikuzaliwa kutokujibu, na ningekua sijibu in my life nisingefikia hapa nilipo.
- Kuhusu Marehemu Mama yangu hakuna popote nilipomkosea nilikua Majuu natafuta maisha yangu hakunipeleka yeye wala mtu yoyote it was me na maisha yangu aliyoniletea yeye mwenyewe, sikuwa na makaratasi so nisingeweza kurudi lakini nilipopata nafasi ya kurudi nilifanya nilichokiona ni sawa, now nisingeweza kumsaidia kabla sijawa sawa HAPANA, ninarudia tena kwamba ishu ya MArehemu Mama yangu i was 100% right.
- Again kwenye maisha yangu sijawahi kumpa nafasi binadam yoyote kuamini kua ana power over me, naona unajaribu kushauri ninyamaze maana Neema ana mapungufu mengi sana yangu ukweli ni kwamba ana chuki za kumuacha na kuendelea na maisha yangu ndicho kinachomuumiza ndio maana halali kunifuatilia tu maisha yangu, yupo na id zake feki kila mahalia ananifuata mimi sina muda naye mpaka nikifika huku ndio namkuta na ninampa majibu nikiamua kumuanika ya kwake ambayo ni ya kweli atajinyonga,
- So please aidha soma uelimike au nyamaza uwaachie wengine ila ushauri kama wako nauogopa sana maana unanifundisha kuwa a Coward I am not!, na sijakuomba ushauri wowote uwe wewe wala mtu yoyote I am just enjoying my life!
le Mutuz
Hahahahah,I honestly understand when women complains about kibamia..kwa sababu wao ndio watendwaji wakuu wa either kibamia or muhogo..they are on the receiving side...but mwanaume ambaye ndio mtendaji wa kutumia either kibamia or muhogo sasa anapomcheka mwanaume mwenzio eti ana kibamia au muhogo unatupa wasiwasi umejuaje tofauti ya huo utamu wa muhogo au kibamia...hebu tuelezee kutokana na uzoefu wako mkuu kwa nini hupendi kibamia...au why unapenda limuhogo...
Hahahahah,I honestly understand when women complains about kibamia..kwa sababu wao ndio watendwaji wakuu wa either kibamia or muhogo..they are on the receiving side...but mwanaume ambaye ndio mtendaji wa kutumia either kibamia or muhogo sasa anapomcheka mwanaume mwenzio eti ana kibamia au muhogo unatupa wasiwasi umejuaje tofauti ya huo utamu wa muhogo au kibamia...hebu tuelezee kutokana na uzoefu wako mkuu kwa nini hupendi kibamia...au why unapenda limuhogo...
Ushauri wako ni mzuri ila umetumia maneno makali sana.wow, then ni vizuri kwamba hauoni ulikosea chochote juu ya mamako, na kwamba unaona ni vyema kuanika ugomvi wako na neema. lete vitu lemutuz tusivyovijua tuvielewe. however, ukweli halisi inaonekana umemiss kitu kikubwa sana kuhusu maisha na hauelewi kama umemiss icho kitu, haujabarikiwa nacho icho kitu na haujui kuwa haujabarikiwa nacho, HAUONI UTHAMANI WA MAMA YAKO,, nilichokuwa nasema ni kwamba, kwa mwanadamu mwenye akili ya kawaida anayeishi US, mwenye uwezo wa kubadilisha magari ya garama apendavyo, mwenye kupata mshahara mzuri tu kama uliokuwa unaelezea, mwenye uwezo kubadilisha mabebz kama ulivyokuwa wewe, angeweza kusacrifice chochote ili kuspend time na mamake, wewe ni mtoto wa kambo, mamako ndio inawezekana umedumu naye kuliko babako, kwa mamako wewe ulikuwa lulu, ulikuwa moyoni mwake lakini, amesacrifice vitu vingi sana usivyovijua kwaajili ya maisha yako lakini ulipokuwa mtu mzima ulimtelekeza aishi bila kukuona (hata kama anakusikia kwa simu etc na unatuma vihela) for 30 good years ukaona si bora kusacrifice umarekani ili urudi, and still unaona haujafanya kosa, hivi vijana wadogo wanajifunza nini kwako kwa kutokukubali kosa kama funzo kwa wadogo zako, ninaamini mamako alikuwa anakupenda sana na ulikuwa moyoni mwake, ulikuwa wa thamani mno kwake na alitegemea vingi kwako na si ajabu alitamani awe anakuona mara nyingi lakinni wewe ulimtupa 30 years ati unatafut amaisha? SI N DO MAANA MAISHA YENYEWE HUKUYAPATA ukarudi bongo na pumbuu tu mzee, na still hauoni unatakiwa kukiri kosa ili wadogo zako wajifunze, ivi unajua inafika kipindi naamini le mutuz either umeathirika sana na aina ya maisha uliyoishi na kuna nati fulani zimelegea au pengine hauna akili? una moyo kweli wewe mwanadamu uliyelelewa na mamako tu unaishi 30 years mbali ati usingeweza kumsaidia sana kwasababu ulikuwa unatafuta maisha yako kwanza, yeye angeamua kutafuta maisha yake kwanza badala ya kukulea wewe si ungekuwa msengee wa barabarani tu wewe hata kusoma usingejua sijui ungekuwa unalima mahindi tunduma au ndizi tukuyu au wapi sijui, au ungekuwa mtoto wa barabarani? wa mama huwa wana sacrifice mno kwa watoto wewe hauoni uthamani huo? au ndo maana unaonekana upo kawaida tu kuishi mbali na watoto si ajabu hata watoto wewe hauwathamini kwasababu watajifunza nini kwako haujui kuthamini wazazi na watoto wako watakuwa wakielewa maisha yako hivyohivyo, watoto wako na marafiki zako wanajifunza nini kwako? aisee we nilikuwa nakustahi lakini hauna akili kabisa kabisa na kuna uwezekano mkubwa una laana haki ya nani, unalaana ya bimkubwa au nati imelegea kichwani huko ha hauelewi kama umelegea nati.
ni kwasababu mgumu kuelewa, unajua nimemuanzia mbali sana nikijua ana akili kumbe aisee jamaa nashindwa kumweka fungu gani.Ushauri wako ni mzuri ila umetumia maneno makali sana.
Aisee, lakini maneno makali ndiyo yanazidi kuwafarakanishani kwasababu mgumu kuelewa, unajua nimemuanzia mbali sana nikijua ana akili kumbe aisee jamaa nashindwa kumweka fungu gani.
Kwa mtazamo wangu, nakubaliana nawe, something is not right with Monsieur Le Mutuz's psychological makeup. I can name a few obvious traits he's known to exhibit: egotism, narcissism and chronic immaturity.wow, then ni vizuri kwamba hauoni ulikosea chochote juu ya mamako, na kwamba unaona ni vyema kuanika ugomvi wako na neema. lete vitu lemutuz tusivyovijua tuvielewe. however, ukweli halisi inaonekana umemiss kitu kikubwa sana kuhusu maisha na hauelewi kama umemiss icho kitu, haujabarikiwa nacho icho kitu na haujui kuwa haujabarikiwa nacho, HAUONI UTHAMANI WA MAMA YAKO,, nilichokuwa nasema ni kwamba, kwa mwanadamu mwenye akili ya kawaida anayeishi US, mwenye uwezo wa kubadilisha magari ya garama apendavyo, mwenye kupata mshahara mzuri tu kama uliokuwa unaelezea, mwenye uwezo kubadilisha mabebz kama ulivyokuwa wewe, angeweza kusacrifice chochote ili kuspend time na mamake, wewe ni mtoto wa kambo, mamako ndio inawezekana umedumu naye kuliko babako, kwa mamako wewe ulikuwa lulu, ulikuwa moyoni mwake lakini, amesacrifice vitu vingi sana usivyovijua kwaajili ya maisha yako lakini ulipokuwa mtu mzima ulimtelekeza aishi bila kukuona (hata kama anakusikia kwa simu etc na unatuma vihela) for 30 good years ukaona si bora kusacrifice umarekani ili urudi, and still unaona haujafanya kosa, hivi vijana wadogo wanajifunza nini kwako kwa kutokukubali kosa kama funzo kwa wadogo zako, ninaamini mamako alikuwa anakupenda sana na ulikuwa moyoni mwake, ulikuwa wa thamani mno kwake na alitegemea vingi kwako na si ajabu alitamani awe anakuona mara nyingi lakinni wewe ulimtupa 30 years ati unatafut amaisha? SI N DO MAANA MAISHA YENYEWE HUKUYAPATA ukarudi bongo na pumbuu tu mzee, na still hauoni unatakiwa kukiri kosa ili wadogo zako wajifunze, ivi unajua inafika kipindi naamini le mutuz either umeathirika sana na aina ya maisha uliyoishi na kuna nati fulani zimelegea au pengine hauna akili? una moyo kweli wewe mwanadamu uliyelelewa na mamako tu unaishi 30 years mbali ati usingeweza kumsaidia sana kwasababu ulikuwa unatafuta maisha yako kwanza, yeye angeamua kutafuta maisha yake kwanza badala ya kukulea wewe si ungekuwa msengee wa barabarani tu wewe hata kusoma usingejua sijui ungekuwa unalima mahindi tunduma au ndizi tukuyu au wapi sijui, au ungekuwa mtoto wa barabarani? wa mama huwa wana sacrifice mno kwa watoto wewe hauoni uthamani huo? au ndo maana unaonekana upo kawaida tu kuishi mbali na watoto si ajabu hata watoto wewe hauwathamini kwasababu watajifunza nini kwako haujui kuthamini wazazi na watoto wako watakuwa wakielewa maisha yako hivyohivyo, watoto wako na marafiki zako wanajifunza nini kwako? aisee we nilikuwa nakustahi lakini hauna akili kabisa kabisa na kuna uwezekano mkubwa una laana haki ya nani, unalaana ya bimkubwa au nati imelegea kichwani huko ha hauelewi kama umelegea nati.
Team kibamia akimtetea kibamia mwenzake.I honestly understand when women complains about kibamia..kwa sababu wao ndio watendwaji wakuu wa either kibamia or muhogo..they are on the receiving side...but mwanaume ambaye ndio mtendaji wa kutumia either kibamia or muhogo sasa anapomcheka mwanaume mwenzio eti ana kibamia au muhogo unatupa wasiwasi umejuaje tofauti ya huo utamu wa muhogo au kibamia...hebu tuelezee kutokana na uzoefu wako mkuu kwa nini hupendi kibamia...au why unapenda limuhogo...
wow, then ni vizuri kwamba hauoni ulikosea chochote juu ya mamako, na kwamba unaona ni vyema kuanika ugomvi wako na neema. lete vitu lemutuz tusivyovijua tuvielewe. however, ukweli halisi inaonekana umemiss kitu kikubwa sana kuhusu maisha na hauelewi kama umemiss icho kitu, haujabarikiwa nacho icho kitu na haujui kuwa haujabarikiwa nacho, HAUONI UTHAMANI WA MAMA YAKO,, nilichokuwa nasema ni kwamba, kwa mwanadamu mwenye akili ya kawaida anayeishi US, mwenye uwezo wa kubadilisha magari ya garama apendavyo, mwenye kupata mshahara mzuri tu kama uliokuwa unaelezea, mwenye uwezo kubadilisha mabebz kama ulivyokuwa wewe, angeweza kusacrifice chochote ili kuspend time na mamake, wewe ni mtoto wa kambo, mamako ndio inawezekana umedumu naye kuliko babako, kwa mamako wewe ulikuwa lulu, ulikuwa moyoni mwake lakini, amesacrifice vitu vingi sana usivyovijua kwaajili ya maisha yako lakini ulipokuwa mtu mzima ulimtelekeza aishi bila kukuona (hata kama anakusikia kwa simu etc na unatuma vihela) for 30 good years ukaona si bora kusacrifice umarekani ili urudi, and still unaona haujafanya kosa, hivi vijana wadogo wanajifunza nini kwako kwa kutokukubali kosa kama funzo kwa wadogo zako, ninaamini mamako alikuwa anakupenda sana na ulikuwa moyoni mwake, ulikuwa wa thamani mno kwake na alitegemea vingi kwako na si ajabu alitamani awe anakuona mara nyingi lakinni wewe ulimtupa 30 years ati unatafut amaisha? SI N DO MAANA MAISHA YENYEWE HUKUYAPATA ukarudi bongo na pumbuu tu mzee, na still hauoni unatakiwa kukiri kosa ili wadogo zako wajifunze, ivi unajua inafika kipindi naamini le mutuz either umeathirika sana na aina ya maisha uliyoishi na kuna nati fulani zimelegea au pengine hauna akili? una moyo kweli wewe mwanadamu uliyelelewa na mamako tu unaishi 30 years mbali ati usingeweza kumsaidia sana kwasababu ulikuwa unatafuta maisha yako kwanza, yeye angeamua kutafuta maisha yake kwanza badala ya kukulea wewe si ungekuwa msengee wa barabarani tu wewe hata kusoma usingejua sijui ungekuwa unalima mahindi tunduma au ndizi tukuyu au wapi sijui, au ungekuwa mtoto wa barabarani? wa mama huwa wana sacrifice mno kwa watoto wewe hauoni uthamani huo? au ndo maana unaonekana upo kawaida tu kuishi mbali na watoto si ajabu hata watoto wewe hauwathamini kwasababu watajifunza nini kwako haujui kuthamini wazazi na watoto wako watakuwa wakielewa maisha yako hivyohivyo, watoto wako na marafiki zako wanajifunza nini kwako? aisee we nilikuwa nakustahi lakini hauna akili kabisa kabisa na kuna uwezekano mkubwa una laana haki ya nani, unalaana ya bimkubwa au nati imelegea kichwani huko ha hauelewi kama umelegea nati.
Kwa mtazamo wangu, nakubaliana nawe, something is not right with Monsieur Le Mutuz's psychological makeup. I can name a few obvious traits he's known to exhibit: egotism, narcissism and chronic immaturity.