Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

- hahahaha My belief ni Wazazi wangu walinizaa wakamaliza kazi Dunia nimepigana nayo mwenyewe, Mama yangu was just fine kuna mengi ambayo siwezi kuyaweka hapa kwa mfano mdogo niliporudi mara ya kwanza kutoka Majuu kabla sijaenda USA nilitaka kubomoa kila kitu pale Ukonga na kumjengea upya akagoma akanishauri nijenge yangu, which I did

- Nilipoondoka kwenda USA alikua na maisha mazuri sana Dar, na alikua hata na uwezo wa kwenda UK mara kwa mara, then akaishia Tunduma ni mpaka nilipokuja kumuona. Nikiwa USA nilikua namtumia pesa za kumsaidia kilichonipeleka USA kwanza ilikua ni Elimu, na maisha yangu then ndio ningeweza kumsaidia,

- Wakati ninanunua magari yeye alikua ananipigia akiwa UK so it was fine, hakuna siku alinipigia kuniambia anahamia Tunduma na kwamba ameuza kila kitu, maneno yako ni kama yake ya kukataa msaada kisa analinda makaburi ya wazazi wake, wewe unaongea kiswahili zaidi na wale wote wenye tabia za kiswahili wanakuelewa ila with my American Spirit na knowing what I had to go through in my life kufikia nilipo wala hunisumbui,

- Marehemu Mama yangu alikua mama yangu, ila nisingeweza kumsaidia nikiwa sipo sawa na nilipofikia kuwa sawa nilitaka kumsaidia akakataa, lakini nilimsaidia as much as I could na sasa hivi nimeanza mchakato wa kumjengea kaburi, kama kuna nilipopungua Mungu ndiye atakeynihukumu sio wewe na kama ingakua ni kweli basi nisingekua na maisha niliyonayo, waliokasirikiwa na mama zao nawaona hapa mjini,

- Mama yangu asingeweza kunikasirikia kwa sababu anajua njia niliyopitia hata kufikia kumsaidia haikua rahisi,kwa maneno yako ulitaka nicha kuishi maisha yangu Marekani kwa sababu ya Mama yangu aliyeamua kuhamia tunduma, come on pole sana ninajairbu kukuelewa lakini sioni point na besides it is mylife!!

Thanks hahahahaha!

le Mutuz
then what do you have for your kids to learn mkuu? na mama unayesema alikuwa UK ndo yule kwenye picha? tafadhali Le mutuz! how come toka awe kwenye uwezo wa kusafiri UK hadi kufikia kuwa vile, wewe ulikuja kustuka yuko vile au alienda UK akiwa vile, utakuwa ulistuka sana kumuona vile bila shaka na ulistuka kwasababu ni kitambo hamkuonana, 31 good years, your mother? alikuwa anatumiwa hela, hivi mama huwa anahitaji hela au wewe? hapo ulipo unaweza kutuma pesa zozote kwa wanao US lakini they need somethng bigger than that, wanataka kukuona wewe, hicho ndio kitu cha thamani....sasa unajua nashangaa kwamba una ona kitu cha kawaida tu, ulikuwa unatafuta maisha tu kukaa miaka yote hiyo bila kumwona mamako and you don't regret. ndo maana nasema inawezekana haukufanikiwa huko ulikokuwa ukarudi bongo na tumbo kubwa tu na maneno mengi kuwa wewe ni akili kubwaz mtu wa mabebez etc ila hakuna ulichochuma US miaka yote hiyo....ni laana iyo bro na haujielewi. admit it na uendelee kumtafuta Mungu akuponye. its unfortunate kwamba haujioni na hauujui ukweli huu. wazazi wetu wanatuhitaji sisi kuliko pesa zetu, na sisi tunatakiwa kuwathamini sometimes kuliko kutafuta kwetu maisha kwasababu unaweza kutafuta maisha sana ukaishia kuwa masikini kwasababu haujabarikiwa ila mwingine akatafuta maisha kidogo tu akatusua kwasababu amefuata mkondo wa baraka, na wazazi wanatoa baraka mkuu, mzazi akinung'unika unalaaniwa mzee, miaka 31 bimkubwa hajawahi kukulalamikia?.....
 
- Mama yangu alikua anasafiri sana kwenda UK, na nimeongea naye sana akiwa huko kabla hajaacha na kuhamia Tunduma, mama yangu asingeweza kuniona kwa sababu sikuwa na makaratasi ya kurudi bongo na nisingeacha maisha yangu kisa kumkimbilia mama aliyeamua kuuza kila kitu na kuhamia Tunduma, no way labda kama ningekua nimepungukiwa akili,

- Mama yangu nilikuja kumuona after 31 years za kupigana na maisha, lakini nilikua namtumia pesa Majuu nilipata mafanikio makubwa sana ambayo yamenifanya mpaka leo nipo ninaishi vizuri na mpaka nikaja kumsaidia na yeye mwenyewe na leo ninamjengea kaburi, kama sikuenda Majuu nisingekuja kufanikiwa kufanya haya mambo, unaongea ujinga sana unaposema kurudi na Dola 1000 ilikua laana ila hujui kuna wenzangu niliokuwa ninaishi nao USA waliorudi na Dola zaidi ya 50,000 waliishiwa na wamerudi tena USA.

- Ninazo baraka kubwa sana za Mama yangu na Mungu, ndio maana mambo yapo sawa kabisa na ndio maana kila mwisho wa mwaka ninaenda nje kupumzika, hahahaha mama hakuwa wa kumlalamikia kwa sababu waliokuwa karibu naye wote walikua wanajua ukweli wa kila kitu, ukitaka nikuonyeshee watu wenye laana za wazazi wao hapa mjini nitafute nikuonyeshe hahahahaha achana na mimi kaka kichwa changu kizima na my life goes on!

- Na kwa taarifa yako kila nichogusa kinafanikiwa, nilianza na Blog nikaaambiwa zipo kama 2000 hapa bongo tizama nilivyopasua kwa investment ya just 500 dollars, Blog imenipelekea kuanzia Online TV now majuzi after just 2 months hewani sasa nipo payroll ya You Tube, napasua mikataba kibao nimeaajiri wanfanyakazi sio kwa kua na laana mkuu hahahahaha labda laana yako ambayo ninaipenda maana inanifanikisha mambo yangu, naomba unipe laana nyingine mkuu maana nataka kufungua TV na Radio yangu mwenye ndio hasa lengo na litafanikiwa ukinipa laana yako kama ya kwanza hahahahahaha

- Next time jifunze kutafuta ukweli wote kabla hujaruka ruka na hukumu za kiswahili swahili, niambie afadhali mimi nilikua nje Diamond na baba yake wapo hapa hapa bongo mbona hamjali na maisha yansonga, usichokijua ni ile sheria yangu muhimu aya maisha in life "TUNAVUNA TULICHOPANDA TU"

le Mutuz
 
Ahahhaha me nimeshafananisha ni watu wawili tofauti hakikisha na wewe
PhotoGrid_1519310623371.jpg

Tusaidiane
 
ni kwasababu mgumu kuelewa, unajua nimemuanzia mbali sana nikijua ana akili kumbe aisee jamaa nashindwa kumweka fungu gani.

- hahahaa sasa unmfuataje mtu ambaye unadhani hana akili? hahahaha nani ana akili mimi ninayepiga pesa humu kwenye mitandao au wewe unapoteza bando bure? hahahaha tulia mkuu usome darasa la maisha, kwenye maisha tunavuna tulichopanda tu, Baba yake Diamond anavuna alichopanda!

Kwanini nasra alikuacha? Yule mbabe alikuwa mkale sana.mlipendezeana sana
 
then what do you have for your kids to learn mkuu? na mama unayesema alikuwa UK ndo yule kwenye picha? tafadhali Le mutuz! how come toka awe kwenye uwezo wa kusafiri UK hadi kufikia kuwa vile, wewe ulikuja kustuka yuko vile au alienda UK akiwa vile, utakuwa ulistuka sana kumuona vile bila shaka na ulistuka kwasababu ni kitambo hamkuonana, 31 good years, your mother? alikuwa anatumiwa hela, hivi mama huwa anahitaji hela au wewe? hapo ulipo unaweza kutuma pesa zozote kwa wanao US lakini they need somethng bigger than that, wanataka kukuona wewe, hicho ndio kitu cha thamani....sasa unajua nashangaa kwamba una ona kitu cha kawaida tu, ulikuwa unatafuta maisha tu kukaa miaka yote hiyo bila kumwona mamako and you don't regret. ndo maana nasema inawezekana haukufanikiwa huko ulikokuwa ukarudi bongo na tumbo kubwa tu na maneno mengi kuwa wewe ni akili kubwaz mtu wa mabebez etc ila hakuna ulichochuma US miaka yote hiyo....ni laana iyo bro na haujielewi. admit it na uendelee kumtafuta Mungu akuponye. its unfortunate kwamba haujioni na hauujui ukweli huu. wazazi wetu wanatuhitaji sisi kuliko pesa zetu, na sisi tunatakiwa kuwathamini sometimes kuliko kutafuta kwetu maisha kwasababu unaweza kutafuta maisha sana ukaishia kuwa masikini kwasababu haujabarikiwa ila mwingine akatafuta maisha kidogo tu akatusua kwasababu amefuata mkondo wa baraka, na wazazi wanatoa baraka mkuu, mzazi akinung'unika unalaaniwa mzee, miaka 31 bimkubwa hajawahi kukulalamikia?.....
Watu wagumu kuelewaz alishasema hakuwa na makaratasi ya kurudi tz
 
ni kwasababu mgumu kuelewa, unajua nimemuanzia mbali sana nikijua ana akili kumbe aisee jamaa nashindwa kumweka fungu gani.

Mkuu sikutaka kukoment hapa lakini mabandiko yako yamenifanya nicomment.

Lemutuz nimemfaham tangu 2007 nimeingia humu. He is an independent thinker. Hate him like him. He lives his life. Tumeanza naye humu tukiwa Jambo forums. He has evolved but never lost his spirit.

Umeongelea sana swala la mama yake. Umelaumu mpaka kuimagine kwamba kuna nati zimelegea kichwani. Bro. All I can tell you Mimi Le mutuz namuelewa sana. Tena sana. Because I have that experience. Unfortunately wengine sisi siyo Watu Wa mitandaoni. Lakini Kama ningekupa hata robo ya story yangu ungemuelewa mshua.

Mambo ya familia in very complex sana. Hivi kwa nini usijiulize kwa mtu aliyekuwa Ana access ya kwenda UK Kama anavyotwambia Le mutuz afike ile level ya kuishi Tunduma kwenye Yale maisha? Kama picha zinavyoonyesha? Shughulisha ubongo kaka. Iam sure kuna mengi hapa Le mutuz hajayaongea kwa staha ya familia na yeye mwenyewe. Lakini Kwangu Mimi I can bet kwamba there was something wrong within the family. Na jamaa ameongea several times..alikuwa nje anapambana Hana makaratasi? Atumie lugha gani tumuelewe? Nimeishi ughaibuni namuelewa.

Le mutuz is a gentleman. Kama umegundua hajawahi kumlaumu yeyote kwa failure au success ya maisha yake. To me this is the truest level of maturity. Wengi tunapenda kusingizia wengine kwa issue zetu. Ameavoid hicho kitu sana.

Mkuu Mfano mdogo.....(am sorry to write this but nataka atleast upate mwanga)..before I did anything in life.....even before I bought a plot of my own.......I spent more than 100+M kumjengea mzazi wangu nyumba. I mean proper house. Leo hii anaishi kwenye chumba cha kupanga .....kodi hardly 20k. My point is tuliopitia hizi changamoto za kifamilia tunamuelewa sana Lemutuz. Again humu wako wengi na experience mbali mbali. Juzi kati jamaa yangu kafiwa na mama yake Dar. Yeye yuko ughaibuni..alitwambia....nyinyi zikeni tuu. Alikataa kuja. Ofcourse kwa Watu wenye mawazo Kama wewe in rahisi kuanza blame game kwamba jamaa ana matatizo. Hamsaidii mzazi. Nk....In such situation...nitafanyaje? Will simply ignore you. Maana you don't know niliyoyapitia. Besides Nina hakika in wachache sana humu JF or Tz wameitumikia hard earned resources kuwatengenezea mazingira wazazi..I mean Kama kuwajengea nyumba za kisasa. Hata kabla hawajajiandalia maisha! I know kwa sababu Nina wengi Leo hii wanaweza kunilaumu but I know they have done nothing kuwasaidia wazazi wao as I did. Even before I had anything I call my own!

Ushauri wangu Kama bado una wazazi na unaelewana nao mshukuru Mungu sana. Wengi humu tumepambana lakini hao hao wazazi wametutenda than you will ever know.

Again, Le mutuz siyo mkamilifu. Ana mapungufu yake mengi Kama wengi wetu humu. Lakini hili swala la mzazi wake ningeshauri wasio na experience...lipotezeeni. I have been there and have many examples ya Watu ambao hata wazazi hawasalimiani. It pains a lot. Especially Watu Kama nyinyi msiojua hiki wala lile....you simply come here na blames. Familia zina mengi sana mkuu. Ukiona mtu Kama Le mutuz kuamua kuja open na story yake as he did.......jua he has seen it all. Amepitia tanuru la moto ambalo in wachache humu tungeweza.

Peace and respect bro!
 
Back
Top Bottom