- Good kwenye hili tupo pamoja sana, Mwanamke kalilia Divorce halafu akalilia na watoto kua ni wake yote nikamkubalia bado tena kaanza kilio yeye mwenyewe kua nimemkimbia na watoto halafu kuna wajinga wanalibeba kama wanajua anything, alipoanza kulia lia kwenye mitandao na kukimbilia kwa Mange kwa mwanamke ambaye ameolewa tayari na Mwanaume mwingine na kua mke wa pili ndio nikajua kwamba ukiona moshi ujue kuna moto mtu anaungua,
- Kwenye hili la kumkubalia kila kitu, ninamshukuru sana Baba yangu mzazi maana ndiye aliyenipa darasa zito sana ama sivyo ningepata taabu sana kuelewa, siku moja Mwanamke akamtukana baba yangu kama vile anamtukana mtoto mwenzake, it was a shock of my life leo ukitaka Baba yangu mzazi atapike mtajie jina tu la huyu binti, halafu juhudi zake zote za kutaka kunichafua kwa Mama yake mzazi always zimepiga mwamba.
- Mama yake siku zote anamkumbusha kua huyu si ndiye Mwanaume aliyekutunza Ulaya Miaka 5 bila kazi? Na huyu si ndiye aliyehangaika sana uliporudishwa Deportation, leo amekua mbaya? hahahahaha
le Mutuz