Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

- Sasa hivi nina mchumba nataka kuoa tena so picha picha sio kama zamani nilipokua na njaa natafuta kiki inilipe hahaha sasa hivi ninayo kiki so sipigi pigi tena kama zamani hahahahahahah

le Mutuz
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana lemutuz hapana jaman napenda sana mambo zako
 
Kwenye swala la mke kwakweli kwa mwanaume wa Kitanzania anayejitambuwa hawezi kuliingilia maana ukweli unao wewe, kwa sababu ni ukweli usiopingika mademu wa kibongo wapo wachache smart sana lakini wengi kimeo na ndio sababu unakuta nyumba nyingi zina wajane baba ameshatangulizwa mbele za haki kwa stress zilizosababishwa na mke.

Hapa ninakupa full support 100% huwezi kufupisha uhai wako kwa sababu ya mke na ujinga eti mkiachana mtawatesa watoto huu ni upumbavu wa kiwango cha PhD.

Tusikubali kuwa watumwa kwa ajili ya watoto au kufa kabla ya muda wetu kisa watoto, sasa ukishakufa au kupata stroke hao watoto wanafaidika nini?
Mkuu samahani. Nime screenshot maoni yako nimemtumia rafiki yangu. Anateseka sana na mkewe jamaa anavumilia coz mtoto ndo kwanza std 1
 
Swala la kumkosa mwanae kwa muda wa miaka thelathin think lilitosha kumvuruga Bibi yetu,j iulize,alibeba Mimba ya Le kokobanga Nye Nye,miezi Tisa ,akamlea mtoto peke yake,akampeleka shule,baadaye mtoto akamkimbia akenda kupanga chumba YMCA,baada ya hapo akamkimbia kabisa na usimuone 30 years,kwanini huyu mama asiuze kila kitu ukonga akarudi kulinda makaburi kwa kuamini kwamba mizimu ya Babu yake imechukia?Mama wa watu alifrastrate,alivurugwa kwa kumkosa mwanae na asijue kama alimkosea ama la.Kuna mama alikufa kwa shinikizo la damu baada ya mwanae kukataa kuoa.Hivi Le nye-nye ,ndo mtoto pekee wa huyu mama?
Kumbe lemutuz naye aliwekwa tumboni miezi tisa akawa mtoto akakua.me nilijua alitagwa akatotolewa
 
Ni kweli wabongo wengi hawaelew, wanafkir kuish vzr ni kuwalizisha watu, hawajui km ukiwa na mahala pazur pa kuish, kula vzr, afya nzr, amani ya moyo wako, uhuru na usalama wako na mali zako huko ndo kuishi vzr
Mkuu Hute hapa kwenye swala la "maisha mazuri" naona umechemka mbaya. Mimi binafsi naamini mtu unaweza kuwa unaishi hata kwenye nyumba ya "nyasi" lakini bado ukawa na maisha mazuri. Maisha mazuri siyo kuwa na majumba kama ya Trump, maisha mazuri ni kuridhika na kile ulichonacho. Unaweza kuwa na mali kuliko hata za Bill Gates lakini bado usiwe na maisha mazuri.

Mimi nakubaliana kabisa na Le Mutuz, yeye ameridhika na maisha yake na tena anaishi huku akiyafurahia, wazungu wanasema "he is living large", kila mwisho wa mwaka anakwenda "vacation", ameishi USA for 25 years, ana mashamba yake anayoyamiliki, ana nyumba, ana watoto wake 2 na isitoshe ana biashara yake inayomuingizia kipato; kwake yeye na ukilinganisha na average ya maisha ya Wabongo wengi, yeye yuko juu sana tu, tena sana. Hivi nikuulize swali dogo tu na rahisi, ni Wabongo wangapi wanaweza kumudu kuishi kwenye "apartments" kama anazokaa Le Mutuz???

Kwa kifupi kuwa na maisha mazuri ni kuridhika na kufurahia kile ulichonacho na siyo jamii inayokuzunguka kuridhika na kile ulichonacho. Mimi namkubali sana Le Mutuz kwa kuwa ameridhika na maisha na anafurahia sana maisha yake. Wengi wa Wabongo wanaomchukia Le Mutuz, walitamani sana kuishi maisha kama yake lakini hawawezi hata robo tu.
 
Sure
Le Mutuz ni mfano wa halisi wa mtoto toka nyumba ndogo ambaye hakubweteka pamoja na kushambuliwa kwani baba anajulikana na akaamua kujipigania mwenyewe,Wapo wengi wa dizaini yake ambao hawajakua na ujasiri wa kupambana ila ni mtu wa kumpongeza na sio kumbeza.Anapigana kivyake na katulia kwa raha zake tungekuwa wengine tungeshachanganyikiwa na sasa tungekuwa sober houses
 
66b42f306544344ac15845f0e6c2294e.jpg


88ac6e55776fd4e16ed5e13fef877060.jpg


White house ya mama in the making, take a chill pill dude..31 years za ulaya siwezi kurudi bongo kifalafala tu
We nawe ni limbukeni, ndo maana Le Mutuz anajiita anaakiri kubwa kwa sababu yaakiri ndogo zenu
 
Bibilia inasema mwanamke mpumbav huibomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe. Na mimi naamini huyo Neema ndio sababu ya Lemutuz kuwa hvyo alivyo
we mwanamke ni mpumbav sana, nahisi le mutuz alipata shida sana kuishi na wewe. inawezekana mengi yameanikwa humu dhidi ya baba wa watoto wako kwasababu yako. kitu moja jua, wewe unawakilisha idadi kubwa sana ya wanawake wajinga na wavurugaji wa familia, wenye kiburi na jeuri, wewe unawakilisha wanawake wajinga ambao ukigombana na mtu aliyekuwa anachovya kwako kila siku unaanza kuanika mambo yake, yeye angeamua kuanika ya kwako ungesimama wapi? jua huyu ni baba wa watoto wako hata ufanyeje, na watoto hata wakimchukia kwasababu wewe umesema wamchukie kuna siku tu damu ni nzito kuliko maji.

binafsi kuna mambo mengi natofautiana na lemutuz, na nimesharushiana maneno mengi naye lakini ukweli uko palepale wanawake kama wewe ni mfano mbaya sana kwenye jamii. wanawake kama wewe ni wachache sana, jiheshimu Neema Ngululupi , hivi humwoni mange kwa matusi yake yote haaniki mtu aliyemtenda? kwasababu wanashare watoto, wewe utakufa siku moja utaacha watoto baba yao atatakiwa kuwa nao, halafu hakuna mtoto anaweza kumchukia babake milele, jifunze, we umesoma wapi wewe mbona hata watu wa vijijini hapa bongo wana ufahamu huo?unajisikiaje kutukanana na x wako hapa? mnaanikana hapa? jingajinga shenzini. kuna sehemu nilisoma post za le mutuz nikaona amekukoti kuwa wewe ndio x wake, kufuatilia nickname yako nikaona post rundo zote umempost yeye tu, umekosa pa kuongelea?
 
Associate degree ni sawa na Advance diploma hapa bongo ukimaliza hiyo ndio unaingia degree.
Sio kweli, associate degree kwa marekani inamaana umebakiza baadhi ya modules ili kuattain degree, hata neno associate hujui maana yake? Wengine wanabakiza mwaka mmoja au miwili. Mwaranyingi bachelor ni
4yrs. Na kwa bongo Adv Dp ilishafutwa ila ilikuwa huwez toka Adv dp af uende
digree ni kupiga marktime. Sema ili kufanya masters ilimlazimu afanye pgd ambayo ni mwaka mmoja japo wenye Upper na First class walikiwa wanalalamika km pgd kwa UD ulikuwa mradi wa kuingiza pesa vyuo vingine waliruhusiwa kufanya masters na bado walifanya vzr.
 
Kumbe' Separation of Powers' unaijua,sasa mbona Magufuli ana upsurp powers zote na wewe ndio kwanza unaampa support,au una ganga njaa??
By the way if you dont mind ni unblock huko instagram please.
Mwingine nae kaja.....,...M pm shunie akupe maujanja aliyotumia akawa akafunguliwa kufuri kule insta
 
PART 40:- "MY AMERICAN EXPERIENCE" Wakati ninapigana namna ya kumrudisha mke wangu maisha mengine yalikua yanaendelea kama kawaida napiga kazi na ninaenda Shule Jioni huku ninalea mtoto wangu wa kiume thanks God for the House Girl alikua ni msichana muelewa sana lakini Wabongo pale USA pamoja na majirani wa mke wangu Bongo wakaanza kunizushia kua nimemgeuza kua mke wangu it was fun on my part nilikua nacheka kimoyo moyo maana it was a big joke of my life nianze kutembea na House Girl kwa kawaida hua ninaogopa sana ku take advantage of the helpless ...Shuleni kama kawaida this time nilikua nimekutana na somo la Politics my fav na hii ni kwa sababu nia na madhumuni yangu ya kusoma Sheria yalikwama kutokana na malipo kua makubwa sana so nikaamua Political Science will do nikakutana na "FOUNDING FATHERS OF AMERICA: na nikakutana na "THE USA CONSTITUTION" halafu "THE SEPARATION OF POWER" pia "THE SUPREME COURT OF USA" .."THE CONGRESS" na "THE EXECUTIVE BRANCH" humu mote I was at home lakini in the end ukaja mtihani maalum ambao ni Sheria kwamba ni lazima ufanye huo mtihani ambao hauhusiani na darasa kabisa ni mtihani unao base kwenye English kuhakikiaha unamaliza ukiwa unajua English walioupanga wanajua kua kuushindwa ni kitu rahisi sana so unaruhusiwa kurudia mara 3 ukishindwa zote ni sawa hukusoma kabisa unatakiwa kurudi kuanza zero tena ...nilishinda mara ya kwanza tena kama mchezo nikapata my BA in Political Science .kazini nikaomba kuanza kwenda masafa marefu kwa hiyo nikaanza safari za loong distance from New York to Florida na nikaanza kupiga USA nzima sijafika Alaska tu nimefika States zote zingine na hata leo ukinipeleka ninaweza kukufikisha popote pale bila tatizo bado ninakumbuka safari yangu ya kwanza to Salt Lake/Utah State Jimbo ambalo mpaka leo mweusi ni kichekesho kwa wazungu I mean kuendesha masafa marefu it was fun ila Sheria zake ni kali sana na hasa ya masaa ya kuendesha unaruhusiwa Masaa 11 tu inapofikia hapo hapo unasimama unalala kwa masaa 10 unapokua safarini kule Ofisini wanaku monitor na wanajua kila ulipo na infact wanajua mpaka speed yako ukiwa unakimbia sana wanakupigia simu kua punguza..njiani nilikua nahangaika na simu Bongo!.ITAENDELEA
2bb93449f9f246b60cc4eb1667f25dba.jpg
Kaka hata kama kule imepostiwa nzima nzima lakini wewe jaribu kutenganisha uweke paragraph, inasaidia na kurahisisha katika usomaji.
 
we pia una ki lemutuzzz???
Me ninacho, ila hakinisumbui kinasimama vizuri na nawakorogea hicho hicho. Wanawake wote mamilioni et nihofu nini, co wote watakao kibeza. Watakao kiheshimu ndo hao hao na maisha yanakwenda. Unajua bado mungu katuficha kitu ambacho wanawake au wanaume wanahitaj ktk mapenz. Mbona hata hao wenye mihogo wanalia wanagongewa, basi haina maana kuwa nayo! Hata hao mabinti warembo km akina zari lkn wanatendwa! Hatuna sababu ya kumkufuru mungu kwa uumbaji wake, km alikupa hicho bac aliona kinakufaa na ukiona mwanamke anakibeza basi jua sio huyo ambae Mungu alitaka uwe naye.
 
Kwahiyo hata anayekunya porin na hajichambi na ameridhika, naye ana maisha mazuri?
Mmesoma elimu ngumbaru nn? Ww unae yaishi maisha ndo unaweza yatafsir km mzr au la. Unaweza ukawa na pesa af unaish maisha mabaya, haupo huru, haupo salama, unamagonjwa, unakesi nk. Km unaish mazngr safi, unapata hewa saf, unakula vze, unalala pazur, una amani, afya na upo salama na mali zako. Hayo ndo maisha. Huwez shindwa kulocomote et kisa huna gari.
 
Kumbe na mimi huku bongo naweza Kuwa na mke US? Nta ku PM bro,kwan kuuza sabuni Kitu gani! Dah very intresting km usemavyo Ila huyo ustaadh Ni noma! Yaani tiketi wanatuma wenyewe wake zake. Dah Mungu wasaidie wanawake, aliwaumbaweak sn na saikolojia yao ni ngumu mno.Lkn mwisho wa cku ni Mama Zetu na mama wa watoto wetu. Najua unashindwa kujizuia ila kwepa Sn maswali yanayochimba ndoa yenu kwan watoto wenu ni wakubwa itawasumbua. Waliumbwa tuwatawale,so km tulianza kuwatongoza na kuwaacha basi tunaweza kua chanzo cha kutunza Faragha za ndoa for the benefit of our children
- Jamaa anawachezea akili, anamuomba tiketi wa UK maana hapa Bongo hana huo uwezo wa kununua mwenyewe so yule wa UK anamtumia, yeye anamuomba wa USA amtumie tiketi ya kuanzia London, ila wa USA huwa anaporudi anampa na mizigo ya sabuni na perfume za kuuza huku bongo. Lakini ni maisha yao binafsi hayanihusu kabisa ila it is very interesting.

le Mutuz
 
Back
Top Bottom