Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

Huko uliko wewe kwnye malumbano wenzio tulishatoka! [emoji41][emoji16][emoji3]
Huko sijui DMI, sijui mambo ya kudanganya ubaharia.., sijui takataka gani sijui... huko kooote wenzio tumeshapavuka! [emoji3][emoji3][emoji16]

Kwanza le kokobanga mwenyewe wengine hata kumjua hatumjui.

Hapa tunasoma story yake, na story ni nzuri wengi tumeipenda! [emoji8][emoji13][emoji13]
So, ukianza kuleta hizo zako za DMI sijui nini... ni kama unajichoresha tu!

Kama hujapenda story, potezea. Au kama una bifu na Le Kokobanga; pambana na hali yako, usituhusishe!

Be humble!
U know!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaa nimecheka haya majibu yako,jamaa sijui amechelewa wapi wakat i malumbano yamepamba moto,saiv pamepoa anakuja kubishana kivivu[emoji23] [emoji23] walikuwepo walioshupaza shingo,saiv wanasoma tyu kimya kimya
 
- Well, cha msingi ilikua ni kuweka sawa ukweli kwanza, mimi sio anybody wala anything isipokua ni raia mwema ninayeishi maisha niliyoyachagua na ninayoyaweza, ila nina a lot to teach vijana wadogo wanaoanza maisha that is all,

- Kwa mfano ni jinsi nilivyorudi na Dola 1,000 na leo nimezigeuza kua a serious business sasa hivi by Jumatatu ninafungua Online Radio acha kua na kampuni kabisa ya Social MEdia, nafikiri someone needs to know that

le Mutuz
Kila siku unaipiga promo online radio lakin haianzi.. Mwaka unakataika hahaha le muongozzz
 
Mzeee wewe bana.
Thread imeletwa hadharani , kisha unataka kunipangia cha kujadili?

Unazeeka vibaya Mr zero
Uzuri tumeshakujua wewe ni mmoja wa mashetwani aliokua akipambana nayo Le kokobanga ila umeamua kuja kivingine. Za kuambiwa changanya na za kwako. Pambana na hali yako shetwani wahed!!
 
X wife ni katili kabisa,sema ndoa za ughaibuni zina changamoto-Amani ni kitu cha nadra sana,rights zote tumepewa wanawake,mwanaume akipatikana huteseka sana-i have seen these scenario's with my own eyes.Happily married and after a couple of years,a brutal messy divorce battle
Yaan bora alivyoondoka huko usa
 
View attachment 704149
PART 70:- "MY AMERICAN EXPERIENCE"
Baada ya kuondoka kwake tu my ex siku moja ofisini kwangu akaja mtu aliyejitambulisha kua ni Mwanasheria wake, akasema kamtuma tupange namna ya kugawana Mali zangu hasa Shamba na Nyumba yangu kule Kinyerezi. I almost fainted WHAAAT? nikamuambia yule Mwanasheria arudi kesho yake tuongee alipokuja nikamuwekea Makaratasi ya Mali zangu zote mezani na kumuomba anionyeshe ipi inayo onyesha mimi na yeye tunamiliki Mali zangu pamoja? nikamuonyesha Mlango alioingilia kua siku akirudi tena ofisini kwangu nitampa kipigo cha mbwa mwizi jinsi nilivyokua nimemchenjia ujumbe ulifika hakuwahi kurudi tena ...

Nilijua hasira ya my ex kushindwa kunipata kwa kuwatumia watoto kitawaka moto kweli alipofika tu USA akaanza matusi mapya ya kutisha hasa kwa Marehemu Mama yangu alitukana hasa sikua na wasi wasi cause asingefanya hivyo nisingejua kua nimempata at her games ..kinachomuumiza sana ni pesa anapenda pesa na pesa anazotumia sana ni za biashara ambazo yeye alikua amepanga kuzitumia kujifanyia mambo yake binafsi kashindwa cause nilimuwahi nikakimbia ...hahahaha...

Guys amkeni usingizini, ninayoyasema hapa huenda yanakukuta now au yatakukuta mbele ya safari. Usikubali kuangamizwa na Mwanamke mjinga kwa kisingizio cha maadili au Uanamme. Huwezi kua Mwanaume Mungu anayetaka uwe kama hauna Amani kwa sababu ya mke wako au mpenzi wako ...NA KUMBUKA SIKU ZOTE UKIONA MPENZI WAKO KICHWA KINAMUOTA MAPEMBE UJUE ANA SPARE TAYARI ....dawa ya Mwanamke mjinga ni kumuwacha hapo hapo au utaumia na ukimuwacha usiangalie nyuma tena utaumia na hasa OGOPA MWANAMKE MWENYE TAMAA YA MALI na OVER AMBITIONS, huwa hawajui wanalolifanya ingawa wao hujifanya wanajua sana utawasikia "I WANT TO BE FINANCIALLY SECURED", ukisikia Mwanamke anaimba hizi nyimbo kimbia utaumia ...

Imenichukua Miaka 4 ku overcome Completely yote niliyopitia kwenye ndoa ...yakikukuta tafuta ushauri usijifanye Mwanaume sana utakufa sio wanaume wote wapo kama mimi ambaye ninaweza kubeba maumivu bila kulia lia nikijua kua nitayavuka na ni muhimu kuyapitia for my own good....leo nipo tayari kuoa tena siogopi cause Mwanamke mmoja tu hawezi kunifanya kuacha kupenda wapo wanawake wazuri wa roho na tabia!

* * * * * * * * MWISHO! * * * * * * * * *


- Le
Once again! U are more than a man! Mungu na akulinde daima!
 
Asanteni kwa wote mliotuleletea story kutoka insta mbarikiwe sana

Le mutuz story yako inafundisha sana sana na pole kwa changamoto ulizopitia we ni mwanaume
Ambaye hajamuelewa Le Mutuz ni kichwa panzi, le mburura wa kiwango cha juu. No matter how wrong he might be, Wilium yuko vzr kichwani!

Kuna wanawake kwa kweli ni hatari zaidi ya nyoka!!
 
Publish hicho kitabu,mimi sio bookworm kihivyo-lakini I can sense a good read miles away.Humu JF nilishawishika kununua kitabu cha "The life and times of A Sykes'-it opened my mind on so many aspects of the motherland.Kitabu chako ninakingoja kwa hamu at whatever cost.
Nime notice kwamba your Daddy hujamgusa,yaani umemfanya Saint-I think to be fair na yeye somewhere along the route hakucheza karata zake vizuri,for the sake of parity-itabidi naye umuingize kwenye dock-ili wasomaji tujue haki imetendeka
 
Kinachoumiza kumkosanisha lemutuz na watoto wake na watoto wenyewe waliacha umri mkubwa wanaojielewa
Ni ujinga kupigana na asili. Watoto kuwajaza usheteni wa kumchukia baba yao ni dhambi mbaya sana! Watoto wajiongeze, wamsome baba yao vzr hasa kwenye kitabu atakachoandika ili wawe na maamuzi mazuri juu ya mama yao asiyejitambua!
 
Publish hicho kitabu,mimi sio bookworm kihivyo-lakini I can sense a good read miles away.Humu JF nilishawishika kununua kitabu cha "The life and times of A Sykes'-it opened my mind on so many aspects of the motherland.Kitabu chako ninakingoja kwa hamu at whatever cost.
Nime notice kwamba your Daddy hujamgusa,yaani umemfanya Saint-I think to be fair na yeye somewhere along the route hakucheza karata zake vizuri,for the sake of parity-itabidi naye umuingize kwenye dock-ili wasomaji tujue haki imetendeka
Out of topic...lakini naomba nikuulize hivi ni wewe avatar yako ilikuwa imewekwa miguu...ni offence given
 
Back
Top Bottom