Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

- Nimekusoma mkuu kanyaga twende nimebakiza moja tu ya 70 ya mwisho, kanyaga twende!

le Mutuz
Mzee baba story yako kuhusu ndoa nimeanza kuielewa umenifindisha kitu wanawake ni watu wajinga Sana. Nafuatilia kwa umakini ntafanya conclusion yangu mwenyewe ila umenipa experience
 
View attachment 703984
PART 66:- "MY AMERICAN EXPERIENCE"
Picha ya maneno yanayoniongoza sana in my life ...Swiss Air ikaruka from Zurich I was happy that kuondoka kwangu USA kumeacha a big impact sikua na wasi wasi sana. Nilijua wasioelewa watakuja kuelewa tu baadaye kilichotokea lakini yalikua maamuzi magumu mazito I had to take kujilinda mimi kwanza. Kwa mara nyingine nikajifunza its not about Mali na Dunia its about Peace Of Mind First ..

Now nikaanza kupiga picha ya nitakapofika Bongo yes Baba yangu alikua anajua na nilikua ninafikia nyumbani kwake Seaview kwa sababu nyumba yangu Kinyerezi haijaisha lakini hata ingekua ningeanzaje? ..baada ya kumnunulia zawadi Baba yangu Duty Free nikawa nimebaki exactly na Dola 1000 tu! Kila nilipojaribu kufikiria Bongo akili ilikua inagonga ukuta nikaamua kuacha kabisa kufikiria Bongo na kujali kufika kwanza na Amani yangu kwanza mengine baadaye.

Nilikua ninajua Uadui wa baina yangu na Dada zangu from my Step Mother lakini sikujua how big umefikia mpaka nilipofikia nyumbani kwa Baba yangu ...nikafika JKN straight home ilikua usiku nikapewa Chumba nilichoishia kuishi kwa Mwaka mzima huku nikiwa natafuta Apartment Mjini kimya kimya bila kumuambia mtu. Isipokua nikatulia sana baada ya kufika nilikua nalala sana Maisha yangu yote nilikua nakimbia Maili 10 kwa siku kila asubuhi lakini toka matatizo ya my ex yaanze nikaacha...

Baada ya Wiki moja tu ya kupumzika nikaanza kupiga hesabu wapi pa kuanzia? Nikaenda GMO pale Samora Avenue nikanunua a Used Laptop aina ya Dell nikafungua "LE MUTUZ BLOGU YA WANANCHI". Makelele kutoka USA yakawa yanakuja kwa magunia duh sikuamini my ex genge lake waliposikia nimefungua Blog wwkaandika Barua Interpol na Google kuomba ifungwe kwa bahati nzuri Ofisa mmoja mkubwa wa Serikali anayenifahamu akanionyesha Copy iliyotumwa Kitengo kimoja Serikalini..

The next thing is my ex ikawa inabidi asaidiwe na Serikali na ili kupata ule msaada kutoka kwenye my penshion ilikua ni lazima mimi nisaini makaratasi fulani ya Serikali kumruhusu asaidiwe so akamtuma Kaka yake aliyenifuata kwa upole sana nimsadiie kusaini ila nilitakiwa nikayasaiini Ubalozi wa USA nikaenda nikasaini bila ubishi akaanza kusaidiwa na baada ya kama wiki 2
..ITAENDELEA
Mkeo alikua mchawi akizeeka atageuka jini
 
Umri umekutupa mkono mtt wa mchungaji ukaona bora uwe mke wa pili.[emoji3] [emoji3] waliokushika akili sasa wanakucheka mpumbavu
Na wewe unajiita great thinker eti[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na wewe unajiita great thinker eti[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaan najickiaga vbaya kuona malumbano km haya, hali ikishafikia hapa huwa hakuna kitakacho badilika ni kuruhhusu amani ya Mungu mioyoni mwenu, mje mfe mkitabasamu huku mmezungukwa na watotowenu wapenzi. Maisha haya hadi lini? Licha ya mabaya mliyopitia naamini kuna kitu mungu ameifundisha jamii inayowazunguka kuwa NDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE, walio ndani na walio nje ya ndoa wasijiaribu kucheza na ndoa hata siku moja.
 
Yaan najickiaga vbaya kuona malumbano km haya, hali ikishafikia hapa huwa hakuna kitakacho badilika ni kuruhhusu amani ya Mungu mioyoni mwenu, mje mfe mkitabasamu huku mmezungukwa na watotowenu wapenzi. Maisha haya hadi lini? Licha ya mabaya mliyopitia naamini kuna kitu mungu ameifundisha jamii inayowazunguka kuwa NDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE, walio ndani na walio nje ya ndoa wasijiaribu kucheza na ndoa hata siku moja.
Hembu jielewe.
 
Big up baharia Le Mutuz, Story yako ina vitu vingi vya kujifunza katika maisha mwanadamu hatakiwi kuchoka kupambana.
Le mutuz the skilled mariner
Le nye nye nye king of social media
 
Nilikuwa najiuliza siku zote kwa nini le mutuz anachukiwa na Watu wengi?sasa nimepata jibu mti wenye matunda ndo hupigwa mawe.Le mutuz nisamehe bro nilifuata mkumbo wa kukuchukia bila sababu,yaan sasa nimeujua ukweli nakupenda sana heshima kwako
 
Na Mange kama anasoma hii habari,amuombe msamaha Le mutuz-angejua data zote hizi before-wala asingekwaruzana na le mutuz
Mange hapa duniani hakuna binadamu anayemsikiliza zaidi ya Dr Mwele Malecela.

Bado upo gizani. Pole.
 
Mzee kipengele cha ex wako kuoolewa tena na mwislamu hasa mke wa pili inaonekana kimekuuma na umekirudia mara nyinginyingi katika uandishi wako!!! Hiyo ndo weakness yako.
Tunaomjuwa Yesu, Masihi, tunajuwa na tumemuelewa ni kwa nini Le Mutuz ameweka msisitizo katika hilo.
 
Mkuu W. J. Malecela nimefurahishwa sana na hii "story" yako, lakini kuna kitu nataka kukushauri hata kama huwa unasema hupendi kushauriwa.

Iko hivi; kwanza achana kabisa na ngono zembe. Kwenye story yako nimeona umegusia mara kadhaa kuwa unamjua sana MUNGU, hivyo kama unalijua NENO la MUNGU kama unavyosema, basi ni lazima ujue kuwa MUNGU, hapendi vitendo vya "uzinzi na uasherati", vitendo ambavyo wewe umekuwa ukivifanya mara kwa mara. Tubu, mwombe MUNGU msamaha, na uanze maisha mapya, na uoe kama ulivyosema kuwa sasa unataka kuoa. Ukioa na kutulia, itakujengea heshima kubwa sana, hasa mbele ya watoto wako.

Pili, watoto wako wameanza kukua sasa, nafikiri mmoja ana miaka 19 kama sijakosea. Kama ni hivyo, huu ni wakati wa wewe kuanza kuwasiliana na watoto wako na kuwa nao karibu hata kama ni kwa njia ya mtandao. Watoto watakuelewa sana kama utaonesha initiative ya kuwa karibu nao kipindi hichi ambacho wanaweza kuchambua wenyewe ipi ni pumba na upi ni mchele. Despite what has happened in the past, but your kids still needs you in one way or another.

Tatu, imefika wakati uachane kabisa na majibizano ya kwenye mitandao na hao unaowaita "mashwetani" wanaotaka kukuangamiza. Ikiwa hutaweza kuacha kujibizana nao, tafadhali sana jaribu kuwa makini sana na vitu unavyo-post hasa picha za "mambebezzz" wako kwani tambua kwamba watoto wako na marafiki zao wanaweza wakawa wanasoma posts zako za mitandaoni, na hiyo itawaadhiri sana watoto wako. Nina uhakika baadhi ya posts ulizoziandika kwenye mitandao zitawaadhiri sana kisaikolijia watoto wako, hasa kama utaendelea kufanya hivyo. Naelewa kwamba "mitandao" ndiyo inakuweka hapa mjini, lakini unaweza kuiendesha kwa akili KUBWA bila kuwaadhiri watoto ambao wanauwezo wa kukufuatilia na kusoma kila kitu.

Nne, usiishie tu kuandika kitabu, ikiwezekana baada ya kutoa kitabu, tafuta mdhamini na utengeneze "movie" itakayohusu historia yako ya kweli ya maisha kuanzia kuwa mtoto wa Waziri Mkuu, kuwa baharia, kwenda New York na kuishi kwa miaka 25 huku ukiwa dereva wa malori, jinsi ulivyokutana na your ex, jinsi mlivyoachana, namna ulivyorudi Bongo na kuanza upya maisha ukiwa na dola 1000 tu, n.k. Naamini hiyo "movie" kama itachezwa vizuri inaweza ikawa ni movie bora kabisa ambayo imewahi kutengenezwa Tanzania kama siyo Africa.

By the way huu ni ushauri tu, na unaweza kuufanyia kazi ama kuupuza. Mimi siku zote huwa napenda sana kuwashauri watu waache maovu, na huwa sijali kama wanasikiliza ama wanadharau. So its up to you to decide bro, but remember this line; "For GOD shall bring every work into judgement, with every secret thing, whether it be good or whether it be evil".
Nonsense, kawashauri kwanza maparoko wako waache kuvilawiti vivulana na kuwatafuna masister.

Kabinti ka Le Mutuz nina uhakika kwa maisha ya marekani hadi kulamba koni tayari kinajuwa na kuna wanaopiga mzigo.

Huu utakatifu wako peleka kwa nabii na mchungaji wako na usisahau kumpelekea na fungu lake la 10.
 
Story inajichanganya hii, but Kwa huyu mpenda sifa na muongo huwa simwamini 100% maana maneno 10 ya Le Mutuz matatu ndiyo ya ukweli mengine yote pumba
 
Back
Top Bottom