Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

Historianya kweli juu ya maisha yangu =my amerian experiencewhat a translation
Hii sio tafsiri ya neno kwa neno bali ni munyumbulisho wa neno.

Kiswahili rahisi muongezeo kwenye Mada.
 
Lmtz or whoever lived in the USA recently or some years back. Hii Link inaonesha sehemu flan USA je kweli kunafanania hii life ngumu hivi? Hata kariakoo Pana nafuu na Pana amani kulala nje
Yap hapa hapa .
 
nikae New york miaka 25 halafu nije kushangaa Duka la Adidas kuuza raba $300 nonsense kwani yeye na adidas nani alikua wa kwanza kuja duniani hivi unadhani New york n kijimji kama Dar es salaam et 1980 unadhan ilikuaje New york miaka hyo mpaka useme hivo halafu eti alikua anafanya kaz muda mwingi sasa mbona karudi Tz hana mbele wala nyuma.
Kumbuka baba ake waziri mkuu
 
Ila all in all baada ya kusoma masimulizi yote ya Le Mutuz Mobimba Nye nye nye ukiacha mapungufu machache nimegunduwa kwamba Mzee Malecela is very weak Man na ni mtu ambaye hakupaswa kuaminiwa hata kupewa ubunge achilia mbali uwaziri mkuu.

Mateso yote ya kifamilia aliyopitia Willy mchawi ni baba yake mzazi mzee Malecela.

Angalieni mfano hai kwa Jakaya Kikwete jinsi alivyoweza kumpa back up kubwa Ridhiwani na siyo mtoto wa Salma Kikwete.

Kitu kikubwa ambacho kimaadili Le Mutuz hawezi kukisema ni kwamba baba yake ni mtu wa kutawaliwa na wanawake.

Kama huyo mzee Malecela angetoka kwenye kabila langu hao kina Dr Mwele watake wasitake wangempa heshima yake Le Mutuz kama kaka mkubwa.

Nahitimisha kwa kusema wanaume msiwape sana vipaumbele wanawake wanaweza hata kukutenga na wazazi wako wakishakushika, na kwa story hii mzee Malecela ni mtu wa hovyo kabisa hapa duniani.

Wazee wasiopenda longolongo haya mambo ya urithi huwa wanagawa hata kabla hawajafa kila mtu anadhibiti chake.

Ujinga huu wa Mzee Malecela pia ameufanya marehemu Samuel Sitta, ana mtoto mkubwa wa kiume siyo wa Magreth Sitta, kosa la mzee hakugawa mali akiwa hai sasa hivi kafa kawaacha wanarogana tu shubamiti.

Hii mizee mingine ni ya hovyo sana.
Mkuu una undugu wowote na Hayati B. W. Mkapa?
 
Hakuajiriwa alikuwa field practical training, so angewezapewa posho tu,kuwa assistant engineer ingewezekana yaani msaidizi wa Fundi iwe ni Fundi mkuu au second au third enginear
2nd engineer sio msaidizi wa fundi.bali ni second command in engine room..
Kwa sasa unakula Dola 5000 /4000 kwa mwezi..
 
boss samahani hiyo amount ni ya miaka hii ya 2000+ au ya miaka ya 1980 ambapo lemutuz alifanya kazi?? Ukipata tym niweke sawa boss
Lemutuz hata Kama alifanya miaka ya 80 melini.
Lakini bado alipata pesa ndefu sn .
Hata Kama alipata Dola 400 bado ni pesa nyingi sn kwa wakati huo.

Isingekuwa rahisi aache kazi akalale nje.

Labda alikuwa baharia wa inchi kavu.
 
Izo meli unaongelea wenzio tunapanda Cruise to carribean,malaga and barbados nothn new .
Unajiona mjanja kufanya kazi humo maybe hata meli huijui
Cruise ndy umeona meli kubwa?
Labda upande kama passenger na sio crew.
 
Ila all in all baada ya kusoma masimulizi yote ya Le Mutuz Mobimba Nye nye nye ukiacha mapungufu machache nimegunduwa kwamba Mzee Malecela is very weak Man na ni mtu ambaye hakupaswa kuaminiwa hata kupewa ubunge achilia mbali uwaziri mkuu.

Mateso yote ya kifamilia aliyopitia Willy mchawi ni baba yake mzazi mzee Malecela.

Angalieni mfano hai kwa Jakaya Kikwete jinsi alivyoweza kumpa back up kubwa Ridhiwani na siyo mtoto wa Salma Kikwete.

Kitu kikubwa ambacho kimaadili Le Mutuz hawezi kukisema ni kwamba baba yake ni mtu wa kutawaliwa na wanawake.

Kama huyo mzee Malecela angetoka kwenye kabila langu hao kina Dr Mwele watake wasitake wangempa heshima yake Le Mutuz kama kaka mkubwa.

Nahitimisha kwa kusema wanaume msiwape sana vipaumbele wanawake wanaweza hata kukutenga na wazazi wako wakishakushika, na kwa story hii mzee Malecela ni mtu wa hovyo kabisa hapa duniani.

Wazee wasiopenda longolongo haya mambo ya urithi huwa wanagawa hata kabla hawajafa kila mtu anadhibiti chake.

Ujinga huu wa Mzee Malecela pia ameufanya marehemu Samuel Sitta, ana mtoto mkubwa wa kiume siyo wa Magreth Sitta, kosa la mzee hakugawa mali akiwa hai sasa hivi kafa kawaacha wanarogana tu shubamiti.

Hii mizee mingine ni ya hovyo sana.
You have a point Sir....
 
Kuna mengi ya kukifunza kupitia maisha ya Le Mutuz
Mwanzo nilikuwa namuona mtu mpuuzi mpuuzi tu ila baada ya kusoma stori yake yote kipindi kile nikabadili mtazamo wangu juu yake.

Na baada ya kuingia kwenye mahusiano na mwanamke pasua kichwa ndio nikamwelewa zaidi.

R.I.P lemutuz

Yule mwanao mshenzi wa tabia I can feel him the way alivyokutukana na hakupata hata muda wa kuomba msamaha ukiwa hai.

Kama hata hasikiti kwenye hiki kifo chako basi anakula unga huko majuu.

Na kama atakuja kwenye msiba wako nasi mshipa aibu Hana.

Wanawake viumbe hatari sana.
 
Back
Top Bottom