Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa kaweka nyongo tu bandiko la jamaaAcha ujuaji wa google, apply hiyo kazi wewe uchukue hayo mahela. Mtu anaongelea ubaharia miaka ya 80s wewe unaleta google search za 2018
Historianya kweli juu ya maisha yangu =my amerian experiencewhat a translationAssistant Engineer = Ofisa wa Meli ndani ya meli?..#am humble you know..
Hii sio tafsiri ya neno kwa neno bali ni munyumbulisho wa neno.Historianya kweli juu ya maisha yangu =my amerian experiencewhat a translation
Yap hapa hapa .
vm.tiktok.com
Kumbuka baba ake waziri mkuunikae New york miaka 25 halafu nije kushangaa Duka la Adidas kuuza raba $300 nonsense kwani yeye na adidas nani alikua wa kwanza kuja duniani hivi unadhani New york n kijimji kama Dar es salaam et 1980 unadhan ilikuaje New york miaka hyo mpaka useme hivo halafu eti alikua anafanya kaz muda mwingi sasa mbona karudi Tz hana mbele wala nyuma.
GreatAssistant Engineer = Ofisa wa Meli ndani ya meli?..#am humble you know..
Mkuu una undugu wowote na Hayati B. W. Mkapa?Ila all in all baada ya kusoma masimulizi yote ya Le Mutuz Mobimba Nye nye nye ukiacha mapungufu machache nimegunduwa kwamba Mzee Malecela is very weak Man na ni mtu ambaye hakupaswa kuaminiwa hata kupewa ubunge achilia mbali uwaziri mkuu.
Mateso yote ya kifamilia aliyopitia Willy mchawi ni baba yake mzazi mzee Malecela.
Angalieni mfano hai kwa Jakaya Kikwete jinsi alivyoweza kumpa back up kubwa Ridhiwani na siyo mtoto wa Salma Kikwete.
Kitu kikubwa ambacho kimaadili Le Mutuz hawezi kukisema ni kwamba baba yake ni mtu wa kutawaliwa na wanawake.
Kama huyo mzee Malecela angetoka kwenye kabila langu hao kina Dr Mwele watake wasitake wangempa heshima yake Le Mutuz kama kaka mkubwa.
Nahitimisha kwa kusema wanaume msiwape sana vipaumbele wanawake wanaweza hata kukutenga na wazazi wako wakishakushika, na kwa story hii mzee Malecela ni mtu wa hovyo kabisa hapa duniani.
Wazee wasiopenda longolongo haya mambo ya urithi huwa wanagawa hata kabla hawajafa kila mtu anadhibiti chake.
Ujinga huu wa Mzee Malecela pia ameufanya marehemu Samuel Sitta, ana mtoto mkubwa wa kiume siyo wa Magreth Sitta, kosa la mzee hakugawa mali akiwa hai sasa hivi kafa kawaacha wanarogana tu shubamiti.
Hii mizee mingine ni ya hovyo sana.
2nd engineer sio msaidizi wa fundi.bali ni second command in engine room..Hakuajiriwa alikuwa field practical training, so angewezapewa posho tu,kuwa assistant engineer ingewezekana yaani msaidizi wa Fundi iwe ni Fundi mkuu au second au third enginear
Lemutuz hata Kama alifanya miaka ya 80 melini.boss samahani hiyo amount ni ya miaka hii ya 2000+ au ya miaka ya 1980 ambapo lemutuz alifanya kazi?? Ukipata tym niweke sawa boss
Cruise ndy umeona meli kubwa?Izo meli unaongelea wenzio tunapanda Cruise to carribean,malaga and barbados nothn new .
Unajiona mjanja kufanya kazi humo maybe hata meli huijui
Hapana.Mkuu una undugu wowote na Hayati B. W. Mkapa?
You have a point Sir....Ila all in all baada ya kusoma masimulizi yote ya Le Mutuz Mobimba Nye nye nye ukiacha mapungufu machache nimegunduwa kwamba Mzee Malecela is very weak Man na ni mtu ambaye hakupaswa kuaminiwa hata kupewa ubunge achilia mbali uwaziri mkuu.
Mateso yote ya kifamilia aliyopitia Willy mchawi ni baba yake mzazi mzee Malecela.
Angalieni mfano hai kwa Jakaya Kikwete jinsi alivyoweza kumpa back up kubwa Ridhiwani na siyo mtoto wa Salma Kikwete.
Kitu kikubwa ambacho kimaadili Le Mutuz hawezi kukisema ni kwamba baba yake ni mtu wa kutawaliwa na wanawake.
Kama huyo mzee Malecela angetoka kwenye kabila langu hao kina Dr Mwele watake wasitake wangempa heshima yake Le Mutuz kama kaka mkubwa.
Nahitimisha kwa kusema wanaume msiwape sana vipaumbele wanawake wanaweza hata kukutenga na wazazi wako wakishakushika, na kwa story hii mzee Malecela ni mtu wa hovyo kabisa hapa duniani.
Wazee wasiopenda longolongo haya mambo ya urithi huwa wanagawa hata kabla hawajafa kila mtu anadhibiti chake.
Ujinga huu wa Mzee Malecela pia ameufanya marehemu Samuel Sitta, ana mtoto mkubwa wa kiume siyo wa Magreth Sitta, kosa la mzee hakugawa mali akiwa hai sasa hivi kafa kawaacha wanarogana tu shubamiti.
Hii mizee mingine ni ya hovyo sana.
Mwanzo nilikuwa namuona mtu mpuuzi mpuuzi tu ila baada ya kusoma stori yake yote kipindi kile nikabadili mtazamo wangu juu yake.Kuna mengi ya kukifunza kupitia maisha ya Le Mutuz