LE Mutuz Instagram Party At Escape 1 Beach Club 2/8/2014 More Details Coming Soon!!

Mtu Mzima tena mwenye umbo la Miraba Mi4 kupiga picha ukiwa umerembua hivi napata shida sana!

PEC3.JPG

Kwani ni nani hyo mkuu.
 
Mtu Mzima tena mwenye umbo la Miraba Mi4 kupiga picha ukiwa umerembua hivi napata shida sana!

PEC3.JPG

- hUYU ni Miss Ukonga U know bonge la bebz mukareezzz kama vipi huoni kuwa ameosha U know, so I was like daamn hili bonge la chick how do I get her U know na mimi si unajua ni single so it was like woow I about to drop dead U know, ha! ha! ha! le bongo tambalalezzzz U know!!

Le Big Show
 
eeeeh we upo single si umechumbia juzi kati tu hapa au??
 
- Tarehe 2/8/2014 ninatayarisha bonge la bash LE Mutuz Instagram Party at Escape 1 Beach Club, wote mnakaribishwa isipokuwa wale tu walio followers wangu wa Instagram ndio wataingia bure baada ya kuonyesha evidence mlangoni kwamba ni my followers lakini wengine wote kutakuwa na kiingilio na ndani ya Ukumbi all my Insta Follwers watakaa Special VIP Seats, so lets go people kama unataka kutoa sponsorship unakaribishwa anytime!! Call +255 717 618 997

Le Mutuz

Mkuu haya mambo ungewaachia wanao kama unao.

Sent from my iPad using JamiiForums
 
- hUYU ni Miss Ukonga U know bonge la bebz mukareezzz kama vipi huoni kuwa ameosha U know, so I was like daamn hili bonge la chick how do I get her U know na mimi si unajua ni single so it was like woow I about to drop dead U know, ha! ha! ha! le bongo tambalalezzzz U know!!

Le Big Show

U know,jinsi unavyo bang na mabebz wakareee.Karibu bongo nzima itakuita shemeji.
 
- ha! Ha! Ha! Ha! kIRANJA WA MAISHA YA MEMBERS WA JF It is about making money man unasema niwachie watoto to make money? Ha1 ha1 huyawezi haya tuwachie uzee mwisho kibahazzz u know!!

Le ,mutuz

Le bilionea siku hizi uzee kumbe mwisho Kibaha nikajua bado uzee mwisho Mlandizi
 
- Hujasikia wazee wa kibaha waliandamana U know so sasa ni Kibaha kama vipi!!, otherwise kama kawa tupo life goes on mabingwa maadili JF poleni sana ila hamjasikia wabunge wetu wa viti maalum wanavyojazwa mimba na Viongozi wao wa Taifa wenye wake na familia zao mbona hamjawafundisha hayo maadili?

Le Mutuz
 
Back
Top Bottom