Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mi nahis anataka kuongeza followerz tu!
kwenye sherehe za blog ulisema hivyo hivyo ukaishia kutuchomesha mahindi.
una manenoo mengi mbwembwe kibao ila utekelezaji sasa...
Booking mapema you know kwenye vip lounge na maselebu wa ukweehe ha ha ha ha haaaa.
mi nahis anataka kuongeza followerz tu!
Mtu Mzima tena mwenye umbo la Miraba Mi4 kupiga picha ukiwa umerembua hivi napata shida sana!
![]()
Selebu Bongo?!
Kwani ni nani hyo mkuu.
Hahahaha pole sana.
Mtu Mzima tena mwenye umbo la Miraba Mi4 kupiga picha ukiwa umerembua hivi napata shida sana!
![]()
- hUYU ni Miss Ukonga U know bonge la bebz mukareezzz kama vipi huoni kuwa ameosha U know, so I was like daamn hili bonge la chick how do I get her U know na mimi si unajua ni single so it was like woow I about to drop dead U know, ha! ha! ha! le bongo tambalalezzzz U know!!
Le Big Show
- Tarehe 2/8/2014 ninatayarisha bonge la bash LE Mutuz Instagram Party at Escape 1 Beach Club, wote mnakaribishwa isipokuwa wale tu walio followers wangu wa Instagram ndio wataingia bure baada ya kuonyesha evidence mlangoni kwamba ni my followers lakini wengine wote kutakuwa na kiingilio na ndani ya Ukumbi all my Insta Follwers watakaa Special VIP Seats, so lets go people kama unataka kutoa sponsorship unakaribishwa anytime!! Call +255 717 618 997
Le Mutuz
- hUYU ni Miss Ukonga U know bonge la bebz mukareezzz kama vipi huoni kuwa ameosha U know, so I was like daamn hili bonge la chick how do I get her U know na mimi si unajua ni single so it was like woow I about to drop dead U know, ha! ha! ha! le bongo tambalalezzzz U know!!
Le Big Show
mkuu haya mambo ungewaachia wanao kama unao.
Sent from my ipad using jamiiforums
we le mutuz ni kisanga... hujisomi ww
eeeeh we upo single si umechumbia juzi kati tu hapa au??
- ha! Ha! Ha! Ha! kIRANJA WA MAISHA YA MEMBERS WA JF It is about making money man unasema niwachie watoto to make money? Ha1 ha1 huyawezi haya tuwachie uzee mwisho kibahazzz u know!!
Le ,mutuz
Le bilionea siku hizi uzee kumbe mwisho Kibaha nikajua bado uzee mwisho Mlandizi