Le Mutuz Is So Fragile Inside

Le Mutuz Is So Fragile Inside

Sasa le mutuz watu wako was karibu wengi unaopiga nao picha na kuwasifia akili kubwaa wameanza kuumbuka kwa kutajwa wanauza ngada. Utawakana kesho au ndege wanaofanana huruka kundi moja. I am humbled
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nimeamini huyu jamaa ni super star.Watu kibao wanamfuatilia humu

- Sawa sawa yaani wewe angalia kila mahali linapotajwa jina langu page lazima zianzie 10 kwenda mbele, nawashukuru sana cause wananipa mlo sana hapa hii ndio huwa reference yangu ninatafuta kazi za Social Media U know hahahaha I loove it!!

le Mutuz
 
- now kesho Arusha at Luxury Super Celebs. Party at the Gold Crest Hotel tukutane huko U know, Wolper, Kajala, Ben Pol na mimi tutakuwepo, kiingilio Tsh. 100,000 U know tukutane huko

le Mutuz

Big upo??
 
Mmmmh mbona wale wa kwa anna waanakili na niwadogo ila yy mmmmh kubwa........ Jing
 
Sasa mtu mzima wewe si akili kubwa a.k.a celeb lakini SAA nyingine nikicheki kwenye blog yako nashindwa kukuelewa kabisa. Labda nikuulize swali Dogo tu, Dada zetu unawachukuliaje? Coz sometimes unakuwa huna tofauti na mtu mbugani.

- hapo ndipo ninapolala Big Celeb proper U know na ni pesa za Social Media, on a serious note naomba useme unalipwa kiasi gani kuwepo humu na mimi nikuambie sasa mimi na wewe nani mjanja? hahahaha unayenunua bando kutukania wanaume usiowajua au mimi ninapewa bando bure na makampuni ya simu na kuvuta Millions hapa hapa ambapo wewe unatukana mimi navuta mpunga hahahahaa mkuu hicho kichwa kingekuwa changu ningejiua U know hahahahahaha

le Mutuz

 
Umri wa miaka hauwezi kuelezea ni kiwango gani cha ukubwa wa mtu
 
Umri wa miaka hauwezi kuelezea ni kiwango gani cha ukubwa wa mtu
IMG_20161225_144539.jpg

- Ni tofauti ya umri ndiyo inanifanya nipige pesa hapa wewe ulipie bando kutukana hahahahahahaha imagine mtoto wako ananunua bando bei mbaya kuja JF kutukana wanaume asiowajua unasema huyo mtoto mzima tena anatumia majina ya bandia si ni kama wewe tu mburulazzzz hahahahahahahaha
 
Washkaji zko wte ni wazee wa foooo..Vp unaendaga kuwa visit lupango role models wako

Ova
- now kesho Arusha at Luxury Super Celebs. Party at the Gold Crest Hotel tukutane huko U know, Wolper, Kajala, Ben Pol na mimi tutakuwepo, kiingilio Tsh. 100,000 U know tukutane huko

le Mutuz
 

Attachments

  • Screenshot_2017-01-30-05-51-58.png
    Screenshot_2017-01-30-05-51-58.png
    252.3 KB · Views: 32
So Guys Handle Him With Care. Despite His Bulkiness, Inside He Is So Light To The Extent That He Cannot Handle New Challenges From New People. I Just Wanna Tell Him That Virtual Battle Is Quite Different From Physical One.

Nakushauri Tu Mkuu, Unaonekana Very Socia At Face But Fierce At Heart. Wavumilie Watu Maana Ndio Wanaokupa Mkate. Wakikuchoka Watakupa Mawe.

Angalia, Roho Ya Yule Mtumishi Anayetamani Malaika Ateketeze Social Media Isiwe Nawe.
Bulkiness [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom