Le Mutuz kwanini umetudanganya?

- Muulize aliyeleta hizo papers nimeishije USA Miaka 30 bila Green Card wala Uraia kwanza ndio utapata majibu mengine hahahahahahahaha hahahahahahah mnanivunja mbvu sana sasa hilo karatasi ndio nini hasa? hahahahahahahahahah

le Mutuz
Ha ha ha ulienda US ukiwa na miaka mingapi? Na tangu umerudi una miaka mingapi?
 
- Sasa na wewe unafanya nini hapa hahahahahaha ndio maana ya kuwa Big Celeb yaani mtu anakufuatilia bila kujua anachofanya hahahahahahah

le Mutuz
afadhali mtu anayemfollow mange kuliko we mzee maana matendo/akili yako ni inversely proportional to your age
 
kama kuna mtu anakuona wewe kama celeb basi he/she is a walking dead.
 
Unazidi kuzihirisha kuparaganyika kwa upeo wako.Mi navyojua heshima ya mwanaume ni kujigaramia mahitaji yake kwa pesa yake mwenyewe na sio kutegemea na kujisifia na offer za watu,mi nkihitaji kwenda double tree kula wikiend najichanga naenda,nkitaka chochote nafanya juhudi ya kukipata kwa jasho langu nisichokuwa na uwezo nacho nakiweka pending,mi sikukebehi kaka najaribu tu ku tupia my two cents in.
 
ANapenda showoff sana mimi kila nikipishana na gari yake huwa nabaki na sikitika tu noah imegongwa gongwa nahisi zaidi ya kuangalia maji na oil hakuna service inayofanyika, superstar anatembelea gari mbovu? bora mm na ka ist kangu walau nakapenda

- Hawa ndio wabebezz wanaopanda ile LE SUPER NOAH, wewe mjie na ndege yako akipanda nife kwanza hahahahaha it is about mtu sio material hahahahahaha U know Super Kiss from my babe Super Bilioneaz hahahahaha

le Mutuz

 
- Hawa ndio wabebezz wanaopanda ile LE SUPER NOAH, wewe mjie na ndege yako akipanda nife kwanza hahahahaha it is about mtu sio material hahahahahaha U know Super Kiss from my babe Super Bilioneaz hahahahaha

le Mutuz

[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…