ntamaholo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 12,938
- 6,942
Ha ha ha ulienda US ukiwa na miaka mingapi? Na tangu umerudi una miaka mingapi?- Muulize aliyeleta hizo papers nimeishije USA Miaka 30 bila Green Card wala Uraia kwanza ndio utapata majibu mengine hahahahahahahaha hahahahahahah mnanivunja mbvu sana sasa hilo karatasi ndio nini hasa? hahahahahahahahahah
le Mutuz


