Le Mutuz kwanini umetudanganya?

Le Mutuz kwanini umetudanganya?

- hahahahahaha ndio maana nipo hapa napiga kazi wewe huna kazi cause mwanaume mwenye kazi hawezi kup[oteza siku nzima kuingia social media na majina ya bandia kurukia rukia wanaume asiowajua lazima ana matatizo fulani ya jinsia hahahahahaha

le Mutuz

Mbona unakana dhana nzima ya "Mfalme wa mitandao ya kijamii"
 
Mbona unakana dhana nzima ya "Mfalme wa mitandao ya kijamii"

- ni kwa sababu I AM THE KING OD ALL BONGO SOCIAL MEDIA NETWORK, ndio maana Jumamosi hii nimealikwa Arusha kwenye Special Luxury Party ya Super Celebs, nimelipiwa Ndege na Five star Hotel je na wewe umealikwa? hahahahahhaha

le Mutuz
 
- hahahahahaha ulijuaje mkuu lazima tumbo lako lina hayo mapemmbe hahahahahahhamlianza na simu sasa yamewashinda hahahahahaha

le Mutuz
mkuu kwanini unavunjiwa heshima hapa,wakati wewe ni mtu mzima?
img-20160602-wa0014-jpg.353073
 
- hahahahahaha wikiendi hii nimealikwa Arusha kwenye special party ya Celebs, kiingilio 100,000 nimealikwa ninalipiwa tiketi ya ndege na Five Star Hotel, ndio maana ya kuwa Star au na wewe umealikwa? hahahahahahahahaha

le Mutuz Nation

Unasema umeshalipiwa?
 
- Siku nikfikia huo umri nitakushitua kwa sasa ngoja niendelee kula batazzz batannn hahahahahahah ninawatesa mpaka mnaleta papers feki hahahahahahahahah U know

le Mutuz

kama hiyo passport ni feki mhusika ni nani? Usituone wajinga
 
Back
Top Bottom