Le Mutuz kwanini umetudanganya?

Le Mutuz kwanini umetudanganya?

Uyu bwana hakuna kitu kwenye bichwa ujue,
Kujisifia kwingi siku moja nilimuona mitaa ya mnazi mmoja karibu na bank ya NBC amekuja kutega dem sijui ni beki tatu yulee maaana kembamba, na NOAH lake la matangazo.
Sasa usuper star wote uo le mutuz, unawinda madem barabarani?? Alafu dem mwenyewe mbaya, u know?
Ukubwa wa mwili kumbe ni hewa tu kama pulizo u know.....nafwaaaazzzz
 
Itakua ndo yule girlfriend wake Nasra. Mjukuu wake kabisa halafu anamuita fiancee
 
Uyu bwana hakuna kitu kwenye bichwa ujue,
Kujisifia kwingi siku moja nilimuona mitaa ya mnazi mmoja karibu na bank ya NBC amekuja kutega dem sijui ni beki tatu yulee maaana kembamba, na NOAH lake la matangazo.
Sasa usuper star wote uo le mutuz, unawinda madem barabarani?? Alafu dem mwenyewe mbaya, u know?
Ukubwa wa mwili kumbe ni hewa tu kama pulizo u know.....nafwaaaazzzz
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Kumbeeee!!! nikajua anakujaga kufanya transaction,
Maana 3 days per week utamkuta hapo
 
cf3701df00f4671bec7c2be86ce7154a.jpg
 
le mutuz akir yake anaijua mwenyewe ana miaka 60 ila mambo anayoyafanya ni tofauti kabisa na umri wake mimi Instagramu alinibrock nilimwambia wewe unaishi mjini kwa ukuwadi

- YOTE uliyosema ni perfect isipokuwa hukusema ukweli tu kwamba huwa ninakuuza wewe kwa wanaume ndio maana ukaijua kazi yangu ya ukuwadi, hahahahahahahaha sema ukweli ulijuaje kuwa mimi ni kuwadi kama sijakukuwadia wewe mwenyewe kwanza hahahaha sema nilipokuuzia na bei, next time ukiamua kusema siri ya mtu sema zote usibakize zingine maana huwatendei haki wasomaji, hahahahahahahaha

le Mutuz Nation
 
Hivi ni kweli wewe ni superstar? Are you a Media King?
 
- I am big Celeb ndio maana unanijadili hapa maana huu ni uwanja wa Celebs, ukitaka kujua kama ni Super Star angalia mada na viewers hahahahahahaha I am Super Star Celebs na sio kwa bahati mbaya U know and I love it!!

Wewe sio Celeb, Una vituko ndio maana hii Mada imeletwa humu.
Hueleweki unayachukuliaje maisha, you look like you are not serious.
Unaonekana kama mtoto wa mama wakati umezeeka.
 
- YOTE uliyosema ni perfect isipokuwa hukusema ukweli tu kwamba huwa ninakuuza wewe kwa wanaume ndio maana ukaijua kazi yangu ya ukuwadi, hahahahahahahaha sema ukweli ulijuaje kuwa mimi ni kuwadi kama sijakukuwadia wewe mwenyewe kwanza hahahaha sema nilipokuuzia na bei, next time ukiamua kusema siri ya mtu sema zote usibakize zingine maana huwatendei haki wasomaji, hahahahahahahaha

le Mutuz Nation
Wewe babu huna U Star wowote sema watu huwa wanakuja kwa page yako kuona vituko maana wewe ni kituko yani wanakuja kuangalia babu na vijukuu vyake halafu hivi nasikia upo Uvccm pale ni km babu au?
 
Wewe sio Celeb, Una vituko ndio maana hii Mada imeletwa humu.
Hueleweki unayachukuliaje maisha, you look like you are not serious.
Unaonekana kama mtoto wa mama wakati umezeeka.

- Hhahahahahahha hahahahahaha this is wasap maan umeuliza kama mimi ni Star nimekujibu, sasa eti hebu liweke vizuri swali lako la pili maana sijakuelewa eti unasema kuna mtu humu ananilipia maisha yangu haya ya kusaifiri nje kila wakati au whaat? hahahahahaha

le Mutuz Nation
 
Wewe babu huna U Star wowote sema watu huwa wanakuja kwa page yako kuona vituko maana wewe ni kituko yani wanakuja kuangalia babu na vijukuu vyake halafu hivi nasikia upo Uvccm pale ni km babu au?

- hahahahahaha wikiendi hii nimealikwa Arusha kwenye special party ya Celebs, kiingilio 100,000 nimealikwa ninalipiwa tiketi ya ndege na Five Star Hotel, ndio maana ya kuwa Star au na wewe umealikwa? hahahahahahahahaha

le Mutuz Nation
 
Back
Top Bottom