Le Mutuz kwanini umetudanganya?

Le Mutuz kwanini umetudanganya?

69090660b530adea4581f6452e7f2d57.jpg

Hii siku ndio akili zikimwagika......!
Mwanaume unaanzaje kuweka Bluetooth on hivyo kwa mfano haogopi?
 
Uyu bwana hakuna kitu kwenye bichwa ujue,
Kujisifia kwingi siku moja nilimuona mitaa ya mnazi mmoja karibu na bank ya NBC amekuja kutega dem sijui ni beki tatu yulee maaana kembamba, na NOAH lake la matangazo.
Sasa usuper star wote uo le mutuz, unawinda madem barabarani?? Alafu dem mwenyewe mbaya, u know?
Ukubwa wa mwili kumbe ni hewa tu kama pulizo u know.....nafwaaaazzzz
duh!!
 
- Hhahahahahahha hahahahahaha this is wasap maan umeuliza kama mimi ni Star nimekujibu, sasa eti hebu liweke vizuri swali lako la pili maana sijakuelewa eti unasema kuna mtu humu ananilipia maisha yangu haya ya kusaifiri nje kila wakati au whaat? hahahahahaha

le Mutuz Nation
Seriously W. J. Malecela kindly re-think again on how you are portraying yourself to the community. This makes me wonder why you contested for the East African MP seat, Was this the kind of self you would have shown as an East African member of parliament?
 
- Hapa tunahitaji wafagiaji wa ofisi karibu sana maana bora usafishe ofisi kuliko kupoteza bundle zako huku JF bure wenzako tunapiga pesa hahahahahahahah

le Mutuz
Haina shida kama price is right naomba mchongo.
 
Let the man live his life. Kwa nini lakini tunapenda ku-judge maisha ya watu? anayoyafanya yanakuathiri vipi? Anakuomba hela ya bills zake? I am not his fun but I absolutely respect yeye kuishi maisha anayoyataka. As long as havunji sheria za nchi! Kipi kinakufanya uone kwamba maisha unayoishi wewe ndo standard kila mtu inabidi aishi hivo?

Tujifunze kuvumiliana na kuheshimu maisha ya wengine.
Sawa mlibelari
 
Piga kazi uje nikulipe.

- hahahahahaha ndio maana nipo hapa napiga kazi wewe huna kazi cause mwanaume mwenye kazi hawezi kup[oteza siku nzima kuingia social media na majina ya bandia kurukia rukia wanaume asiowajua lazima ana matatizo fulani ya jinsia hahahahahaha

le Mutuz
 
Back
Top Bottom