Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,135
- 48,827
- hahahahahaha ndio maana nipo hapa napiga kazi wewe huna kazi cause mwanaume mwenye kazi hawezi kup[oteza siku nzima kuingia social media na majina ya bandia kurukia rukia wanaume asiowajua lazima ana matatizo fulani ya jinsia hahahahahaha
le Mutuz
Mbona unakana dhana nzima ya "Mfalme wa mitandao ya kijamii"