cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Hiyo ni sawa na kumkanya kunguru asile uchafu.Nahisi Familia yake imeshamkanya kuhusu tabia zake zakujitoa ufahamu lakini hasikii.
na degree zote alizo nazo asielewe maneno kama haya, kati ya wasomi wenye digrii nyingi Africa huyu na mgabe ni miongoni mwaoLabda hakuelewa alipotajiwa bei akafikiri ndiyo aliyoandika, yaani hakujua.
Inajulikana kuwa watu ukiwaambia kwa lugha ingine, kwa mfano 10k yeye anaongeza sifuri zake.
Uliniahidi utaniletea simu km hyo tehehehehe,halafu uache kuponda gari la le mubebiziiiiii u know what hahahahahaANapenda showoff sana mimi kila nikipishana na gari yake huwa nabaki na sikitika tu noah imegongwa gongwa nahisi zaidi ya kuangalia maji na oil hakuna service inayofanyika, superstar anatembelea gari mbovu? bora mm na ka ist kangu walau nakapenda
ipo njiani wa huba soon itafikaUliniahidi utaniletea simu km hyo tehehehehe,halafu uache kuponda gari la le mubebiziiiiii u know what hahahahaha
Sawa wacha nisubiriipo njiani wa huba soon itafika
anza kugugo tutorial zakeSawa wacha nisubiri
Hahaaamishati yake ya karume buku jero
Hahaha aha thubutu nitagugo halafu nijue uzur wake baadae usinileteeanza kugugo tutorial zake
serious tenaHahaha aha thubutu nitagugo halafu nijue uzur wake baadae usiniletee