Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu wacha kunifurahisha nani anamkanya babu? kijamii kuanzia 40yrs unapata mambo mawili tu kuheshimiwa au kupuuzwa!hakuna mtu anayerekebisha mtu wa umri kuanzi 40 unakuwa insignificant kwa jamii!Nahisi Familia yake imeshamkanya kuhusu tabia zake zakujitoa ufahamu lakini hasikii.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]mishati yake ya karume buku jero
Baba yake yupo hai bado,lazima wamkanye bila kuangalia anaumri gani,Mtoto haki kwa wazazi.Mkuu wacha kunifurahisha nani anamkanya babu? kijamii kuanzia 40yrs unapata mambo mawili tu kuheshimiwa au kupuuzwa!hakuna mtu anayerekebisha mtu wa umri kuanzi 40 unakuwa insignificant kwa jamii!
Kama familia yake nao bado wanahangaika nae milembe kunawahusu!
Hhahahahahaha
hahahahahahaha dah nimecheka kwa nguvuAti shati lake linafunika Vitz
yan mzaz wangu amemzidi lemutuz mwaka mmoja tu anakaribia kustaafu kazi na mtoto wa mwisho anaesomesha yuko chuo mwaka wa 2 sasa huyu sijui anataka akue lini kazi kuhangaika na vitoto vya mwaka 96Hili zee ni bigas sijawahi kuona
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Eti wakaniuliza wewe ni super star nikawaambia yes ni king of Bongo social media, maviiiiiiiii
Bichwa kuuuuubwa ndani akili ya mende hahahaaaaa
Ni vigumu kuamini kuna watu wazima wanafuatilia posts za Le Mutuz.