Le Mutuz kwanini umetudanganya?

Le Mutuz kwanini umetudanganya?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Le akili kubwa nafwaz u know
Umefurahije sasa?
Hahahahahaaaaa u know
And I like it.
 
Turushie picha ya hiyo noah ya our first tanzania star
Next time mkuu huwa nawaza sana hicho kitu lakini sijui kwann nashindwa, sijui nahofia bastola[emoji23] [emoji23]
ila kazi ya upaparazi inataka moyo,
 
saa yako inasoma kirumi eeehh haya lunch double tree wewe ndio unatakiwa kuishi kama shetani😀
Doh! hapana best, nafataga story za town u knoww pale double trees kuna madon wa woot wa TZ, u know pale kila anaeingia celebrity,
HAahaha kuna mibebez ya kufwa mtu
Enewei nikupe lunch?
 
umri wake na ubongo havishabihiani kabisa, umri miaka 60+ ubongo kawekewa wa mtoto wa miaka minne songobingo ndo linapoanzia sasa
 
Umefurahije sasa?
Hahahahahaaaaa u know
And I like it.
Nmefurahi sana Nifah am humble u know le akili kubwaz [emoji41] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Wenzie kina Kikwete na Pinda sasa hivi wanalea wajukuu, ye bado kutwa yupo Facebook tu. Hasara hii.
 
Back
Top Bottom