Bintiwamoyo
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 610
- 827
Hahahahahahahaaa umenichekesha!Eti wakaniuliza wewe ni super star nikawaambia yes ni king of Bongo social media, maviiiiiiiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahahahaaa umenichekesha!Eti wakaniuliza wewe ni super star nikawaambia yes ni king of Bongo social media, maviiiiiiiii
Umefurahije sasa?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Le akili kubwa nafwaz u know
HahahahahaaaaaJamaa anayejiita MSAGA SUMU ndio anajua kuzitendea haki habari za mtu mzima.
Next time mkuu huwa nawaza sana hicho kitu lakini sijui kwann nashindwa, sijui nahofia bastola[emoji23] [emoji23]Turushie picha ya hiyo noah ya our first tanzania star
Doh! hapana best, nafataga story za town u knoww pale double trees kuna madon wa woot wa TZ, u know pale kila anaeingia celebrity,saa yako inasoma kirumi eeehh haya lunch double tree wewe ndio unatakiwa kuishi kama shetani😀
Akija uniite mkuu.W. J. Malecela njoo ujibu kashfa huku
Uzuri wake akijaga kwenye mada kama hizi MC anakuwa yy na anashinda, jamaa ana karama ya kujibu tuhuma,Akija uniite mkuu.
Hahahahah! Ugali na kisamvu na naona.Hiyo ina nn ndani au kuna ugali
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nimemiss ligi zake.Uzuri wake akijaga kwenye mada kama hizi MC anakuwa yy na anashinda, jamaa ana karama ya kujibu tuhuma,
Ngoja nikuitie [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] nimemiss ligi zake.
Nmefurahi sana Nifah am humble u know le akili kubwaz [emoji41] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Umefurahije sasa?
Hahahahahaaaaa u know
And I like it.