Le Mutuz kwanini umetudanganya?

Le Mutuz kwanini umetudanganya?

Screenshot_2016-12-29-20-52-54.png


MIGUU HIYO.


SWISSME
 
Nahisi Familia yake imeshamkanya kuhusu tabia zake zakujitoa ufahamu lakini hasikii.
Mkuu wacha kunifurahisha nani anamkanya babu? kijamii kuanzia 40yrs unapata mambo mawili tu kuheshimiwa au kupuuzwa!hakuna mtu anayerekebisha mtu wa umri kuanzi 40 unakuwa insignificant kwa jamii!
Kama familia yake nao bado wanahangaika nae milembe kunawahusu!
 
Mkuu wacha kunifurahisha nani anamkanya babu? kijamii kuanzia 40yrs unapata mambo mawili tu kuheshimiwa au kupuuzwa!hakuna mtu anayerekebisha mtu wa umri kuanzi 40 unakuwa insignificant kwa jamii!
Kama familia yake nao bado wanahangaika nae milembe kunawahusu!
Baba yake yupo hai bado,lazima wamkanye bila kuangalia anaumri gani,Mtoto haki kwa wazazi.
 
Na mnaomfollow hamnaga kazi, Nitaanzaje kumfollow mtu kama huyu na upuuzi wake.
Yaan jamaa anaforce sana usuperstar, anausuperstar gani ?.
we mzee acha hizo, miaka ndo inaenda hivo,anza kujihehim sasa le mbululaz
 
Kitambo sana, sikumbuki vizuri ama ni Mapipa au Usalama kulikuwa na washikaji wanauza jeans kali ile mbaya!!! Sasa ilikuwa ukiuliza bei, wanakuangalia usoni... wakikuona mluga luga fulani hivi usiyefanania; wanakutajia bonge la bei ili usiendelee kuwasumbua!!

Nadhani ndicho kilimkuta Le Mutuz!!!
 
Bichwa kuuuuubwa ndani akili ya mende hahahaaaaa

Let the man live his life. Kwa nini lakini tunapenda ku-judge maisha ya watu? anayoyafanya yanakuathiri vipi? Anakuomba hela ya bills zake? I am not his fun but I absolutely respect yeye kuishi maisha anayoyataka. As long as havunji sheria za nchi! Kipi kinakufanya uone kwamba maisha unayoishi wewe ndo standard kila mtu inabidi aishi hivo?

Tujifunze kuvumiliana na kuheshimu maisha ya wengine.
 
Back
Top Bottom