Gugo mwenyewe halafu utaniambiaserious tena
[emoji23][emoji23][emoji23] haya banaGugo mwenyewe halafu utaniambia
Si unaona unavyocheka[emoji23][emoji23][emoji23] haya bana
Hana hela ya kununua iyo simu hata akiuza lile noah analotembeleaHuyu Jamaa kakosea aisee. nahisi alikuwa anataka asifiwe, atakuwa kainunua hiyo VERTU.
Wanasemaga akili ni nywele ila lemutuz kazinyoa so akili yake anaijua mwenyeweKICHWA BOGA
We nawe vijana wenzio huwaoni hadi uka date na mtu wa umri wa baba yako?.we huoni aibu kumvulia chup* Lemutuz na ubabu uleUkome
Atakwambia hii ni copy
Umenichekesha ndo maana nachekaSi unaona unavyocheka
Ninunue ya nn,kwann yaniIna TV ndani?
Ni vigumu kuamini kuna watu wazima wanafuatilia posts za Le Mutuz.
Aanze kujiheshimu au amalizie kujiheshimu hahaaNa mnaomfollow hamnaga kazi, Nitaanzaje kumfollow mtu kama huyu na upuuzi wake.
Yaan jamaa anaforce sana usuperstar, anausuperstar gani ?.
we mzee acha hizo, miaka ndo inaenda hivo,anza kujihehim sasa le mbululaz
Bichwa kuuuuubwa ndani akili ya mende hahahaaaaa
ha a haha yamefanyaje?
ANapenda showoff sana mimi kila nikipishana na gari yake huwa nabaki na sikitika tu noah imegongwa gongwa nahisi zaidi ya kuangalia maji na oil hakuna service inayofanyika, superstar anatembelea gari mbovu? bora mm na ka ist kangu walau nakapenda
Kwa bahati nzuri/mbaya Wewe NI mmoja wahao "Watu wazima" wanaomfuatilia"