Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ha a haha yamefanyaje?Eti wakaniuliza wewe ni super star nikawaambia yes ni king of Bongo social media, maviiiiiiiii
Asante Mungu huyo king hakuwa mzazi wanguEti wakaniuliza wewe ni super star nikawaambia yes ni king of Bongo social media, maviiiiiiiii
Nahisi Familia yake imeshamkanya kuhusu tabia zake zakujitoa ufahamu lakini hasikii.ukimchukulia serious huyu mtu kwa mambo yake anayofanya utaumiza kichwa bure.....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Le akili kubwa nafwaz u knowEti wakaniuliza wewe ni super star nikawaambia yes ni king of Bongo social media, maviiiiiiiii
Ni vigumu kuamini kama Le Mutuz ni mtu mzima,post zake ziko kama za kijana aliyebarehe mwaka huu.
Ndani kuna stock ya chakula cha mileniaHiyo ina nn ndani au kuna ugali