Leo party ya zari mbona haujaenda?
insta vipi. umepotea lemutuz.
- Sure I love it!!
LeMutuz
- Now unajisema mwenyewe kumbe ni Isha Mashauzi hahahahahahahahahah U know unajivua nguo mwenyewe bila kuulizwa U know hahahahahah, it takes Isha Mshauzi kumjua Isha Mashauzi bila kumuona U know hahahahahah
Le Mutuz
Hahahaaaaa
- Hahahahaa I am just having Fun with my life U know and U know I am in love with my lifstyle na ninajua kuwa watu wengi wangependa kuwa na my lifestyle ila hwana jinsi U know so waniwache niendelee na my Fun, sina shida ya uwaziri wala anything I just want to have fun with my life asiyetaka AFWE for me!!
Le Mutuz
Picha anapiga Le Mutuz alafu aibu nasikiaga mm,sijui kwa nn?
- siwezi kupotea Isntagram I make big bucks to be there nipo sana U know ila nimekuwa busy sana na kuhamia my new home U know!!
Ongea kama mwanaume....😡
twende kule kwenye Uzi wa dili lile!!
achana na madebe matupu,headless chicken mburulaaz!!
Wewe una 3 degrees so achana nao!!
- hAHAHAAHAHAHAHAHA LE BATAZ UBATAN U KNOW we were just having fun U know relaxing kama vipi we live only once, so tunafanya kazi na kura batazzzz U know and I love it!!
Le Mutuz
- Wewe sio Big Celebirty so Super Star Actress Lulu hawezi ku hang oout na mtu anayeona aibu U know so haya mambo tuwachie sisi Big Celebrity!!, halafu pale Hilton si unajua Soda Buku 10 so hahahahahaha lazima mtumzima uone aibu hata kuangalia le wabebezzz wa ukhuweeeeeee U know me I love it!!
Le Mutuz
- Chezeya The King Of All Bongo Social Media Network hivi Mwanaume gani humu JF asingependa ku hang out na le mbebezzz Super Star Actress Lulu Michael? Please wanaume wazima mnaacha kazi kufuatilia maisha ya wanaume wengine vipi jamani? I mean kama nipo na Super Star Lulu tunakula batazz na wewe nenda utafute le mbebezzz na wewe ukare batazz sio kulia lia hapa kama mtoto sasa unafikiri ndio Le wabebez Super star watakuonea huruma? Hapa mjini hapa kila mtu anakula kwa urefu wa kama yake!! hahahahahahaha and I love it!!
- Si niliwaahidi jamani kwamba nyie mtanisoma tu mpaka mkome kufuatil;ia maisha ya wanaume wasiowahusu U know!!
Le Mutuz
Nani kakwambia kuwa yeye ni wakiume? Kwani kuvaa suruali ndo kuwa wakiume, mbona wema nae huvaa suruwali au nae ni wakiume?