Le mutuz na Lulu wakila bata: u know, le tamkoz coming soon

Le mutuz na Lulu wakila bata: u know, le tamkoz coming soon

Leo party ya zari mbona haujaenda?

- I am committed kuwepo Arusha for Kristmas na New Year si umeona matangazo ya Biashara ya Mt. Meru Hotel yanatumia my picha so nitakuwa huko U know, Zari is my super friend so is Diamond I wish all great Show leo and I spoke to them this morning!!

Le Mutuz
 
Mwanawane m nakuwaga sikuelewi, ila ukuniambia zile post zinakuingizia kipato nitakuona wa maana,
Ila kama post zote zile halafu hakieleweki inakuwa sooo....
Though n njia ulitoamua kuikamatia komaa nayo one day yes!
 
- Hahahahaa I am just having Fun with my life U know and U know I am in love with my lifstyle na ninajua kuwa watu wengi wangependa kuwa na my lifestyle ila hwana jinsi U know so waniwache niendelee na my Fun, sina shida ya uwaziri wala anything I just want to have fun with my life asiyetaka AFWE for me!!

Le Mutuz

leo umeamua kukaza nao....hahahah...u know cku nyingne unakulaga buyu...hahahahh
le maonizz
 
- siwezi kupotea Isntagram I make big bucks to be there nipo sana U know ila nimekuwa busy sana na kuhamia my new home U know!!

Busy kuhamia new home? Utafikiri unavyombo vya kujaza fuso kumi na kuarrange vitu ndani wiki mbili. Wenye pesa tunahamia new home with only begi la nguo, kila kitu ndani kipya.
 
twende kule kwenye Uzi wa dili lile!!

achana na madebe matupu,headless chicken mburulaaz!!

Wewe una 3 degrees so achana nao!!

Degree 3, amakweli kwa mtindo huu hakuna haja ya kwenda shule kupoteza muda na pesa bure. Ziro brain
 
- hAHAHAAHAHAHAHAHA LE BATAZ UBATAN U KNOW we were just having fun U know relaxing kama vipi we live only once, so tunafanya kazi na kura batazzzz U know and I love it!!

Le Mutuz

mkuu naomba nikuulize. hivi ni kweli wewe ni pimp hapo mjini? ni kweli shati lako linaweza kufunika starlet? no offense.
 
- Wewe sio Big Celebirty so Super Star Actress Lulu hawezi ku hang oout na mtu anayeona aibu U know so haya mambo tuwachie sisi Big Celebrity!!, halafu pale Hilton si unajua Soda Buku 10 so hahahahahaha lazima mtumzima uone aibu hata kuangalia le wabebezzz wa ukhuweeeeeee U know me I love it!!

Le Mutuz

Kumbe na wewe ni celebrity?
 
- Chezeya The King Of All Bongo Social Media Network hivi Mwanaume gani humu JF asingependa ku hang out na le mbebezzz Super Star Actress Lulu Michael? Please wanaume wazima mnaacha kazi kufuatilia maisha ya wanaume wengine vipi jamani? I mean kama nipo na Super Star Lulu tunakula batazz na wewe nenda utafute le mbebezzz na wewe ukare batazz sio kulia lia hapa kama mtoto sasa unafikiri ndio Le wabebez Super star watakuonea huruma? Hapa mjini hapa kila mtu anakula kwa urefu wa kama yake!! hahahahahahaha and I love it!!

- Si niliwaahidi jamani kwamba nyie mtanisoma tu mpaka mkome kufuatil;ia maisha ya wanaume wasiowahusu U know!!

Le Mutuz

hivi we ni mwanaume?mbona unafanya mambo ya kipunga
 
Nimeishia kucheka tu aiseee, Mzee Mwenzangu unakula Bata batani eehhh, safi sana
 
Back
Top Bottom