- Hahaha do me a big gademu favour KUFWA FOR ME HAHAHAHAHAHAHAHAHA
Le Mutuz
Hahahaaaaa
binamu miss youuuu
Hivi ilikuaje ukagombea ubunge wa east Africa@W. J. Malecela? Why are you bahaving like a kid? Ninakumbuka kabla hujaja Tanzania nilikua nasoma post zako humu ndani zilikua zinamshiko sana. But ndugi yangu bishana na watu humu ndani ila badilika kaka.
Hiyo kuhamia new home imefikaje humu?
Jombaa plizz badilika. Hawa wate wanaokubeza wanakupenda sana wanataka ubadilike jombaa.
Hawa wanakusupport wanakupotosha jombaa.
Hivi ungeupata ubunge wa eac ungekua unapst uharo humu??
If the answer is no then try and behave like somebody who once wanted to be an MP for East Africa.
Kazi ipo
Picha anapiga Le Mutuz alafu aibu nasikiaga mm,sijui kwa nn?
- Unasema Segerea ziku hizi wanaweka Rumande watoto wadogo? hahahahahahahhha U know
Le Mutuz
- Inaitwa dua la kuku
Le Mutuz
Picha anapiga Le Mutuz alafu aibu nasikiaga mm,sijui kwa nn?
View attachment 211991
mrembo na mwigizaji wa filamu hapa bongo, elizabeth michael aka lulu jana alionekana viwanja vya hilton double tree hotel akiwa anavinjali na mzee mzima le mutuz anaejiita the king of all bongo social media network.
wakiwa kwenye viwanja vya hotelini hapo wakiwa wenye nyuso za furaha na mbele yao kuna meza yenye glass mbili za vinywaji, le mutuz ambae jina lake halisi ni wiliam malecela alizitupia picha hizi mtandaoni na wakiwa katika mpozi mbalimbali na kuandika;
chanzo: bongomovies.com
leo ni all my super friend actress super star lulu u know nampendazzzz mpaka naumwa u know she is just sweet
chick u know and smart no nonsense baby! - le mutuz
- Hahaha do me a big gademu favour KUFWA FOR ME HAHAHAHAHAHAHAHAHA
Le Mutuz
We baba huyu si kama mwanao wa mwisho? Loh! We baba jifunze hata kuona aibu.
Anawatafuna through puchu za Skypee.....ndukiiiii