Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,307
- 25,932
Mchumba, maswali mengine ukijibiwa tu utazimia. Achana nayo..Kwani makonda alikuwa nani kwa jpm.hadi jpm amtumie le mutuz kumpatanisha na makamu wa raisi??
Kwanini chuma akumpigia makonda simu ampigie le mutuz??
Kuna rafiki asiye maslai dunia hii.Rafiki wa kweli hawezi kukusaliti haya siku moja. Huyu alikuwa rafiki maslahi.
Kuna jambo fulani wanafanana!Makonda na Le Mutuz wote wanapenda kuandika in all caps.
Hili nintatizo la elimu au nini?
At least hata huyu William anachoandika kinasomeka post ya juzi ya Makonda inanipa wasiwasi kuwa ni kweli jamaa alitaga shuleniMakonda na Le Mutuz wote wanapenda kuandika in all caps.
Hili nintatizo la elimu au nini?
Yani nyota ya aliyeaacha u RC na kugombea ubunge na kuukosa pamoja na kutumia Rushwa imshinde Rais wa awamu ya 4 kwa miaka 10.?View attachment 2185858
Nyota ya Makonda ni kali sana....machawa wa family ya Jakaya msimalize maneno
Lakini huu uandishi ndio unatumika youtube. Hata mimi sijuagi kwa niniAt least hata huyu William anachoandika kinasomeka post ya juzi ya Makonda inanipa wasiwasi kuwa ni kweli jamaa alitaga shuleni
Kanyaga twende, tumechelewa Sana Le comendant[emoji13][emoji13][emoji13]Haha Lemutuz leo ni wa kumrarua bashite namna hii tena hadharani [emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa hapo kamsaliti nini,au kumwambia rafiki yako ukweli utakaomwokoa ndio usaliti?Rafiki wa kweli hawezi kukusaliti haya siku moja. Huyu alikuwa rafiki maslahi.
Joka la Kibisa hiloView attachment 2185858
Nyota ya Makonda ni kali sana....machawa wa family ya Jakaya msimalize maneno
Sina tatizo na uandishi wa caps naongelea context tu rejea post ya juzi ya makonda huko Instagram yani kwa uandishi ule ni aibu.Lakini huu uandishi ndio unatumika youtube. Hata mimi sijuagi kwa nini
Very unnecessary comments sasa anakuwa kama Nebucadreza ameshushwa ili ajifunze, namuobea moyo mkuu na wa toba.
Ni SAwa na yule shehe wa makonda,Le Mutuz ni mtu kwa madaraka
Ukiwa na power basi yeye atakuwq rafiki yako
Jamaa alikuwa na kiburi na majivuno mno
Who cares? Lets see that consequences.View attachment 2185858
Nyota ya Makonda ni kali sana....machawa wa family ya Jakaya msimalize maneno
Akili za mfuasi wa Mfalme Zumaridi hiziHakuna aliyewahi fanya bifu na Gwajima akabakia salama yupo wapi Job ndugai, bashite alishafutwa kwenye ulimwengu wa roho. Bashite ni gunia la misumari jiwe kalibeba akachemka.
Ni wakati wake wa mavuno asiyakimbie mazao yake.