Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaahha. ......inaitwa jebu lzma ukae.Aisii! Mama yake aliishi hapo? Na tambo zote hizi? Apumzike kwa amani!
Endelea kumweka sawa huyo ajuza, naona anaweweseka huko aliko [emoji2] [emoji3]Una laana wewe ya kumtelekeza mama yako alipougua halafu ukaenda kumzika umevaa kama kibaka
![]()
![]()
![]()
Yan inaonyesha una sura mbaya kama roho yako ilovyokua mbaya hupend watu wapige hatua ulaaniwe....nyie hamfai kuish dunian.Ubunifu zero kabisa kilakitu anamwiiga millardayo.com ukiangalia hata blog yake magazeti yote asubuhi anakopi kutoka millardayo.com tena yakiwa na logo ya millardayo
Shame on you....!
Wakati wa kubeba mabox?- na nilipokuwa majuu miaka 30 ulikuwa mkono wako? hahahahahahahahaa
le Mutuz
Ya kinje- Ruge ana THT na Joe ana Clouds International, lakini wanakutana Clouds Media so na mimi kule ni hivyo hiyvo LE Mutuz TV ni yangu hahahahahahaha
le Mutuz
Ndio lemutuz huyo mzee wa misifaAisii! Mama yake aliishi hapo? Na tambo zote hizi? Apumzike kwa amani!
Pesa za madafu hizo $$$ mchezoBabu umepambana sana mana kustaafu kuko mlangoni tayari,ila hiyo 40m unayoinvest ni zim$$.....mana wewe kwa uwongo ni nambari one
Hapo dawa imemuingia kisawasawaLemutuz my Brother huwa napenda kukushauri sana katika Ukweli na ndio maana siku zote huwa nawaza sana Umri wako kila nnapo ona Andiko lako ama kukutana na ww , Mm na ww tumeshakutana sana bila ww kujua , wht I knw ni kwamba , ww ni kati ya watu mliokua na chance kubwa ya kufanya mambo makubwa zaidi ya hayo unayodhani umefanikiwa kuyafanya , mistake unayoifanya ni moja , umeshindwa kujitofautisha ww na watu wengine badala yake umejikuta unafanya competation hadi kwnye minor issue .
Nadhani una wasiwasi na wakati uliopo/umri Vs mafanikio yako na ndio maana kwa lolote dogo utakalolifanya unaharibu kulipublisize ili ujipatie Selfconfort.
Najua unanielewa ..!
Swahili TV mmeachana nayo?
Hivi ww jamaa unakuwaga na akili timamu kweli?,mambo unayofanya hayaendani na umri wako kbs...![]()
- hahahahaha mwambie sisi bongo tunakula batazzz hatuna muda wa kuishi kwa wasi wasi hahaha ona le bebezzz Super Mtindizz Rangi ya mtume U know
le Mutuz
sasa hivi unamfahamu msanii roma mkatoriki?@lemutuz_nation - THE GOOD NEWS.......LE MUTUZ TV ONLINE (LTO) ....nilianzia Jamiiforums ...nikaingia Facebook ...nikafungua Blog yangu Mwaka 2012....Mwaka 2014 nikajiongeza kwenye all the Social Media tools pamoja na Instagram ...kote humo tulichofanya ni KUJITOFAUTISHA NA WENGINE ndicho kilichotufanya tufikie hapa tulipo na Social Media ...now its about time NIAMEAMUA KUSOGEA MBELE TENA to the Next step ....yaani LE MUTUZ TV ONLINE & STREAMING LIVE ....ni an expensive PROJECT na ndio hasa iliyokuwa sababu ya Safari zangu za hivi Karibuni to CHINA, MACAU, HONG KONG na JOHANNESBURG/SOUTH AFRICA ...ilikuwa ni matayarisho ya kuingia into TV ONLINE ...so now I am ready to go ...kwanza ni makamilisho ya ujenzi wa Studio ambao tayari umeshaanza at the TANCOT HOUSE gorofa ya Tatu pale Posta Mpya ....ujenzi utachukua like Mwezi mzima wa June na by the middle of July tutaanza kuwa rasmi hewani ...na kama kawaida yangu kama nilivyofanya kwenye Social Media I am looking FORWARD TO CHANGE THE GAME sio kisindikiza wengine tu ....NEVER ...so guys huko kwenye Online TV Industry get ready I AM IN.. So help me God!... KAMA UNA USHAURI AU MAONI YA KUSAIDIA PLEASE NITUMIE NAYAPOKEA BILA UBISHI! - le Mutuz Nation -
Ameirusha saa moja iliyopita
View attachment 515599
==========
Hongera sana Mr. W. J. Malecela kwa wengi tunasubiria. Na mimi ni mmoja wa tulioanza kukusoma humu tangu... hadi instagram. Mola azidi kukuongoza na kukusimamia.
Mjukuu wako hyo,ilitakiwa uwe unatengeneza mambo ya maana na nadharia za kuifaa jamii yako,kwa nafasi aliyokuwa nayi baba ako na upuuzi uufanyao kulinganisha na umri wako ni aibu kubwa sana.![]()
- tafuta mtoto mzuri kama huyu uone kama utakuwa upuuzi hahahahahahahhaa unamjua huyo ni nani? Ni Nigerian Super Star Seishay hapo nilikuwa Lagos Bataz hahahaha unasema ni upuuzi hahahahahaa
le Mutuz
- hayo yalikuwa ni maisha ya mama yangu Tunduma, labda ukuonyesha maisha bora ya mama yako kijijini ndio utakuwa na moral ya kuulizia wengine hahahahahaha kalete zingine hahahahahahahhaha
![]()
le Mutuz
- Really? hahahahaha mimi nakula taabu? hahahahahahaha unasema maisha yangu ni Taabu? hahahaha
![]()
- hiyo ilikuwa Nairobi Intercontinental unasema ni maisha ya taabu haya ninayoishi hahahahahahah
![]()
- unasema maisha yangu ya kusaifiri kwa Business Class ni taabu sana hahahahahahaha wewe unayo haya? hebu weka picha hapa tuone hahahahaha enjoy the show hahahahahahahahaha
![]()
- Hilton Hotel Johannesburg hahahahahaha unasema haya ya kuishi humu kila wakati ni maisha ya taabu sana hahahahahahahah wewe umevurugwa hahahahahahahahaha
le Mutuz
We Mbulula nimekukosa![]()
- hahahaha ona vitu hivyo hahahahahahahaha nafwaaazzz u know hahahaha
le Mutuz
![]()
- hahahaha ona vitu hivyo hahahahahahahaha nafwaaazzz u know hahahaha
le Mutuz