We jamaa vipi?! Nimekupa ranking za Millard Ayo na hako ka-blog kako halafu unaniletea stori za akina Diamond?!
Diamond ni VodaCom Ambassor... huoni aibu unajilinganisha nae?! Millard Ayo nae ni ambassador wao ingawaje ambassadorship yake sio kama ile ya Diamond!!
Kinyume chake, watu kama wewe are just publishers and can be anyone provided, one ana good traffic... mtu kama Millard Ayo, Bongo5, JF, Swahili Times n.k! Au mtu mwenye connection kama ambavyo ilitokea kwa Mange Kimambi ambae alipigiwa pande na swahiba wake wa pale VodaCom! Lakini wakati mwingine, ukiweza kujipendekeza kwa watu unapata hizo issues... ndo kama wewe!!!
But in addition, hata deal anayopata mtu kama Millard Ayo na mtu kama wewe ni tofauti sana... narudia; TOFAUTI SANA!!!! Millard Ayo amekupita kwa vigezo vyote tena amekuacha mbali!!!
Social media accounts zake ni very powerful kulinganisha na wewe... ni kama mlima na kichuguu!!!!
Blog yake ina high volume of traffic kuliko wewe; ni kama mlima na kichuguu!!!
But on top of that, he's more influential kuliko wewe... ni kama mlima na kichuguu!!! Nje ya Instagram very few people know this guys so called William Malecela!!!!
So, acha kujilinganisha na mtu kama Millard Ayo... unaonekana ni kituko!!! Huyo Diamond ndo kabisa manake mwisho wake ni hapa:
Itoshe tu kusema kwamba huna cha kunielimisha labda mimi nikuelimishe wewe!!!
Na uzuri ni kwamba haya mambo huwezi kunidanganya! It's very unfortunately huu mjadala upo JF lakini ingekuwa kwenye Instagram page yako ungekuwa umeshani-block ili ubaki na maju'ha peke yake uendelee kuwadanganya!!!