Le mutuz: the good news. Le mutuz tv online (lto)

18813950_763474880501579_439172276321563329_n.jpg

- hahahahahahaa sasa mbona huweki nyumba yako tuone iliyokwisha hahahahahahaa wacha wewe tisha wajinga wenzako

16105796_689094571272944_2184293536564876403_n.jpg

- hahahaha umeona South hiyo hahahahahahaha

le Mutuz
Kweli we kubwa jinga!!! Yaani hapo South ambako kila siku watu wa kawaida kabisa wanaenda wewe ndo ishakuwa issue ya kupiga picha na ku-post!!!
 
19059570_768381636677570_1999361845994564515_n.jpg

- hahahahaha nikitaka ninaweza kuuza hapa nikamaliza ile nyumba, siipendi ile nyuma kwa sababu ipo karibu na my ex ndio maana natafuta mnunuzi nyumba yangu ya ukweli itakuwa hapa ok mkuu so wachana na mimi sio size yako nipo mbali sana na maisha hahahahahahahaha

le Mutuz
Hata Condom inauzwaga kwahiyo kuuza kitu sio issue bali issue ni thamani ya hicho kinachouzwa!!!
 
- Biblia inasema ni makosa kujadili Marehemu na kama unataka fungua thread maalum for that hapa sio, pole sana bado mpaka leo una hasira na mimi kiasi hicho mkuu toka miaka ile tunaanzisha JF mpaka leo? maana haya maneno umeyaandika kwa hasira sana hahahahaha pole sana huku bongo maisha yanaendelea hatusumbuliwi na kelele za mlango ona hapa chini

PhotoGrid_1482781799877.png
Haya muzee endelea na maisha yako! Ila tunahoji kwa vile wewe mwenyewe unayaweka hadharani.
Sorry kama kuna mahali nimekukwaza.
 
Sasa linganisha na majigambo yako ya kujifanya umepatia wakati ukithaminisha hapo hata 50 Million haifiki!!!
Kuhusu Online TV wadanganye maju'ha wenzako lakini wenye akili wanafahamu kuanzisha not that expensive!! Utaishia kuweka mapicha ya kwenye internet lakini cha maana hapo hakuna!!!

Jengo ni la NHC ambalo gharama zake ni ndogo hata ukilinganisha na majengo binafsi yaliyopo Uswahilini!!!!
19059570_768381636677570_1999361845994564515_n.jpg

- haya niambie ghrama ya hiki kiwanja Mbweni kinauzwa kwa bei gani? hahahahahah Studio ikiisha utaiona tu maana huwa hatufichi mkuu huna maisha ndio maana unahangaika kuhakikisha wengine hawana maisha kama wewe pole sana mimi hunisumbui hata kidogo ndio maana pamoja na makelele yako yote next month ni safari ya South Korea hahahahahaa

le Mutuz
 
19059570_768381636677570_1999361845994564515_n.jpg

- hahahahahahaha hili ni shamba langu Mbweni mkuu nimeshaanza nyumba ndogo kazi inakuja so relax hahahahahah

18813950_763474880501579_439172276321563329_n.jpg

- na ujenzi wa Studio for Online TV ndio hivi unaendelea sasa suka unyoe hubadilishi kitu hahahahahahhaa pole sana hakuna mtoto anaweza kufanya haya mambo ni mazito na makubwa, by the way weka maisha yako hapa mkuu tuone kama tunalingana hahahahahaa

- IN THREE WEEKS NI SAFARI YA KOREA SOUTH KIKAZ ZAIDI HAHAHAHAHAHA

le Mutuz
you are my role model

-Le Bampami nation ha ha
 
Haya muzee endelea na maisha yako! Ila tunahoji kwa vile wewe mwenyewe unayaweka hadharani.
Sorry kama kuna mahali nimekukwaza.

- mkuu ulianza matusi siku nyingi sana ila nakuopnea huruma cause hayajawahi kubadilisha anything, wewe endelea kubeba mabox huko sisi bongo maisha yanasonga, kazi yangu ni Social Media na ni lazima nijitangaze kuuza kazi zangu na inanilipa sana pole sana ila hubadilishi anything na matusi yako hahahahahahaaa

le Mutuz
 
19059570_768381636677570_1999361845994564515_n.jpg

- haya niambie ghrama ya hiki kiwanja Mbweni kinauzwa kwa bei gani? hahahahahah Studio ikiisha utaiona tu maana huwa hatufichi mkuu huna maisha ndio maana unahangaika kuhakikisha wengine hawana maisha kama wewe pole sana mimi hunisumbui hata kidogo ndio maana pamoja na makelele yako yote next month ni safari ya South Korea hahahahahaa

le Mutuz
We mburula kweli!! wapi nimehangaika na maisha ya failure kama wewe?!

Btw, usiseme kiwanja kipo bali sema Mbweni sehemu gani!!! Hata Kimbangulile na Mikocheni zote ni Dar es salaam!!!!

Halafu ona ulivyo mburula... umehangaika ku-post picha za mahotelini na kwenye ndege ili ku-prove mambo safi lakini mwishowe unaishia ku-post kibanda amabcho ndicho unakimiliki na hata kumalizia kimekushinda!!!
 
Hata Condom inauzwaga kwahiyo kuuza kitu sio issue bali issue ni thamani ya hicho kinachouzwa!!!
19059570_768381636677570_1999361845994564515_n.jpg

- sasa unaanza kutia huruma sana maana huna hoja tena, hahahahahahahahaaa ona ulipofikia chezea wajinga wenzako hapa ni AKILI KUBWAZZZ I get paid na hunisumbui hata kidogo unahangaika bure tu hahahahaha fanya kazi achana na maisha ya wanaume wengine wasiokuhusu, ni hatari sana mtoto wa kiume kufuatilia maisha ya wanaume kwa majina ya bandia hahahahahahahaha

Akili kubwa mzee wa near to 60 years ndo kwanza ana kibanda ambacho hata kumalizia ameshindwa???!! Akili kubwa unaishia kutumwa na watoto wadogo!!!!
LemutuzA.jpg

Ukitoka hapa unarudi Instagram kuwamwagia watu mapovu kwa ajili ya Bashite!!! Yaani hakuna mtu anayewatia wazee wenzake aibu kama we jamaa!!!!
 
We mburula kweli!! wapi nimehangaika na maisha ya failure kama wewe?!

Btw, usiseme kiwanja kipo bali sema Mbweni sehemu gani!!! Hata Kimbangulile na Mikocheni zote ni Dar es salaam!!!!

Halafu ona ulivyo mburula... umehangaika ku-post picha za mahotelini na kwenye ndege ili ku-prove mambo safi lakini mwishowe unaishia ku-post kibanda amabcho ndicho unakimiliki na hata kumalizia kimekushinda!!!
-

- hahaha kubali tu nimekukomesha maana kila ulicholilia umeonyeshwa, kuanzia ninapoishi sasa, ninaposafiri sehemu ninazoishi, nyumba na shamba tena mawili sio moja tu, sasa unatapa tapa chezeya wajinga wenzako mimi baharia wewe hakunaga ukiona baharia karudi bongo anaishi ogopa maana wengi huwa wanakwama, na ukiona mtu karudi kutoka majuu na anaishi kama mimi ogopa maana wengi wanashindwa pole sana

le Mutuz
 
achana na maisha ya wanaume wengine wasiokuhusu, ni hatari sana mtoto wa kiume kufuatilia maisha ya wanaume kwa majina ya bandia hahahahahahahaha

le Mutuz
Mwanaume nabebeshwa viatu na kufanya kazi ya ukuwadi!!!
LemutuzA.jpg

Kilichobaki kwako ni kuinamishwa tu kama hujainamishwa basi!!!

Kila siku upo mitandaoni kutetea wanaume... huwezi kuwa salama mtu kama wewe never ever!!!
 
Akili kubwa mzee wa near to 60 years ndo kwanza ana kibanda ambacho hata kumalizia ameshindwa???!! Akili kubwa unaishia kutumwa na watoto wadogo!!!!
Ukitoka hapa unarudi Instagram kuwamwagia watu mapovu kwa ajili ya Bashite!!! Yaani hakuna mtu anayewatia wazee wenzake aibu kama we jamaa!!!!
18274756_748139185368482_5211226247600387782_n.jpg

- miaka 60 sijafika na kwa maisha niliyonayo hata kujenga sihitaji ila sema ni ubongo tu kuwa nyumba, hapa mjini ninaishi na Wahindi wanaoshikilia uchumi hawajengi popote, huwezi kuwa na akili ndogo ukawa na maisha kama yangu ndio maana hata wewe huna maana ni akili ndogo unaishi chumba cha kupanga ndio maana huwezi kuweka picha hapa hahahahahaha pole sana hapa ni kazi kazi

- ninatumwa na ninawafanyia kazi tu hahahahaha situmwi na mtu yoyote nisiyemfanyia kazi so rekebisha hilo hahahahaha

le Mutuz
 
-

- hahaha kubali tu nimekukomesha maana kila ulicholilia umeonyeshwa, kuanzia ninapoishi sasa, ninaposafiri sehemu ninazoishi, nyumba na shamba tena mawili sio moja tu, sasa unatapa tapa chezeya wajinga wenzako mimi baharia wewe hakunaga ukiona baharia karudi bongo anaishi ogopa maana wengi huwa wanakwama, na ukiona mtu karudi kutoka majuu na anaishi kama mimi ogopa maana wengi wanashindwa pole sana

le Mutuz
Umenikomesha na nini sasa? Yaani kwa akili zako za uzee unaona kibanda ambacho hata kumalizia kimekushinda ndo kitu cha kumkomesha mtu? Au hiyo Online TV ambayo unaweza kuanzisha with less than $10K ?!

We jamaa una matatizo ya akili!!! Nilikupa challenge acha ku-post mali za watu!! Badala ya ku-post vyumba vya hotel ambavyo unalipiwa; post nyumba yako!!!

nakuambia post nyumba ndo kwanza una-post banda ambalo hata kwisha halijaisha halafu unasema umenikomesha!!

We kweli mzee ju'ha!!!
 
Mwanaume nabebeshwa viatu na kufanya kazi ya ukuwadi!!!
Kilichobaki kwako ni kuinamishwa tu kama hujainamishwa basi!!!

Kila siku upo mitandaoni kutetea wanaume... huwezi kuwa salama mtu kama wewe never ever!!!

- hahahahahaha ipi bora kubeba viatu vya Super Star Diamond au kutunza wazee majuu? hahahahaha MWanaume hachagui kazi mkuu hahahahahaha leo umeanzia kwenye blog mpaka kwenye viatu hahahahaha chezea wajinga wenzako hapa sio

le Mutuz
 
Vita ya the mutuz haijawahi kumwacha mtu salama.... Huyu jamaa ukibisha nae mwisho utajikuta unacheza beat lake....
 
Umenikomesha na nini sasa? Yaani kwa akili zako za uzee unaona kibanda ambacho hata kumalizia kimekushinda ndo kitu cha kumkomesha mtu? Au hiyo Online TV ambayo unaweza kuanzisha with less than $10K ?!

We jamaa una matatizo ya akili!!! Nilikupa challenge acha ku-post mali za watu!! Badala ya ku-post vyumba vya hotel ambavyo unalipiwa; post nyumba yako!!!

nakuambia post nyumba ndo kwanza una-post banda ambalo hata kwisha halijaisha halafu unasema umenikomesha!!

We kweli mzee ju'ha!!!

- nimekukomesha kwa sababu wewe hata banda huna kama unalo weka hapa tuone hahahahahhaha

le Mutuz
 
Tatizo lako hupendi kupingwa hata kwa hoja na fact unakimbilia kublock watu
 
18274756_748139185368482_5211226247600387782_n.jpg

- miaka 60 sijafika na kwa maisha niliyonayo hata kujenga sihitaji ila sema ni ubongo tu kuwa nyumba, hapa mjini ninaishi na Wahindi wanaoshikilia uchumi hawajengi popote, huwezi kuwa na akili ndogo ukawa na maisha kama yangu ndio maana hata wewe huna maana ni akili ndogo unaishi chumba cha kupanga ndio maana huwezi kuweka picha hapa hahahahahaha pole sana hapa ni kazi kazi

- ninatumwa na ninawafanyia kazi tu hahahahaha situmwi na mtu yoyote nisiyemfanyia kazi so rekebisha hilo hahahahaha

le Mutuz
Kweli we mzee huna akili!! Kujenga huhitaji wakati una watoto?!

Narudia, post nyumba yako hapa lakini usituwekee apartment za NHC ambazo hata hivyo ni very cheap kuliko apartment za uswahilini!!!
 
- hahahahahaha ipi bora kubeba viatu vya Super Star Diamond au kutunza wazee majuu? hahahahaha MWanaume hachagui kazi mkuu hahahahahaha leo umeanzia kwenye blog mpaka kwenye viatu hahahahaha chezea wajinga wenzako hapa sio

le Mutuz
Mkuu hujawahi kuniangusha katika kutafuta pesa. Watoto wengi wa vigogo hutegemea urithi wa mali za baba zao. You're unique on your own way.

Keep it up....ndio maana wabebez wanashoboka.
 
- nimekukomesha kwa sababu wewe hata banda huna kama unalo weka hapa tuone hahahahahhaha

le Mutuz
Hata kama sina haijatokea hata siku moja nikajisifu humu jamvini kwa sababu mimi sio ju/ha zezeta kama wewe!! Na kwavile sio ju.ha kama wewe ambae una pyschological problem na matokeo yake unakesha ku-post vitu ili kuhangaika ku-prove kwamba you're mr someone wakati you're just a piece of trash!!!

Lakini yote kwa yote huwezi kunikomesha kwa kuonesha banda ambalo hata kumalizia limekushinda na umri ndo huo tena unakupiga mkono!!!!
 
Back
Top Bottom