William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
Kweli we mzee huna akili!! Kujenga huhitaji wakati una watoto?!
Narudia, post nyumba yako hapa lakini usituwekee apartment za NHC ambazo hata hivyo ni very cheap kuliko apartment za uswahilini!!!
- hahahahahaa hapa ndipo ninapoishi sasa hivi, infact sina mpango wowowte wa kuhama hapa pamoja na kwamba ninajenga nyumba Mbweni, kama ni watoto wangu wale ni Americans hawawezi kuja kuishi bongo so wala sio ishu ok hahahahaha
le Mutuz