Kweli we kubwa jinga!!! Yaani hapo South ambako kila siku watu wa kawaida kabisa wanaenda wewe ndo ishakuwa issue ya kupiga picha na ku-post!!!
- hahahahahahaa sasa mbona huweki nyumba yako tuone iliyokwisha hahahahahahaa wacha wewe tisha wajinga wenzako
- hahahaha umeona South hiyo hahahahahahaha
le Mutuz
Hata Condom inauzwaga kwahiyo kuuza kitu sio issue bali issue ni thamani ya hicho kinachouzwa!!!
- hahahahaha nikitaka ninaweza kuuza hapa nikamaliza ile nyumba, siipendi ile nyuma kwa sababu ipo karibu na my ex ndio maana natafuta mnunuzi nyumba yangu ya ukweli itakuwa hapa ok mkuu so wachana na mimi sio size yako nipo mbali sana na maisha hahahahahahahaha
le Mutuz
Haya muzee endelea na maisha yako! Ila tunahoji kwa vile wewe mwenyewe unayaweka hadharani.- Biblia inasema ni makosa kujadili Marehemu na kama unataka fungua thread maalum for that hapa sio, pole sana bado mpaka leo una hasira na mimi kiasi hicho mkuu toka miaka ile tunaanzisha JF mpaka leo? maana haya maneno umeyaandika kwa hasira sana hahahahaha pole sana huku bongo maisha yanaendelea hatusumbuliwi na kelele za mlango ona hapa chini
Sasa linganisha na majigambo yako ya kujifanya umepatia wakati ukithaminisha hapo hata 50 Million haifiki!!!
Kuhusu Online TV wadanganye maju'ha wenzako lakini wenye akili wanafahamu kuanzisha not that expensive!! Utaishia kuweka mapicha ya kwenye internet lakini cha maana hapo hakuna!!!
Jengo ni la NHC ambalo gharama zake ni ndogo hata ukilinganisha na majengo binafsi yaliyopo Uswahilini!!!!
you are my role model
- hahahahahahaha hili ni shamba langu Mbweni mkuu nimeshaanza nyumba ndogo kazi inakuja so relax hahahahahah
- na ujenzi wa Studio for Online TV ndio hivi unaendelea sasa suka unyoe hubadilishi kitu hahahahahahhaa pole sana hakuna mtoto anaweza kufanya haya mambo ni mazito na makubwa, by the way weka maisha yako hapa mkuu tuone kama tunalingana hahahahahaa
- IN THREE WEEKS NI SAFARI YA KOREA SOUTH KIKAZ ZAIDI HAHAHAHAHAHA
le Mutuz
Haya muzee endelea na maisha yako! Ila tunahoji kwa vile wewe mwenyewe unayaweka hadharani.
Sorry kama kuna mahali nimekukwaza.
We mburula kweli!! wapi nimehangaika na maisha ya failure kama wewe?!
- haya niambie ghrama ya hiki kiwanja Mbweni kinauzwa kwa bei gani? hahahahahah Studio ikiisha utaiona tu maana huwa hatufichi mkuu huna maisha ndio maana unahangaika kuhakikisha wengine hawana maisha kama wewe pole sana mimi hunisumbui hata kidogo ndio maana pamoja na makelele yako yote next month ni safari ya South Korea hahahahahaa
le Mutuz
Hata Condom inauzwaga kwahiyo kuuza kitu sio issue bali issue ni thamani ya hicho kinachouzwa!!!
Akili kubwa mzee wa near to 60 years ndo kwanza ana kibanda ambacho hata kumalizia ameshindwa???!! Akili kubwa unaishia kutumwa na watoto wadogo!!!!
- sasa unaanza kutia huruma sana maana huna hoja tena, hahahahahahahahaaa ona ulipofikia chezea wajinga wenzako hapa ni AKILI KUBWAZZZ I get paid na hunisumbui hata kidogo unahangaika bure tu hahahahaha fanya kazi achana na maisha ya wanaume wengine wasiokuhusu, ni hatari sana mtoto wa kiume kufuatilia maisha ya wanaume kwa majina ya bandia hahahahahahahaha
le Mutuz
-We mburula kweli!! wapi nimehangaika na maisha ya failure kama wewe?!
Btw, usiseme kiwanja kipo bali sema Mbweni sehemu gani!!! Hata Kimbangulile na Mikocheni zote ni Dar es salaam!!!!
Halafu ona ulivyo mburula... umehangaika ku-post picha za mahotelini na kwenye ndege ili ku-prove mambo safi lakini mwishowe unaishia ku-post kibanda amabcho ndicho unakimiliki na hata kumalizia kimekushinda!!!
Mwanaume nabebeshwa viatu na kufanya kazi ya ukuwadi!!!achana na maisha ya wanaume wengine wasiokuhusu, ni hatari sana mtoto wa kiume kufuatilia maisha ya wanaume kwa majina ya bandia hahahahahahahaha
le Mutuz
Akili kubwa mzee wa near to 60 years ndo kwanza ana kibanda ambacho hata kumalizia ameshindwa???!! Akili kubwa unaishia kutumwa na watoto wadogo!!!!
Ukitoka hapa unarudi Instagram kuwamwagia watu mapovu kwa ajili ya Bashite!!! Yaani hakuna mtu anayewatia wazee wenzake aibu kama we jamaa!!!!
Umenikomesha na nini sasa? Yaani kwa akili zako za uzee unaona kibanda ambacho hata kumalizia kimekushinda ndo kitu cha kumkomesha mtu? Au hiyo Online TV ambayo unaweza kuanzisha with less than $10K ?!-
- hahaha kubali tu nimekukomesha maana kila ulicholilia umeonyeshwa, kuanzia ninapoishi sasa, ninaposafiri sehemu ninazoishi, nyumba na shamba tena mawili sio moja tu, sasa unatapa tapa chezeya wajinga wenzako mimi baharia wewe hakunaga ukiona baharia karudi bongo anaishi ogopa maana wengi huwa wanakwama, na ukiona mtu karudi kutoka majuu na anaishi kama mimi ogopa maana wengi wanashindwa pole sana
le Mutuz
Mwanaume nabebeshwa viatu na kufanya kazi ya ukuwadi!!!
Kilichobaki kwako ni kuinamishwa tu kama hujainamishwa basi!!!
Kila siku upo mitandaoni kutetea wanaume... huwezi kuwa salama mtu kama wewe never ever!!!
Umenikomesha na nini sasa? Yaani kwa akili zako za uzee unaona kibanda ambacho hata kumalizia kimekushinda ndo kitu cha kumkomesha mtu? Au hiyo Online TV ambayo unaweza kuanzisha with less than $10K ?!
We jamaa una matatizo ya akili!!! Nilikupa challenge acha ku-post mali za watu!! Badala ya ku-post vyumba vya hotel ambavyo unalipiwa; post nyumba yako!!!
nakuambia post nyumba ndo kwanza una-post banda ambalo hata kwisha halijaisha halafu unasema umenikomesha!!
We kweli mzee ju'ha!!!
Kweli we mzee huna akili!! Kujenga huhitaji wakati una watoto?!
- miaka 60 sijafika na kwa maisha niliyonayo hata kujenga sihitaji ila sema ni ubongo tu kuwa nyumba, hapa mjini ninaishi na Wahindi wanaoshikilia uchumi hawajengi popote, huwezi kuwa na akili ndogo ukawa na maisha kama yangu ndio maana hata wewe huna maana ni akili ndogo unaishi chumba cha kupanga ndio maana huwezi kuweka picha hapa hahahahahaha pole sana hapa ni kazi kazi
- ninatumwa na ninawafanyia kazi tu hahahahaha situmwi na mtu yoyote nisiyemfanyia kazi so rekebisha hilo hahahahaha
le Mutuz
Mkuu hujawahi kuniangusha katika kutafuta pesa. Watoto wengi wa vigogo hutegemea urithi wa mali za baba zao. You're unique on your own way.- hahahahahaha ipi bora kubeba viatu vya Super Star Diamond au kutunza wazee majuu? hahahahaha MWanaume hachagui kazi mkuu hahahahahaha leo umeanzia kwenye blog mpaka kwenye viatu hahahahaha chezea wajinga wenzako hapa sio
le Mutuz
Hata kama sina haijatokea hata siku moja nikajisifu humu jamvini kwa sababu mimi sio ju/ha zezeta kama wewe!! Na kwavile sio ju.ha kama wewe ambae una pyschological problem na matokeo yake unakesha ku-post vitu ili kuhangaika ku-prove kwamba you're mr someone wakati you're just a piece of trash!!!- nimekukomesha kwa sababu wewe hata banda huna kama unalo weka hapa tuone hahahahahhaha
le Mutuz