Le mutuz: the good news. Le mutuz tv online (lto)

Kweli we mzee huna akili!! Kujenga huhitaji wakati una watoto?!

Narudia, post nyumba yako hapa lakini usituwekee apartment za NHC ambazo hata hivyo ni very cheap kuliko apartment za uswahilini!!!

- hahahahahaa hapa ndipo ninapoishi sasa hivi, infact sina mpango wowowte wa kuhama hapa pamoja na kwamba ninajenga nyumba Mbweni, kama ni watoto wangu wale ni Americans hawawezi kuja kuishi bongo so wala sio ishu ok hahahahaha

le Mutuz
 
- hahahaha hakuna a piece of trash anaishi hivi hahahahahaha wapo barabarabarani rekebisha lugha yako hahahahahaha

le Mutuz
 
Mkuu hujawahi kuniangusha katika kutafuta pesa. Watoto wengi wa vigogo hutegemea urithi wa mali za baba zao. You're unique on your own way.

Keep it up....ndio maana wabebez wanashoboka.

- sawa sawa nilianza na ubaharia na mpaka leo mwendo ni ule ule I work hard and pay for my life, watoto wa Viongozi wapo wengi hapa mjini wanahangaika sio mimi thanks bosss hahahahahaha jamaa kakusoma vizuri hahahahaha

le Mutuz
 
- hahahahahaa hapa ndipo ninapoishi sasa hivi, infact sina mpango wowowte wa kuhama hapa pamoja na kwamba ninajenga nyumba Mbweni, kama ni watoto wangu wale ni Americans hawawezi kuja kuishi bongo so wala sio ishu ok hahahahaha

le Mutuz
Hakuna ambae anaweza kuhama nyumba za NHC kwa sababu ndizo most budget apartments Tanzania!!!

That's one, but second, kama huko Mbweni ndo lile banda lililoanza kuzungukwa na majani, basi ndo kabisa there's no way unaweza kuhama kwenye nyumba za NHC!!!
 
- sawa sawa nilianza na ubaharia na mpaka leo mwendo ni ule ule I work hard and pay for my life, watoto wa Viongozi wapo wengi hapa mjini wanahangaika sio mimi thanks bosss hahahahahaha jamaa kakusoma vizuri hahahahaha

le Mutuz
Kwahiyo kwenye ubaharia ndo ukapata mtaji wa kufungulia blog?! We jamaa ni hasara tupu....

Sana sana una sifa zote za kukwekwa kwenye makumbusho ya taifa!!!
 
Kwahiyo kwenye ubaharia ndo ukapata mtaji wa kufungulia blog?! We jamaa ni hasara tupu....

- Ulaya nilifuata elimu ndio ninaitumia now hapa ni jikoni kwangu, so unasema piece of trash wanaishi hivi kweli? hahahahahahaha unanivunja mbavu sana hahahahaha

le Mutuz
 
- Ulaya nilifuata elimu ndio ninaitumia now hapa ni jikoni kwangu, so unasema piece of trash wanaishi hivi kweli? hahahahahahaha unanivunja mbavu sana hahahahaha

le Mutuz
Kama elimu uliyofuata Ulaya ndo hiyo basi ni bora mtu apeleke watoto wakasome Somalia!!!
 
Hakuna ambae anaweza kuhama nyumba za NHC kwa sababu ndio the most small budget house hapa Tanzania!!!

That's one, kama huko Mbweni ndo lile banda lilianza kuzungukwa na majani, basi ndo kabisa there's no way unaweza kuhama kwenye nyumba za NHC!!!

- hahahahahaha sasa banda lako lipo wapi mkuu maana maneno mengi weka tuone hahahahaha

- nimenunua shamba, nimeweka ukuta na kibanda cha wafanyakazi kwanza then inakuja nyumba sina haraka huku mjini sifukuzwi na mtu, ninapoishi sasa unataka kujua kodi ngoja nikuleteee risiti uone mkuu hahahahahaha

le Mutuz
 
Maisha yangu ni private sio kama ya mburula kama wewe! Kwanini uhangaike kunitaka ku-post banda badala ya kuhangaika ku-post japo picha za mademu kama unavyofanya loser wewe?!

Ukipata jibu ndipo utakapokuja kuona tofauti ya watu wenye akili na maju'ha!!!!!

Wewe leo hii hata ukipata safari ya kwenda Lilongwe, utakesha uki-post instagram hadi kila mmoja afahamu kwamba Kubwa J anaenda Malawi!!!

Kinyume chake; wakati kila siku wanasafari na sio kwamba hawana social media accounts lakini wao sio mazwazwa kama wewe!!!!
 
- ona hapa ndio mara yangu ya kwanza kwenda majuu yaani nilikuwa mjanja loong time, ok huna nyumba na unaishi mahali pabovu ndio maana huwezi kuweka hapa sasa andika maneno weeee mimi nakupa majibu tu mpaka utaelewa, maisha ninayo wewe huna na ninayo siku nyingi sijawahi kukosa maisha na i lov my life, unaonekana unajichukia sana maana mwanaume mzima kufuatilia maisha ya wanaume wengine sio mchezo kwenye mitandao hahahahahahaha

le Mutuz
 
We boya tu... huna cha ujanja wowote zaidi ya ushamba!!! Na ulivyo zuzu, hivi umeshawahi kuona watu wana-post vitu wanavyomiliki hapa JF? Au unataka kusema mwenye banda hapa JF ni wewe peke yako?!!

Acha udwanzi we mzee!! Usidhani kila mtu ni zuzu afanyae drama za maisha kama wewe!!!!
 
- hapa maisha yanasonga mbele kwa mbele kazi na batazzzz hahahahahaha
le Mutuz
Kuwadi Mshika Pembe!!! Na we mzee it's a matter of time!! Tutasikia tu siku umechezea mikono toka kwa wamiliki wa hao mademu!!!!
 
- wewe weka nyumba au banda kama huna nyamaza tu endelea na maisha yako, yangu huyawezi hahahahahaha

le Mutuz
 
- wewe weka nyumba au banda kama huna nyamaza tu endelea na maisha yako, yangu huyawezi hahahahahaha

le Mutuz
Zee linalokaribia miaka 60 linapoishia kulingishia kibanda alichoshindwa hata kumalizia!!! Narudia tena na tena !!! Wewe unachokijua ni kujipendekeza kwa sababu maisha yako yanategemea hilo!!! Hapa ukitoka unaenda kutoa povu kwa ajili ya Bashite!!!
 
Kuwadi Mshika Pembe!!! Na we mzee it's a matter of time!! Tutasikia tu siku umechezea mikono toka kwa wamiliki wa hao mademu!!!!

- hahahaha now you are talking maana huwezi kumjua kuwadi unless alikuuza kwa wanaume hahahahahahahaha

le Mutuz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…