Le mutuz: the good news. Le mutuz tv online (lto)



- Halafu ninakribia kuoa le mbebezzz so ni lazima kumtambulisha kwa Rafiki wa kweli, here majuzi na my babe Hilton Hotel hahahahahaha wewe piga kelele huku JF sisi huko Duniani tunaishi kweli hahahahahahaha U know

le Mutuz
Mkuu hongera kwa uamuzi wa kuoa, sasa umekua na atasaidia mengi. Namuona huyo wa kulia msalimie sana, siku hizi simsikii sana. Ila mambo yako mengi ni kwenye mahoteli sasa utajenga familia na kupunguza misifa, kumbuka kunipa mwaliko kama mwana JF
 
Hv siku le mkengez akifa atakua ameacha nini kingine zaidi ya picha na kusifia wanaume
 



- haya ndio maisha yangu mkuu ninaposafiri nakaa sehemu kama hizi, hahahahahahhaa umri baki nao mimi naendelea na maisha U know hahahahahahahhaa

le Mutuz
Hatushangai mwanaume ukimegwa lazima uishi hv.... U know
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…