Le mutuz: the good news. Le mutuz tv online (lto)

Nisaidie wewe... kumbe ni wa Karatu yule!! Manake lilikuwa linajifanya kukataa hapa!! Linaomba kupiga picha na demu halafu aka-post Instagram... Demu wacha amchane!!!
Wa Karatu yule dada alimchana live, alimwambia kabisa le kubwa jingaz umeomba tupige pic kistaarabu then unakuja kupost ist na caption za ajabuajabu mwisho wa siku unaniharibia ndoa yangu,jamaa liliomba poo
 
Haya mambo waachie kina Tunda,hayaendani na umri wako etii
20170528_104933-jpg.515599

- nikimaliza ujenzi wa Studio nitaenda South Korea then ndio tutaanza kurusha matangazo rasmi, nitakuja kuwaarifu kwa sasa naomba kupumzika na kurudi kazini kwenye ujenzi!

le Mutuz
 
lemutuzzz.jpg

- nilipofika tu Karatu alinifuata mwenyewe mpaka chumbani hotelini, so no uijinga mtupu aliniomba sana nisiseme ukweli wa kilichotokea so ninam spare, ila nilikuwa simjui alinifuata mwenyewe mpaka chumbani hotelini kwangu usiku wa manane, Mange akamtumia message akijafanya mama mzee yule mwanamke akapanic hahahahaha na the rest of the story ila umejichanganya hahahahahaaaa

le Mutuz
Hahahah ngoja niscreenshort nimtumie uone huo moto wake [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tena ngoja niwahi kabisa [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Wa Karatu yule dada alimchana live, alimwambia kabisa le kubwa jingaz umeomba tupige pic kistaarabu then unakuja kupost ist na caption za ajabuajabu mwisho wa siku unaniharibia ndoa yangu,jamaa liliomba poo

- hapana yule dada hana ndoa na alinifuata mwenyewe hotelini kwangu mimi nilikuwa mgeni Karatu ndio kwanza nimefika, simjui mtu alikuja mwenyewe hata message za kuniomba nisimseme ninazo hapa, sijawahi kuwa na shida ya mademu kiasi hicho huwa kila ninapokwenda wanajileta wenyewe.

- Thank you na kwaherini!

le Mutuz
 
Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amepishana na huyu jamaa kwa miaka 2 tu!!!
Kwa style hii hata kama jamaa yake bashite anampigia pande kwa mkulu hawezi teuliwa nafasi yeyote kwa mambo yake ya kisenge anayofanya,kila kitu chochote anachofanya lzm akianike social media ni ujinga,unaweza kuta huyu jamaa ndio amemwambukiza bashite hii tabia ya kupenda kupost post hovyo,mbona kipindi akiwa DC hakuwa na haya mambo ya social media?
 
Nakuunga mkono!!! Atakuwa huyu huyu Kubwa J ndie kamuambukiza hadi Bashite kuwa mtu wa kick za instagram
 
Huu mpambano tangu asubuhi mpaka jioni bado mbatoana jasho na Le Mutuz nashangaa mpaka sahz moods hawajautoa huu uzi wakati siku zote Mada za kumponda le mutuz huwa wanatoa
 
- hapana yule dada hana ndoa na alinifuata mwenyewe hotelini kwangu mimi nilikuwa mgeni Karatu ndio kwanza nimefika, simjui mtu alikuja mwenyewe hata message za kuniomba nisimseme ninazo hapa, sijawahi kuwa na shida ya mademu kiasi hicho huwa kila ninapokwenda wanajileta wenyewe.

- Thank you na kwaherini!

le Mutuz
Demu gani atajileta mwenyewe kwako wewe!!! Eti huna shida na mademu...

Nimekuuliza hapa ni nini cha kuwafanya mademu wajigonge kwako, umeshindwa kujibu!!! Vigezo wapendavyo mademu vyooooooote hauna hata kimoja!

Unaacha ku-interact na akina Bi. Chau au angalau na akina Bi Khadija Omary Kopa na Zipompa pompa lakini unajilazimisha ku-interact na akina Tunda, akina Vanessa Mdee... wapi na wapi!!!
 
Huu mpambano tangu asubuhi mpaka jioni bado mbatoana jasho na Le Mutuz nashangaa mpaka sahz moods hawajautoa huu uzi wakati siku zote Mada za kumponda le mutuz huwa wanatoa
Mods WAMESHAA MCHOKA..Maana wamegundua, ni yeye anaerusha Mawe nyumbani kwa WATU, Wakati anaishi Nyumba ya VIOO..!!

Waache MODS wafurahie SHOW.

Le Mwili Uzembe usijifanye kulala, ndio kwanza saa mbili hii, amka ujibu MASHAMBULIZI...

Ama tupia picha nyingine..
 
Mpaka kukuche bado mnaye tu le mbebez mtamuuwa bure
 
15826129_683309121851489_1879605512523665519_n.jpg

- Kigali hiyo, hahahahaha mkuu haya ndio maisha yangu mkuu mimi sio level yako, unapigana na ukuta now kumbuka nilienda huko kupiga kazi yangu ya Social Media hahahahahahahahhaa ki blog ona kinakonifikisha hahahahahaha

le Mutuz
Tesla alifia hotelini akiwa hana nyumba(ila haufikii ukubwa, umashuhuri na IQ aliyokuwa nayo R.I.P)
 
Nadhani anaependa makiki Kama msanii utamuweka awe anaonekana Kama wallpaper Muda wote,maana sio kwa ban alilopogwa.
 
Demu gani atajileta mwenyewe kwako wewe!!! Eti huna shida na mademu...

Nimekuuliza hapa ni nini cha kuwafanya mademu wajigonge kwako, umeshindwa kujibu!!! Vigezo wapendavyo mademu vyooooooote hauna hata kimoja!

Unaacha ku-interact na akina Bi. Chau au angalau na akina Bi Khadija Omary Kopa na Zipompa pompa lakini unajilazimisha ku-interact na akina Tunda, akina Vanessa Mdee... wapi na wapi!!!
19030268_1323680344406147_3548817418914452134_n.jpg
 
Back
Top Bottom