- Mamen kilichotokea ni kwamba ICL ndio wanaosimamia zoezi hili na ndio waliofanya party ya juzi Mliman City, makopo ya kwanza yalikuwa ni uamuzi wa mwenye jina kuna waliokataa lakini majina ya kwanza yalichaguliwa na Cocacola wenyewe ila hata kama sio Star ukitaka kopo sasa hivi ukiwaendea wanakutengezea that is all, MWanasheria wa Instagram alichokosea na ni kosa la wengi sana hapa mjini kuamini maneno ya mtaani kwamba watu wote ni wajinga mwenye akili ni yeye tu hapo ndipo alipoharibu, - Maneno mengi yanayorushwa hapa kuhusu LE Mutuz huwa hayana ukweli ila kwa sababu ya itikadi ndio maana haya maneno huwa yanarushwa hapa, sasa kuna watu wengi sana huwa wanakuja hapa kichwa kichwa na kuamini kila kitu wanachokisoma hapa hasa kuhusu mimi sasa kivumbi kinakuja tukikutana uso kwa uso, huwa wanaishia kuja kuniuliza eti wewe ndio Le Mutuz tunayemsoma JF huwa nawajibu why, always neno moja tu kwamba mbona hufanani kabisa na tunayoyasoma mimi nilidhani wewe ni mjinga mjinga flani au mlevi flani hivi masikini ya Mungu I go through this kila siku, sasa na huyu Mwanasheria wenu ameingia huo mkenge wa kuamini kwamba ana akili kuliko sisi wote na alipokosea ni pale aliposema mambo ya utabiri waumri wangu, kwamba nina miaka 56 kama baba yake ndio maana sina akili, sasa imagine MWanasheria wa kweli hasa hapa mjini unaweza kwenda kujiingiza kwenye huu ujinga wa maneno hewa namna hiyo? - Yaani huyu Mwanasheria wenu uchwara ili kushinda hoja na mimi ni lazima atumie maneno ya chini kama kunitabiria umri wangu hahahaha? hapo ndipo nilipomdharau kabisa kwamba jamaaa ni mjinga flani hivi ila kasoma sheria kidogo maana Mwanasheria wa kweli ili kushinda argument ya kisheria na mtu kama mimi hawezi kukimbilia kutabiri umri wangu kwanza ili niongope ndio aseme hoja yake that is childish na foolish!! Le Mutuz