Le Mutuz (W. Malecela) Vs Alberto Msando: Hii ni vita ya kupigania haki za wasanii au kopo la Coca?

Status
Not open for further replies.

Ahaaaa...sasa kama hakuna hata mtu mmoja aliyelipwa kupitia hiyo kampeni hivi vilio vya sijui wasanii wa kibongo kunyonywa na Coca-Cola kwa sababu ya ujinga vinatoka wapi?

Nadiriki kusema hivyo vilio vinatokana na ujinga kuliko hata huo unaodaiwa kuwa ni ujinga wa wasanii wa kibongo.

Hii siyo endorsement campaign, period, of story.
 

Ndugu yangu inaelekea wewe ni mgumu sana kuelewa jambo. Hii campaign was simple na wala haikutumia celebrities kwenye nchi nyingine kwa kuweka picha zao kwenye official cocacola social media kama ilivyokuwa twisted huku Africa.

The aim was to use common names period. It was an emotional marketing strategy. There is no one was paid for her/his name to appeared on this campign, the whole budget went on TV and billboard adverts which even CocaCola themselves regreted as it was not necessary due to responds they have received from the social media was enough. I dont know your profession but im sure you could have done your own research just to satisfy yourself and attain answers on basic and simple questions you have.

Ukishindwa kuelewa mpaka then its not my problem. Amani
 
Dizaini unatamani sana na wewe jina lako lingeandikwa.

Too bad nobody gives a rats azz about yo azz:becky::becky::becky::becky:

Dude seriously?
Siamini kama wabeba box wote MNA akili ndama.kiasi hiki but ww na kubwa jinga William malecela mnaanza kunishawishi kwa hilo
 
- so baada ya kuona ukweli wangu sasa umebadilika sio nyinyi jana mliokuwa mnaweka matusi ya huyo mpuuzi hapa?

Le Mutuz

Matusi yapi we kubwa jinga
Kuna sehem yule jamaa amekutukana?
That cheap populality dude u shud have thot better than this aisee kudanganya kitu ambacho kila MTU anaona duuu aibuuu kubwa jinga
 







Like ·


· - Nimewaambieni wale wote mnaolia lia kuhusu hii ishu semeni tatizo lenu la kweli maana siamini tatizo ni kopo, wewe mjinga hii picha nilipiga miezi miwili iliyopita nilipokwenda kusaini mkataba na ICL wa kuifanyia kazi cocacola, mwezi mmoja baadaye wakaniambia kwamba watanitengenezea kopo ambalo la kwanza litakuwa sample na huenda watayauza mbele ya safari, tukakubaliana kwamba la sample halina tatizo ya kuuza tutakaa chini, narudia tena Cocacola walishaanza kunilipa hata kabla ya makopo kuja ni waajiri wangu kwenye mkataba tumekubaliana kwamba ni wajibu wangu kushiriki na kutangaza promotions au events za Cocacola wakati wowote wa Mwaka mmoja wa mkataba wangu, kopo la bure lenye jina langu ni part of this deal,

- Sasa wewe mjinga unaandika ujinga ujinga bila hata kufikiri wala kuuliza FACTS, wewe unafikiri sisis wote hapa mjini wajinga ila wewe tu hao wajinga wenzako? Please mnatia kichefu chefu na ujinga ujinga mnaoandika andika kama hamkupata makopo yenye majina yenu sasa hivi Cocacola wanatoa kopo lenye jina la mtu yoyote nenda wakupe wacha kulia lia, maneno yanaonyesha wewe na wenzako mna tatizo la mimi kuaminiwa sana na Public, poleni sana I aheb been in this business ya Social Media for the last 20 years, mmerukia juzi tu hapa mnataka kujifanya kujua mnajua nini hasa mbona kama wajinga wajinga flani hivi!!

Le Mutuz
 

Duu lemutuz kubwa jinga aisee
Haya kila la kheri
 
hahahah haya wa kwako umeyeyuka ,fatilia uone kama kuna hata sh kumi wanachukua

U serious?
Umpigishe tangazo MTU bila kumlipa?hamjitambui nyie
Yaannunadupport kabisa?dude plz acheni kucheza na maisha ya watu
 

- Ni maneno ya mkosaji Cocacola ina mkataba na Diamond, tayari wanamlipa sasa wakiwa na promotions ndogo ndogo kama hizi za kopo hakuna mkataba unaosema watamlipa upya kwa sababu ya jina lake kuandikwa kwenye kopo la Cocacola, isipokuwa ni part of the deal na ndio maana popote unapomuona diamond anakuwa na anakunywa Cocacola kwenye kikombe chekundu cha Cocacola, sasa utasema Cocacola hawajamlipa mtu kuhusu makopo? please shule gani umesoma?

Le Mutuz
 

Hujajb hoja uliyoulizwa kuhusu hayo makopo masuala ya kuzaliwa ocean road waachie manesi
 
Matusi yapi we kubwa jinga
Kuna sehem yule jamaa amekutukana?
That cheap populality dude u shud have thot better than this aisee kudanganya kitu ambacho kila MTU anaona duuu aibuuu kubwa jinga

- Wasiolipwa ni Wasanii wake peke yake, mkuu nina mikataba na makampuni kibao hapa mjini sio mgeni na haya mambo nina mkataba na Samaki Samaki, juzi wamefanya special Show Samaki Samaki ya mjini ni lazima niwepo ingawa ni nje ya mkataba lakini ni ndani ya mktaba pia kwa sababu ni waajiri wangu, kama hamuwezi kuishi hapa mjini mrudi makwenu badala ya kurukia rukia mambo msiyoyajua kama cocacola haiwalipi sip kosa langu hahahahahaha I get paid!!

Le Mutuz
 
Hujajb hoja uliyoulizwa kuhusu hayo makopo masuala ya kuzaliwa ocean road waachie manesi

- Ni ujumbe tu kwa mliokuja mjini watuwazima kama wewe uliyekuja na mwenge hahahahahaha, nilizaliwa Ocean Road sasa hivi naishi Jamhuri Street dakika kama tano kutoka nilipozaliwa hahahahaa U know

Le Mutuz
 

Watu hawaelewi wanaongea tu
I wish wangejua power if advertizement
 

How can I understand you when you can't even express yourself clearly?

You are a bundle of contradictions

You admit no one in the world was paid to have their name(s) printed on the bottles and cans.

So why are you kicking up a fuss?
 

Kwanza brother jazba ya nini na matusi juu. Is this how educated people respond on issues? I had so much respect to all human kinds, I even called you brother! I wont respond on other stuff you have wrote to me but I hit main points only.

You brought a picture to show us that was the day that you signed a contract with ICL on behalf of CocaCola, do you want to tell me that you brought a picture as an evidence that you have signed a contract with CocaCola ??? What if i said that you took that picture when you were invited on someone birthday party??

U dont need to show us terms and conditions of your contract but at a snap shot of a bottom part of the contract where it shows a signatures of both parts in agreements.

I explained to you that NO ONE WAS PAID FOR THIS CAMPAIGN AND IT WILL REMAINS AS THAT vingine ni porojo tu na kudanganya watu. Stop it and please potray your education you have attained in actions rather calling people names and think you are smart than them.

If education failed enter your mind and heart and change the way of your thinking then those certificates or degrees you have attain has no difference with the shirt you were it in the morning
 

Ndugu, tafadhali andika kwa Kiswahili tu maana hiyo lugha ya watu huiwezi kivile.
 
Ukitaka ugomvi na babu bomba muulize ana umri gan..Hahaha hapo lazima arushe ngumi
 
How can I understand you when you can't even express yourself clearly?

You are a bundle of contradictions

You admit no one in the world was paid to have their name(s) printed on the bottles and cans.

So why are you kicking up a fuss?

Im absolute certain that no one was paid, but the main issue why they did not use celebrities names (brands) such as Jay Z, P Diddy, CR7 neither in America nor in Europe. In those countries purely they use common names. In that case to use African celebrities' names is totally wrong because celebrities name can influence sales ndugu yangu. Instead of FidQ they could used Falid simple or instead of Mwana Fa they could use Hamis. And if they desided to use them then its fine but they have to pay them simple

Tusiwe na jazba let discuss the content of the thread rather getting too personal. Amani
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…