Le Mutuz (W. Malecela) Vs Alberto Msando: Hii ni vita ya kupigania haki za wasanii au kopo la Coca?

Status
Not open for further replies.

Okay then...if you think they are that wrong stop whining online and head to court and sue the hell out of them.

Have you ever heard of class-action lawsuit?
 
Ndugu, tafadhali andika kwa Kiswahili tu maana hiyo lugha ya watu huiwezi kivile.

Im trying and practice it at the same timevndugu yangu. If im not wrong our first language ni kiswahili si ndiyo.

Issue hapa siyo language ni content of the thread and its typical when someone start to loose the ground always start going off road, personal attacks. Amani
 
Im trying ndugu yangu if im not wrong our first language ni kiswahili si ndiyo.

Issue hapa siyo language ni content of the thread and its typical when someone start to loose the ground always start going off road, personal attacks. Amani

Basi andika kwa Kiswahili tu ili hoja zako zieleweke vizuri.
 
Basi andika kwa Kiswahili tu ili hoja zako zieleweke vizuri.

Allow me to repeat it again. Im trying and practice at the same time. What you have suggested is not helping me. You have failed to critise me constructively but only you want me to remain the same huo ni uchoyo.

The main purpose was to find out whether it was wrong or right for CocaCola to use African celebrities names but it was not a the case to seek this or that. Mambo ya lawsuit is not the case here. Just admit you have lost your argument and swallow it like a man and move on. More than that ni majungu na jazba.
Amani
 

- Well kama picha ingekuwa ya uongo kwani waliopo kwenye picha hawapo mitandaoni au hakuna anyewajua, ok na wewe ni wapi una maneno ya Cocacola wenyewe kwamba hawajamlipa mtu na anything, sijui elimu yako umesoma wapi ila pole sana huna hoja ni zile zile kelele za mlango, kama hukulipwa ni wewe mimi ninalipwa na cocacola mamen na hizi kelele zako ninaziktaa kwamba ni ujinga at best kutoka kwa mtu aliyee enda shule kidogo!1

Le Mutuz
 

- Ungekuwa mshindunalala only kama ungekuwa na maneno yaliyoandikwa na Cocacola otherwise kubalini kwamba kuna wenye akili waliopokea makopo as opposed na hao wasanii wenu, poleni sana ila punguzeni kelele za mlango cause some of us tunalala kama kawaida na kelele zenu

Le Mutuz
 
Okay then...if you think they are that wrong stop whining online and head to court and sue the hell out of them.

Have you ever heard of class-action lawsuit?

- Sema aka wasue Wasanii wake waliopokea makopo labda lakini hawezi kuwa sue Cocacola kwa sababu kuna watu like me I get paid na Cocacola U know sasa atawa sue vipi?

Le Mutuz
 

We unalala au unajificha?
 
- Sema aka wasue Wasanii wake waliopokea makopo labda lakini hawezi kuwa sue Cocacola kwa sababu kuna watu like me I get paid na Cocacola U know sasa atawa sue vipi?

Le Mutuz
excuse me,,..did you say you got paid and them artists didn't out of this share a coke thang?!!!!!!
 
excuse me,,..did you say you got paid and them artists didn't out of this share a coke thang?!!!!!!

- Nimesema nina mkataba na cocacola so hawakuwa na sababu ya kunilipa kwa kopo ila wakitaka kuuza yes watanilipa, una tatizo au?

Le Mutuz
 
- Nimesema nina mkataba na cocacola so hawakuwa na sababu ya kunilipa kwa kopo ila wakitaka kuuza yes watanilipa, una tatizo au?

Le Mutuz
unajaribu kuficha ujweli kwamba mara ya kwanza ulisema mnalipwa kwa majina yenu kuwa kwenye makopo,now you try to deny it,humu umeumbuliwa watu wameonyesha uzoefu huko hii kitu ilipoanzia hakuna malipo...more than that ni kuwa kuna majina ya watu wa kawaida kama john na shabani!
 

- Mimi ninalipwa na Cocacola way before makopo, now poleni sana kama hukulipwa sio kosa langu na ukitaka kopo mpigie victor pale ICL mpe jina lako atakutengenezea kopo that is all poleni sana kulazimisha watu maneno ya kijinga mimi simo!!

Le Mutuz
 
Lakini inategemea kuna wengine hawastahili kulipwa. Kwa mtu kama le baharia umaarufu atakaopata ni ujira tosha kwa kuwa hana umaarufu mkubwa kiasi cha kuhitaji kulipwa na Cocacola. Ni kwamba kumweka tu wanakuwa wamemsaidia sana. Lakini kwa mfano kumweka Daimondo ni wazi Coca ndio watafaidika zaidi kwa hiyo akidai malipo ni halali kabisa.

Hawa ma celeb uchwara wa bongo kama ambavyo kuna baadhi ya watu wametangulia kuwaita ni wazi kuwaweka kwenye hayo makopo ni kuwapa free promo ambayo wengine ingebidi wailipie labda badala ya kulipwa.
 

- Sina umaarufu wa kulipwa na cocacola na huku wananilipa mbona unajichanganya mkuu? mengine yote upo sawa ila hapo tu, huwezi kuwa na followers 36,000 Instagram kama sio maarufu, huwezi kuwa na Blog inayopitiwa na WAtu Millioni 7 na nusu kwa mwaka kama sio maarufu, huwezi kupata page 10 hapa JF kama sio maarufu, please niombe radhi mkuu!!

Le Mutuz
 
Followers 36000 ndio unaita umaarufu? Watu M7 (na hizi ni hits sio idadi ya watu tofauti) kutembelea blog tena kwa mwaka mzima ndio umaarufu? Wenzio video moja tu huko youtube wana viewers hadi milioni 200 hao waitweje??

Acha kujikweza wewe una umaarufu huku JF na kidogo kwenye hii mitandao ya kijamii mingine. Kama Cocacola wanakulipa basi wamekuhurumia tu vinginevyo bado huna umaarufu wa kustahili kulipwa na Cocacola. Kumbuka kuna watu wengi sana bongo wanajua Coke ni nini lakini hawajui hata kama upo duniani.

Mwisho siwezi kukutaka radhi kwa kuandika ukweli.
 

- Nilidhani utajiongela wewe kuwa ni maarufu kumbe unaongelea wengine? ok Kustahili kulipwa na Cocacola au kampuni yoyote ile anayeamua ni nani wewe au wenye kampuni? Unaongea ujinga sana unasema followers 36,000 sio maarufu wewe una wangapi? I mean naamini hujaelewa maana ya mtu maarufu mimi sio sawa na wewe ndio maana unatumia jina la bandia mimi natumia langu mwenyewe ndio tofauti ya mtu maarufu na asiyekuwa,

- Muombe mtu aanzishe thread yako hapa tuone utapata page ngapi kama sio comment yako mwenyewe ona mimi mpaka wewe umeacha kazi zako kuja kunishupalia ndio maana ya Super Star Celebrity U know hahahaha tuliza boli mimi ni Super Star wewe sio ndio maana unalia lia maana unajua wewe sio!!

- Jokate ni Super Star anawajua wenziwe nenda page yake Instagram utaona wale wote wanaowajua ni Celebrity kama yeye kawapa Sandals zake mpya nenda uangalie vizuri utakuta nipo, wacha utoto kubali ukweli wewe sio ndio maana Jokate hajakupa Sandals zake mpya ok!!

Le Mutuz
 
Allow me to repeat it again. Im trying and practice at the same time.

Fair enough!

What you have suggested is not helping me.

Well, too bad.

You have failed to critise me constructively but only you want me to remain the same huo ni uchoyo.

Not sure exactly what you are talking about here.

The main purpose was to find out whether it was wrong or right for CocaCola to use African celebrities names but it was not a the case to seek this or that.

The main purpose was to find out whether it was wrong or right for Coca-Cola to use African celebrities' names? Okay, so what did you find out? How did you find out? And where did you find out what you found out?

Mambo ya lawsuit is not the case here. Just admit you have lost your argument and swallow it like a man and move on. More than that ni majungu na jazba.
Amani

Explicate to me exactly how I lost that argument.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…