Le Mutuz (W. Malecela) Vs Alberto Msando: Hii ni vita ya kupigania haki za wasanii au kopo la Coca?

Status
Not open for further replies.
mhh ama kweli information is power
all common tanzanian names are used
ukinywa soda za Coca-Cola utabaini hilo
sasa hao sijui wanapigania nini
 
Kuna msanii mmoja kaweka wazi kwamba yeye kakataa kwasababu hakuna malipo yoyote, from instagram yake, na kaweka hadi text conversation
 

Lakini umeelewa lengo la Msando?
 
Mbona yule bikra wa kisukuma nae naona anasema kuna mtu anaona wivu cos jina lake halipo.. nikajua anamuongelea le mutu

Ni Msando maana yeye ndio amewambia wasanii anao wasimamia kisheria wasikubali unyonyaji huo.
 
Hii ni sawa na waleeee mapedesheee walio kuwa wanatangazwaa snaaa kweny Band zA bongo na wao humwagaa mihelaa sn ,sasa hawa celeb uchwara ndio wale wale t misifaa mingi kuji sifu mm Mtot wa town, jina kibwa
 
Yapo majina ya watu zaidi ya mia mbili unategemea watalipwa kweli?

Kimsingi wanapaswa kulipwa maana Coca-cola wataingiza Pesa kupitia majina yao na walitakiwa kusaini mkataba kabla ya kuandikwa majina yao!

Kama itakuwa bure hii itakuwa imetokea Tanzania pekee!
 
Custom made...weather iwe gari au bidhaa sio tangazo la biashara.hii project nilianza kuona kwa wenzetu Sa na naija wametoa kama zawadi kwa watu mashuhuri na imeshawishiwa na project ya coke studio.msando is right however amekurupuka sana saa anapresent na yeye ni mmoja wa watu ambao ni fake and unfair but he prefers to be seen as a helper.na anavyopendaga sifa...ameumia kutokuwepo kwenye list ya coke.
 
Shosti umepita kwa shangazi???


Mbona yule bikra wa kisukuma nae naona anasema kuna mtu anaona wivu cos jina lake halipo.. nikajua anamuongelea le mutu

Nimeamini Wabongo wakikuchukia ni noma..... Eti le mnazi alidhurumu 2.6m

Plus anadaiwa na le super sekretari le super monica
 

Attachments

  • 1421348316705.jpg
    91.5 KB · Views: 1,262
  • 1421348331560.jpg
    92 KB · Views: 1,223
Hivi bifu la ke mnazi na bikira halijaisha???

Kuna wimbo Fid q alisema "bonge la staa bonge la njaa" huyo bikra ni kati ya wajinga walio katika jamii hawajui kuwa wanaifanyia kazi Coca-cola halafu wao wanabaki mikono mitupu!

Hakika wajinga ndio waliwao!
 

Teh Teh katika hili wala hajakurupuka kabisa na amesema ukweli ulio wazi na Coca-cola.watatumia hayo majina kufanya biashara na ndio maana unaona preference imekuwa kwa watu walio na ushawishi kwa jamii maana wanajua wazi watauza kupitia hayo majina!

Msando is right Nothing goes for nothing!
 
Hii ni sawa na waleeee mapedesheee walio kuwa wanatangazwaa snaaa kweny Band zA bongo na wao humwagaa mihelaa sn ,sasa hawa celeb uchwara ndio wale wale t misifaa mingi kuji sifu mm Mtot wa town, jina kibwa

Wanafurahia kuwekwa majina yao wakati Coca-cola wametumia pesa kuyaandika na wanajua pesa lazima iingie na faida!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…