Le Mutuz (W. Malecela) Vs Alberto Msando: Hii ni vita ya kupigania haki za wasanii au kopo la Coca?

Le Mutuz (W. Malecela) Vs Alberto Msando: Hii ni vita ya kupigania haki za wasanii au kopo la Coca?

Status
Not open for further replies.
Sasa sikilizeni nyie watu, mimi nawapa taarifa za moja kwa moja kutoka global headquarters za Coca-Cola, Atlanta, GA.

Hii 'Share a Coke' campaign ilianzia Australia mwaka 2011 ambapo walianza kuweka majina yaliyo maarufu (popular) kwenye chupa na makopo ya Coke, Diet Coke na Zero.

Marekani hiyo campain ilianza summer ya mwaka jana, 2014.

Kwa mnaodai hao watu ambao majina yao yapo kwenye hayo makopo walipwe, sidhani kama mna hoja maana huko kwingine, hususan Marekani ambako hiyo soda inatengenezwa, hakuna aliyelipwa kisa eti jina lake lipo kwenye kopo la Coca-Cola.

Coca-Cola hawamuhitaji Aunty Ezekiel wala Wema Sepetu kujitangaza. They've been around for 128 years.

Sasa je, Tanzania hakuna majina ya watu wengine yaliyopo kwenye hayo makopo zaidi ya hao wasanii? Hakuna majina kama Bahati, Tumaini, Upendo, na mengineyo katika hayo makopo?



Americans can now get on a first-name basis with their bottle of Coca-Cola, Diet Coke and Coke Zero.

This summer, Coke is swapping out three of its iconic logos on 20-oz. bottles for the 250 most popular first names among American teens and Millennials. "Share a Coke", which first launched in Australia in 2011 and has since rolled out in more than 50 countries, invites fans to find their names -- and the names of family members, friends, coworkers and people they'd like to know better -- on bottles of Coke, Diet Coke and Zero across the U.S.


"Summer is the perfect time to get together with others and share moments of happiness over an ice-cold Coke at barbecues, sporting events, family reunions, amusement park outings and other gatherings," said Stuart Kronauge, senior vice president, sparkling brands, Coca-ColaNorth America. "Now, enjoying a Coke with your name on it and sharing the occasion with someone else makes these moments even more special."


Shareable 1.25- and 2-liter bottles will sport group names like "Family" and "Friends", and colloquial nicknames like "BFF," "Star," "Bestie," "Legend," "Grillmaster," "Buddy" and "Wingman" will appear on 12-oz. cans. The terms will express each brand's individual personality.


"Share a Coke" packaging will roll out nationwide in June and will remain on the shelves through August. The campaign will come to life online and via social media, too. Starting Thursday, fans can visit www.shareacoke.com to personalize virtual bottles and share them with friends via Facebook, tumblr, Twitter and Instagram.


By using the #ShareaCoke hashtag, consumers can share their stories and photos for the chance to be featured on interactive Coke billboards across the country. And anyone with the free Coca-Cola Freestyle mobile app can scan a QR code on the fountain dispenser's touch screen and send a friend a coupon for a $1 off a 20-oz. Coke.


Kronauge said the campaign puts a modern, youthful twist on the brand's 128-year legacy of bringing people together and making them feel special. "For teens and Millennials, personalization is not a fad, it's a way of life," she adds. "It's about self-expression, individual storytelling and staying connected with friends. ‘Share a Coke' taps into all of those passions."

Initial response across social media has been strong, according to Jennifer Healan, group director, integrated marketing content and design, Coca-Cola North America.


"‘Share a Coke' is designed to get people talking and sharing," she said. "When teens see that the iconic Coca-Cola logo has been replaced by their name or their friends' names, they can't help but take a picture and post it online."


Coke will amplify and curate the #ShareaCoke conversation via its social channels.


"We'll not only be talking about the names on bottles, but also putting a great deal of focus on celebrating real moments of sharing and the stories behind them," Healan adds. "We'll highlight the best examples to encourage sharing among our fans and followers and inspire teens to recreate these sharing moments with their friends."


Momentum is expected to build as more personalized packs reach the market and a multifaceted advertising campaign kicks off on July 1.


A 500-stop, cross-country "Share a Coke" tour featuring traveling kiosks will enable fans to customize a Coca-Cola mini can for themselves and a second can for someone special. The tour will satisfy fans who can't find their names on store shelves.


Coca-Cola
 
Last edited by a moderator:
mhh ama kweli information is power
all common tanzanian names are used
ukinywa soda za Coca-Cola utabaini hilo
sasa hao sijui wanapigania nini

Hata mimi nimeuliza hilo swali maana huko inakotokea hiyo Coca-Cola (Marekani) kuna majina 250 yaliyokuwepo kwenye chupa.

Sasa kila mtu ambaye jina lake lilikuwepo kwenye hizo chupa alilipwa? Hell to the no!!

Na Tanzania hakuna majina mengine ambayo ni common yaliyopo kwenye hizo chupa?

Nadhani kuna watu wanajifanya wajuaji sana kwenye hili.
 
Kimsingi wanapaswa kulipwa maana Coca-cola wataingiza Pesa kupitia majina yao na walitakiwa kusaini mkataba kabla ya kuandikwa majina yao!

Kama itakuwa bure hii itakuwa imetokea Tanzania pekee!

Hivi unajua hiyo kampeni ya Share a Coke ilipoanzia?

Mara yako ya kwanza kuisikia ilikuwa lini?
 

coca-cola.jpg
 
Kuna mtu kasema hapo juu kuwa information is power.

Kuna watu wana-argue humu bila hata kuijua issue nzima ya Share a Coke.

Hata Kenya wameanzisha hiyo Share a Coke. Je, wasanii wa huko wanalipwa?

‘Share A Coke' and enjoy memorable moments | Capital Business

Kwanza, je, ni majina ya wasanii tu ndo yapo kwenye hizi chupa/ kopo?

Pili, hata jina la binti yangu lilikuwepo kwenye chupa za Coke hii summer iliyopita. Niende Coca-Cola global headquarters hapo nikadai hela zetu? Hahahaaaaa.....

Kweli kabisa information is power na nadhani kuna watu wengi tu humu hawakuwa wanajua kabisa kama kuna hii kampeni
 
Kwanza, je, ni majina ya wasanii tu ndo yapo kwenye hizi chupa/ kopo?

Pili, hata jina la binti yangu lilikuwepo kwenye chupa za Coke hii summer iliyopita. Niende Coca-Cola global headquarters hapo nikadai hela zetu? Hahahaaaaa.....

Kweli kabisa information is power na nadhani kuna watu wengi tu humu hawakuwa wanajua kabisa kama kuna hii kampeni

Kwa mfano, Kenya wao wali-print majina common zaidi ya 200, hivyo kama jina lako ni common unaweza kulikuta kwenye kopo.

Share a Coke has nothing to do with personality rights kama inavyodaiwa unless kama inakuwa implemented Tanzania kivingine.

The whole idea ya hii kampeni ni sharing and connection.

Coke wanasema kadri Share a Coke itakavyokuwa popular, wataipeleka kwenye social media ambapo wateja wake watapewa fursa ya kuchagua majina wanayotaka yaandikwe kwenye hayo makopo.

Sasa sijui kwa mfano Diamond ataenda kudai compensation Coke kama followers wake kule Twitter au friends wake kule Facebook wakinominate jina lake kuwa kwenye kopo au ata-exercise his right to be left alone?

In the digital world, ni celebrate gani huyo ambaye atakuwa hataki kushare na kuconnect na mashabiki wake?

Of course, celebraties have a right to control the commercial use of their image ila kwa issue ya Share a Coke sijui inaingiaje na kama inaingia Coke watakuwa walishaisort out mapema kabla ya implementation.

Tatizo huu mjadala umehamia kwenye personal issues. Badala ya kujadili hoja na ku-empower watu na information ili wa-judge nani yuko right, watu wameanza vijembe na kuhamishia udaku humu.
 
Debranding: why Coca-Cola's decision to drop its name worked

Share-a-Coke-campaign-008.jpg


The success of Coca-Cola's Share a Coke campaign in which the brand name was replaced by 150 of Britain's most popular names has led to a lot of scratching of heads as to what it was about this campaign that meant it worked so well.

Chris Deere, head of brand activation at Coca-Cola Great Britain explains that, beyond the obvious attempt at personalisation, the campaign is about sharing: "We wanted people not just to find bottles with their own names on, but to surprise a friend or someone they love by seeking out a bottle with their name on it," he explains, pointing out, too, that social media is one way that global brandscan make local connections.


Of course, Coke is fortunate in that, even with the removal of its traditional logo, its script is still iconic, the red and white immediately recognisable, the world over. Deere admits that the strategy wouldn't have worked with a brand which didn't already have so much equity behind it. So would others be foolish to try to emulate the success of this campaign?

The answer seems to be no, as long as any debranding is undertaken with some considerable thought as to the underlying strategy or purpose behind it, and whether it will work for the brand in question. Because, for something seemingly so simple, an awful lot of thought would have gone into the Coke summer campaign, as Sally O'Rourke, managing director of brand insight consultancy Promise Communispace points out. "What Coke does extremely well is to appear not to take itself too seriously," she says. "The campaign is about a quirky moment, something for me, a one-off, and a moment in time."

O'Rourke sees the trend for more 'silent' or 'quiet' branding as an antidote to the busy and frequently 'branded' world in which we live in. "The sheer amount of competing information out there means that it is no longer sufficient for brands to shout louder than others in the marketplace about their virtues. Consumers are growing weary of the noise," she says.


The Guardian US edition
 
Nadhani celeb watakao andikwa hapo chupani watajinyakulia katoni mbili za soda ya coca cola na pamoja na tisheti buuuuuuuureee...
 
Kwa mfano, Kenya wao wali-print majina common zaidi ya 200, hivyo kama jina lako ni common unaweza kulikuta kwenye kopo.

Share a Coke has nothing to do with personality rights kama anavyodaiwa unless kama inakuwa implemented Tanzania kivingine.

The whole idea ya hii kampeni ni sharing and connection.

Coke wanasema kadri Share a Coke itakavyokuwa popular, wataipeleka kwenye social media ambapo wateja wake watapewa fursa ya kuchagua majina wanayotaka yaandikwe kwenye hayo makopo.

Sasa sijui kwa mfano Diamond ataenda kudai compensation Coke kama followers wake kule Twitter au friends wake kule Facebook wakinominate jina lake kuwa kwenye kopo au ata-exercise his right to be left alone?

In the digital world, ni celebrate gani huyo ambaye atakuwa hata kushare na kuconnect na mashabiki wake?

Of course, celebraties have a right to control the commercial use of their image ila kwa issue ya Share a Coke sijui inaingiaje na kama inaingia Coke watakuwa walishaisort out mapema kabla ya implementation.

Tatizo huu mjadala umehamia kwenye personal issues. Badala ya kujadili hoja na ku-empower watu na information ili wa-judge nani yuko right, watu wameanza vijembe na kuhamishia udaku humu.

Mkuu! to use common name its absolute fair, lkn kutumia celebrities' names ambayo mengine yanatumika kama "brand" zao huko si sawa kwa namna moja au nyingine inaweza ku-influence sales so kwanini wasi-benefit na hayo mapato kupitia majina yao.

Why in USA wasitumie P Diddy au Jay Z hizo ni beyond names hizo ni brand na zina IP.

Issues hapa ni kuchanganya common names na celebrities' commercial names. Wakitumia Judith hiyo iko sawa lkn wakiweka Lady Jaydee then watatakiwa kulipa sababu Jaydee ana mashabiki watakuwa influenced kununua bidhaa siyo sababu ni Coca Cola bali kuna Jaydee brand attached to it.
 
Le Mutuz ni super Mbululaz alivokua anashangilia kuwekwa kwenye kopo nikajua kapata endorsement deal ya kufa mtu kumbe hawapati hata sumni ha ha ha ha u know im humbled rudi shule au msikilize msandoalbeto anavyokupa ushauri wa bure ulipaswa umlipe kwa ushauri.
 
Last edited by a moderator:
mhh ama kweli information is power all common tanzanian names are used ukinywa soda za Coca-Cola utabaini hilo sasa hao sijui wanapigania nini

Sasa watu kama Asprin na mate wake Kaizer watajulia wapi?

Personally mie sie mnywaji wa Coke, sema nilimkuta rafiki yangu anakunywa maji meusi ndani ya chupa yenye jina lake ndo nikataka kujua.

Ili hii kitu iwe popular nchini itabidi TBL nao waanze ya kwao aka Share A Beer.

Ukipitisha round meza nzima chupa zimeandikwa EMT.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom