Le Mutuz (W. Malecela) Vs Alberto Msando: Hii ni vita ya kupigania haki za wasanii au kopo la Coca?

Le Mutuz (W. Malecela) Vs Alberto Msando: Hii ni vita ya kupigania haki za wasanii au kopo la Coca?

Status
Not open for further replies.
Manchester United class of 1992 nao walipata chupa zao. Baadhi ya wachezaji ni Nicky Butt, Paul Scholes, David Beckham, Garry Neville, Ryan Giggs na wengineo.

Sasa sijui hawa nao walilipwa?

1410361678032_Image_galleryImage_image001_png.JPG

Manchester United's 'Class of 92' recreated as customised Coke bottles

  • Thanks
Reactions: Nzi
Sasa watu kama Asprin na mate wake Kaizer watajulia wapi?

Personally mie sie mnywaji wa Coke, sema nilimkuta rafiki yangu anakunywa maji meusi ndani ya chupa yenye jina lake ndo nikataka kujua.

Ili hii kitu iwe popular nchini itabidi TBL nao waanze ya kwao aka Share A Beer.

Ukipitisha round meza nzima chupa zimeandikwa EMT.

In fact mkuu EMT mm nasubiri ya TBL kama itakuwepo.

Kwa mtu maarufu kaka mm itabidi tu wanilipe. Hahahhahhaa
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: EMT
sitaki kuamini kwamba coca hawatowalipa hao wasanii,nakumbuka babu wa ku-humble alisema anatushukuru sisi wana jf kwa kumfanya afahamike na kuchangia jina lake kuwa kwenye kopo.

Kuna watu kufahamika ni kama wamekuwa mabilionea. Le Mutuz amekosa hata principle ya maisha
 
Haya hata huko Naija kina Iyanya and co. nao wanazo chupa zao.

[h=1]Entertainment: Iyanya, Kemi Adetiba get customised Coke bottles[/h]
Iyanya, and Kemi Adetiba are the latest pair to
receive personalised Coke bottles. Photo: Instagram
Pop star, Iyanya and and music video director, Kemi
Adetiba are the latest pair to receive personalised
bottles of Coke in the brand’s ongoing campaign,
‘Share a Coke’.
The two excitedly showed off their personalised
bottles on Wednesday, December 24, 2014 as they
join the likes of Nollywood actress, Funke Akindele;
Sasha P and Yaw of Wazobia FM in the campaign
which allows fans nationwide to personalise their
drinks with their name or the name of a friend.

unnamed4-600x309.png
 
Naleo wame kwenda kwenye launch party mlimani city! Wangekuwa wanalipwa MsandoAlberto asinge andika yale maana kwanza yuko karibu nao! Hakika sanaa haito songa mbele kabisa kwa mtindo huu.

Hichi ndio kitakuwa kipimo cha uwezo wa kufikiri wa wasanii wetu.

Asilimia kubwa sana ya wasanii hawana elimu. Wao kufahamika wanaona kama utajiri wa kutisha. Wanaposhauriwa na wataalamu wanaona wamenyimwa ulaji. Wataendelea kudhulumiwa maisha yao yote.
 
Last edited by a moderator:
Okay, sasa kama yapo tatizo liko wapi? Hayo majina yao yalichapishwa bila ridhaa yao?

Kusema ukweli mimi naona hapa kuna overreaction inayotokana na ujinga (ujinga siyo tusi, btw) tu.

Coca-Cola is a global conglomerate that has been around for almost 129 years. It doesn't need no-talent celebs to endorse its products.

Kilichotokea hapo ni win-win situation.

Sidhani kama Wema na Jide wanaweza kuongeza mauzo ya Coca-Cola.

Brand ya Coca-Cola ni iconic.

If anything, profile ya hao no-talent celebs ndo inaweza kuwa raised na Coca-Cola na pengine kuongeza idadi ya watu wanaowajua.

Lakini kudai eti Wema aongeze mauzo ya Coke kisa jina lake lipo kwenye chupa? Sidhani hata kidogo.

Labda kwa Azam Cola lakini siyo Coca-Cola, the iconic brand that's almost 129 years old.

Mkuu don't be "fooled" with years of operations coca-cola has. Kutumia hayo majina lazima kuta-influence sales whether you like or not. Social Networks zinatosha sana kumfanya mtu afahamike (kwasababu imesambaa sana na kufahamika na wengi) ila sio kwenye coca-cola.

Hapo coca wanatumia hayo majina kwasababu wanajua hayo majina yatawainua sana.

Kampuni inaweza kukaa miaka 300 lakini ikafanya kitu kama hiki. Marketing department ya Coca-Cola imetumia akili sana kwenye hili. Lazima itawaongezea sales na hao "wasanii" imekula kwao.
 
Jaribu kuchimba zaidi.
 
Mi nilijua wanatoa tu zawadi kwa wasanii, kumbe ndo makopo mapya?
 
So, hawa maselebu wawe compensated na global publishers kwa kunufaika na habari zao? Sidhani una maana hiyo.

Pili hivi hao maselebu hawanufaiki kwa lolote kwa Global Publishers kuwaandika magazetini?

Arguments zenu za kipuuzi kabisa mnakuwa hamna tofauti hata na hao, hivi kwa akili zako huoni kama hao hao macelebrities wa Tz mnaodai hawawezi kuinfluence mauzo ya Coca ndo wamefanya mpaka sasa mamia elfu ya watanzania wajue kuwa kuna makopo yenye majina?

Huoni kama kwa kulitambua hilo kutafanya hao mamia elfu ya watu kukimbilia kununua izo Coca ili wapate majina ya wawapendao wawape kama zawadi? Unadhani Coca cola wao wajinga kuanza na hao macelebu? hawakuwa na uwezo wa kuyamwaga tu hayo makopo madukani yakiwa na hizo common names bila kuanza na watu mashuhuri?
 
Haya hata huko Naija kina Iyanya and co. nao wanazo chupa zao.

[h=1]Entertainment: Iyanya, Kemi Adetiba get customised Coke bottles[/h]
Iyanya, and Kemi Adetiba are the latest pair to
receive personalised Coke bottles. Photo: Instagram
Pop star, Iyanya and and music video director, Kemi
Adetiba are the latest pair to receive personalised
bottles of Coke in the brand’s ongoing campaign,
‘Share a Coke’.
The two excitedly showed off their personalised
bottles on Wednesday, December 24, 2014 as they
join the likes of Nollywood actress, Funke Akindele;
Sasha P and Yaw of Wazobia FM in the campaign
which allows fans nationwide to personalise their
drinks with their name or the name of a friend.

unnamed4-600x309.png

So what? kwani kosa linaacha kuwa kosa pale mtu mwingine anapokuwa amelifanya?

Beckam ni common name, David Beckham ni brand, kama wameandika Beckam tu wanaweza wasimlipe lakini ingekuwa David Beckham lazima wangemlipa, hilo ni moja, pili nioneshe iyo picha ambayo David Beckham kapiga na hao maafisa wa Coca cola akikabiziwa hilo kopo then ndo urudi hapa useme sio sawa kulipwa.
 
Alafu bikra kalipwa anvodai, kwahyo wamefanya upendeleo? hapa either bikra hajalipwa ila maneno ya msando yamemgusa ama wote wamelipwa ila hawajaamua kusema. 'nawaza tu'
 
Mi nilijua wanatoa tu zawadi kwa wasanii, kumbe ndo makopo mapya?

Yale makopo ni kweli yanatoka na soda yenye jina lako hata wew ukitaka jina lako wali print kwenye chupu zao unaenda kwenye kampuni yao ila huingii mkataba nao ni bure! mbona matangazo yapo had kwenye radio sema jamaa kawah ndiyo maana anajipa promo! mbona hata jina langu litatokelezea next week! yatatoka makopo yenye jina langu halisi na la mama yangu!
 
Alafu bikra kalipwa anvodai, kwahyo wamefanya upendeleo? hapa either bikra hajalipwa ila maneno ya msando yamemgusa ama wote wamelipwa ila hawajaamua kusema. 'nawaza tu'

Hulipwi mkuu labla utoe hela zako mwenyewe mfukon ujilipe
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom