Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Mkuu! to use common name its absolute fair, lkn kutumia celebrities' names ambayo mengine yanatumika kama "brand" zao huko si sawa kwa namna moja au nyingine inaweza ku-influence sales so kwanini wasi-benefit na hayo mapato kupitia majina yao.
Why in USA wasitumie P Diddy au Jay Z hizo ni beyond names hizo ni brand na zina IP.
Issues hapa ni kuchanganya common names na celebrities' commercial names. Wakitumia Judith hiyo iko sawa lkn wakiweka Lady Jaydee then watatakiwa kulipa sababu Jaydee ana mashabiki watakuwa influenced kununua bidhaa siyo sababu ni Coca Cola bali kuna Jaydee brand attached to it.
Hivi wanaweza tu kutumia Lady Jaydee au Le Mutuz bila kuwasiliana nao na wao kuridhia?
Sasa tuseme hao maselebu wa bongo nao wameridhia kwa sababu na wao wanapata promo ya bure, tatizo liko wapi?
Hivi seriously kampuni kama Coca-Cola ambayo imekuwepo kwa miaka 128 inahitaji endorsements za mtu kama Wema?
Y'all can't be serious.