vipi? wale wanatangaza hook up wanalipwa? kuna mdau kauliza ,Mkuu Deo hapo kwenye red umeuliza swali la msingi sana na nimelipenda sana !
Lakini hapo kwenye green naomba tusitumie maneno ya aina hiyo kwenye huu mjadala ili uende vema na uwe mzuri!
Lupita Nyong'
Lupita hawamlipi?
Tatizo la msando anataka kuwachukulia wasanii au viceleb vya bongo vyote vijinga na kwa kiasi kikubwa kawawin wengi amesahau kama Le mutuz kuna mambo huwezi kulipeleka. ..ujue ukiwa mtoto wa town hata ukiwa boya kiasi gani huwezi kupelekeshwa na mtu wa mkoani. ..Le mutuz town moja,msando mkoa moja
Kuna mtu kasema hapo juu kuwa information is power.
Kuna watu wana-argue humu bila hata kuijua issue nzima ya Share a Coke.
Hata Kenya wameanzisha hiyo Share a Coke. Je, wasanii wa huko wanalipwa?
http://www.capitalfm.co.ke/business/2015/01/share-a-coke-and-enjoy-memorable-moments/
Haijalishi imeanzia wapi!Kwanza, je, ni majina ya wasanii tu ndo yapo kwenye hizi chupa/ kopo?
Pili, hata jina la binti yangu lilikuwepo kwenye chupa za Coke hii summer iliyopita. Niende Coca-Cola global headquarters hapo nikadai hela zetu? Hahahaaaaa.....
Kweli kabisa information is power na nadhani kuna watu wengi tu humu hawakuwa wanajua kabisa kama kuna hii kampeni
Haijalishi imeanzia wapi!
Kwanini usinmlipe wakati unatumia jina lake kutengeneza hela.
Umepata...
Hizi hapa
Huyu mimi simjui hapa tunaongelea wasanii wetu ambao tunajua fika wana ushawishi kwenye jamii majina yao kutumika bure! Hata kama huyo uliye muweka alitumika bure si kigezo cha wengine kutumika!
Kuuliza wametengeneza pesa kiasi gani ni swali gumu na hawezi kujua! Coca-cola wametumia hela kutengeneza matangazo kwaajili ya hii campaign na pia wanayalipia air time hayo matangazo hawawezi kufanya kazi hiyo bure tuu lazima wanajua fika kuna majina fulani yataongeza sales sokoni na wataingiza kipato. Kama wasanii wameamua kujitolea basi lakini wakae wakijua wenzao wanaongeza mauzo!Wametengeneza hela ngapi mpaka hivi sasa kwa kutumia majina yao?
Kuuliza wametengeneza pesa kiasi gani ni swali gumu na hawezi kujua!
Coca-cola wametumia hela kutengeneza matangazo kwaajili ya hii campaign na pia wanayalipia air time hayo matangazo hawawezi kufanya kazi hiyo bure tuu lazima wanajua fika kuna majina fulani yataongeza sales sokoni na wataingiza kipato.
Kama wasanii wameamua kujitolea basi lakini wakae wakijua wenzao wanaongeza mauzo!
Kuuliza wametengeneza pesa kiasi gani ni swali gumu na hawezi kujua! Coca-cola wametumia hela kutengeneza matangazo kwaajili ya hii campaign na pia wanayalipia air time hayo matangazo hawawezi kufanya kazi hiyo bure tuu lazima wanajua fika kuna majina fulani yataongeza sales sokoni na wataingiza kipato. Kama wasanii wameamua kujitolea basi lakini wakae wakijua wenzao wanaongeza mauzo!
haahahaaaaaaa nimecheka sana........