Lebanon: Baada ya jana kwa Pagers za Hezbollah kulipuliwa, leo Radio Calls zao zalipuka; Watu 14 waripotiwa kufariki

Myahudi katoa dozi takatifu bado houthi nao wanajipendekeza kurusha rusha viroketi
 
Siwezi kujua inawezekana umelipukiwa hata na kibatari mkuu hapo Kijiji kwenu umejaza mafuta ya taa bila kuwa mwangalifu.
..."siwezi jua"...!Hapo ndipo unatakiwa uishie.Jamaa zenu wanakula mfueni tu.Kutunishiana misuli na watu wanaokuzidi akili ni zaidi ya suicide mission.
 
Hezbullah huwa hafichi wale Israel askari zao wanawaita kuku na wale ma office wanawaita majogoo πŸ˜„

Ukisikia empty spaces ujuwe kuku wamekufa na ukisikia mabanda ujuwe jogoo wamekufa
Hata Israel hawafichi. Ukienda kwenye Page ya IDF instagram utaona wanapost their fallen soldiers
 
Lebanon hasa Hezbollah nawakubali sana tangu vita imeanza wanamjambisha sana muyahudi. Na Bado Wanaendelea.
Lebanon imesambaratishwa na sectarianism, Sunni haelewani na Christians, Shia haelewani na Sunni, Sunni haelewani na Shia na Christians, Christians hawaelewani na Sunni na Shia.

Swali langu kuna Nchi hapo?! Naomba niwaulize.

Ndio maana nasemaga hakuna system nzuri kama Secularism.

Sisi Tanzania tubaki na Usecular wetu na AMANI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…