Lebanon: Baada ya jana kwa Pagers za Hezbollah kulipuliwa, leo Radio Calls zao zalipuka; Watu 14 waripotiwa kufariki

Lebanon: Baada ya jana kwa Pagers za Hezbollah kulipuliwa, leo Radio Calls zao zalipuka; Watu 14 waripotiwa kufariki

Sauti za milipuko zimesikika katika maeneo ya kusini mwa Beirut ambako ni moja ya ngome kuu ya Hezbollah nchini Lebanon.

Milipuko hiyo imetokana baada ya Radio Calls za wafuasi wa Hezbollah kulipuka ghafla

Utakumbuka kuwa jana Pagers za Hezbollah zililipuka ghafla na kusababisha vifo vya watu 12 na maelfu kujeruhiwa
===========

Walkie-talkies used by Hezbollah have detonated in Lebanon's south and in suburbs of the capital Beirut, witnesses say. Dozens of people have been wounded by the latest explosions, according to security sources, which come a day after deadly pager blasts.

Three people have been killed in the latest device blasts, Reuters cites the Lebanese state news agency as saying.

The deaths were reported from the Bekaa region, in the east of the country.

Our special correspondent Alex Crawford is at a funeral in Beirut for four people killed in yesterday's attacks.

She says the area is in the southern suburbs of Beirut and she heard a "small sound of something popping".

"We came out to try and found out what the sound was and people were running. People were covered in blood," she says.

"There was blood on a car.

"One young man was running and he was very stressed. He said a walkie-talkie - which the Hezbollah security people around here are using for the funeral - exploded.

"The Hezbollah people then gathered up all the walkie-talkies and have been taking the batteries out of them.

CHANZO: Sky News
Myahudi katoa dozi takatifu bado houthi nao wanajipendekeza kurusha rusha viroketi
 
Siwezi kujua inawezekana umelipukiwa hata na kibatari mkuu hapo Kijiji kwenu umejaza mafuta ya taa bila kuwa mwangalifu.
..."siwezi jua"...!Hapo ndipo unatakiwa uishie.Jamaa zenu wanakula mfueni tu.Kutunishiana misuli na watu wanaokuzidi akili ni zaidi ya suicide mission.
 
Lebanon hasa Hezbollah nawakubali sana tangu vita imeanza wanamjambisha sana muyahudi. Na Bado Wanaendelea.
Lebanon imesambaratishwa na sectarianism, Sunni haelewani na Christians, Shia haelewani na Sunni, Sunni haelewani na Shia na Christians, Christians hawaelewani na Sunni na Shia.

Swali langu kuna Nchi hapo?! Naomba niwaulize.

Ndio maana nasemaga hakuna system nzuri kama Secularism.

Sisi Tanzania tubaki na Usecular wetu na AMANI.
 
Back
Top Bottom