T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Kesho Nasrallah akatoe tamko namsubiri kweli tuone wataamua nini hawa jamaa.T14 Armata tayari tena huko wana wa Yakobo wanaendeleza kichapo dhidi ya wajukuu wa Moody.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kesho Nasrallah akatoe tamko namsubiri kweli tuone wataamua nini hawa jamaa.T14 Armata tayari tena huko wana wa Yakobo wanaendeleza kichapo dhidi ya wajukuu wa Moody.
Kila mtu ana akili labda wewe ndio huna jipe pole.Hiyo akili wanayo?
Umesikia nimelipukiwa na simu?Waarabu akili zao na wafuasi wao wote ni kama karunguyeye.Kila mtu ana akili labda wewe ndio huna jipe pole.
Thubutuu!! Hujui kama Lebanon ni Failed State?!Hawa wasenge wanafanya electronic "warfare " Lebanon wanatakiwa kuwa system ya ku jam hiyo mifumo wanayoitumia haraka sana kabla mahotpot na mapresha Cook hayajaanza kulipuka.
🤣🤣🤣Kuna wengine sehemu zao za siri zimeungua vibaya sasa sijui itakuwaje?!😆
Siwezi kujua inawezekana umelipukiwa hata na kibatari mkuu hapo Kijiji kwenu umejaza mafuta ya taa bila kuwa mwangalifu.Umesikia nimelipukiwa na simu?Waarabu akili zao na wafuasi wao wote ni kama karunguyeye.
Lebanon hasa Hezbollah nawakubali sana tangu vita imeanza wanamjambisha sana muyahudi. Na Bado Wanaendelea.Thubutuu!! Hujui kama Lebanon ni Failed State?!
Myahudi katoa dozi takatifu bado houthi nao wanajipendekeza kurusha rusha viroketiSauti za milipuko zimesikika katika maeneo ya kusini mwa Beirut ambako ni moja ya ngome kuu ya Hezbollah nchini Lebanon.
Milipuko hiyo imetokana baada ya Radio Calls za wafuasi wa Hezbollah kulipuka ghafla
Utakumbuka kuwa jana Pagers za Hezbollah zililipuka ghafla na kusababisha vifo vya watu 12 na maelfu kujeruhiwa
===========
Walkie-talkies used by Hezbollah have detonated in Lebanon's south and in suburbs of the capital Beirut, witnesses say. Dozens of people have been wounded by the latest explosions, according to security sources, which come a day after deadly pager blasts.
Three people have been killed in the latest device blasts, Reuters cites the Lebanese state news agency as saying.
The deaths were reported from the Bekaa region, in the east of the country.
Our special correspondent Alex Crawford is at a funeral in Beirut for four people killed in yesterday's attacks.
She says the area is in the southern suburbs of Beirut and she heard a "small sound of something popping".
"We came out to try and found out what the sound was and people were running. People were covered in blood," she says.
"There was blood on a car.
"One young man was running and he was very stressed. He said a walkie-talkie - which the Hezbollah security people around here are using for the funeral - exploded.
"The Hezbollah people then gathered up all the walkie-talkies and have been taking the batteries out of them.
CHANZO: Sky News
..."siwezi jua"...!Hapo ndipo unatakiwa uishie.Jamaa zenu wanakula mfueni tu.Kutunishiana misuli na watu wanaokuzidi akili ni zaidi ya suicide mission.Siwezi kujua inawezekana umelipukiwa hata na kibatari mkuu hapo Kijiji kwenu umejaza mafuta ya taa bila kuwa mwangalifu.
Hata Israel hawafichi. Ukienda kwenye Page ya IDF instagram utaona wanapost their fallen soldiersHezbullah huwa hafichi wale Israel askari zao wanawaita kuku na wale ma office wanawaita majogoo 😄
Ukisikia empty spaces ujuwe kuku wamekufa na ukisikia mabanda ujuwe jogoo wamekufa
Wakienda peponi watapewa zawadi gani?! 😆😆Kuna wengine sehemu zao za siri zimeungua vibaya sasa sijui itakuwaje?!😆
Lebanon imesambaratishwa na sectarianism, Sunni haelewani na Christians, Shia haelewani na Sunni, Sunni haelewani na Shia na Christians, Christians hawaelewani na Sunni na Shia.Lebanon hasa Hezbollah nawakubali sana tangu vita imeanza wanamjambisha sana muyahudi. Na Bado Wanaendelea.
Vita ni vita.Hawa wasenge wanafanya electronic "warfare " Lebanon wanatakiwa kuwa system ya ku jam hiyo mifumo wanayoitumia haraka sana kabla mahotpot na mapresha Cook hayajaanza kulipuka.
Kupalilia bustani na kuosha bilauri za kunywea pombe.Wakienda peponi watapewa zawadi gani?! 😆😆
Wanaweza kufikiriwa kuwa wametoroka Motoni kwa hiyo wakarudishwa😆😂Wakienda peponi watapewa zawadi gani?! 😆😆
Dah wahuni sio watu wazuri 😂