Lebanon: Baada ya jana kwa Pagers za Hezbollah kulipuliwa, leo Radio Calls zao zalipuka; Watu 14 waripotiwa kufariki

Wakati bado watu wanajadili kuhusu pager kwenye shambulio la jana, leo kafanya yake kupitia redio ambazo zinatumia teknolojia ya zamani! Sasa mjadala utakuwa ni kuhusu hand-held radios!

Beirut blasts: Lebanon rocked by wave of hand-held radio blasts as 'solar energy systems explode'​


Tuesday saw a wave of pager explosions rock Lebanon, causing chaos on the streets and reportedly injuring thousands. Then Wednesday saw a fresh round of explosions, linked to hand-held radios.


Wednesday 18 September 2024 16:44, UK



What are Portable/Handheld Radios?​


Portable radios are handheld radio transmitter/receiver devices, which means that you can take them with you anywhere you go. They can send and receive radio messages.






Nb: Zipo za kisasa na za kizamani!
 
Allah na mudy wanazidi kuangukia pua
Allah utamfananisha The Holy Ghost 😄 Mpaa 1=3 mmoja ni Ghost aisay hio dini yenu mnamuita Shetan The Holy. Mnataka kumfananisha na Gabriel au? Gabriel hana dhambi toka lini Shetani akawa hana dhambi isipo kuwa kwa muotaji aliye liota Shetani takatifu lipo juu ya mkunazi kwenye njia panda
 
Tangu jana watu hawajafungua Quran huko Lebanon, wanahisi na zenyewe zimeshategeshewa ziwaripukie
 
Israel wana mpango wa kuweka mabomu kwenye bikra za wale wanawake 72 wa peponi ili hao magaidi wakifika huko wafe tena wakiwa viunoni.
Hiyo labda pepo ya Paulo 1=3 huoni hesabu anavyo zikosea sa hio 72 kwenye pepo yake inapatikans. Aliye kufa na kubeba dhambi zenu anaitwa nani yule alizikwa Jerusalem. Yesu mbona hakufa mkamsingizia, aliye kufa labda cousin yake Paulo ndio mana kawambia kisha beba dhambi zenu. Nyie hata mfanye dhambi za kujiozesha wanaume kwa wanaume kanisani hamna dhambi hata huoni taifa lenu linaongoza kwa ushoga naona toka mwaka jana Hamasi kazuia mashoga kwenda Israel 😄
 
Njia za kuwawahusha kupata mabikra 72 imewadia. Wachangamkie fursa
 
Sio pagers tu, inaripotiwa kuna aina ya vifaa vingine inalipuka... Myahudi kadhamiria, huku akipiga juu kwa ndege.
Mtalipukiwa hadi na friji za juisi, chupa za chai... Dadadeki
___________

New Lebanon blasts: At least 9 killed, over 300 hurt as more Hezbollah devices explode​

Gallant says Israel’s focus has moved to northern front as ‘new phase’ of war begins * Tuesday death toll reaches 12 * 4 troops killed in Gaza, https://www.timesofisrael.com/liveblog-september-18-2024/ 1st female soldier​

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…